Uchumba wa utata huu

Long'ututi

Member
Dec 5, 2010
41
4
Ndugu zangu niwewaza sijapata jibu,kwa kifupi mimi ni mwanaume kijana niliyehitimu masomo chuo kikuu miaka miwili iliyopita,nina mchumba naye anasoma chuo kikuu binafsi hapa hapa tz,nilimfaham baada ya mimi kuhitimu chuo,tunapendana sana nishamtambulisha nyumbani na yeye kanitambulisha kwao,tatizo kumbe ana kigogo anamsomesha kwani form six hakufanya vizuri kuweza kulipiwa na bodi ya mikopo,ana uhusiano wa mapenzi na kigogo huyu na mimi sikujua mpaka nilipoona vyeti vyake vya shule na kugundua hasomeshwi na serikali,nilimbana akaniambia ukweli,msichana yupo mwaka wa pili,mimi uwezo wa kumlipia ada bado si kihivyo ndio maisha yanaanza kuchanganya,kumkatisha masomo si jambo la busara,sasa wandugu nifanyeje?
 
.........Sasa kama umejua ana mahusiano ya kimapenzi na kigogo una ngoja nini na wakati wewe huna uwezo wa kumsomesha?
 
Ndugu zangu niwewaza sijapata jibu,kwa kifupi mimi ni mwanaume kijana niliyehitimu masomo chuo kikuu miaka miwili iliyopita,nina mchumba naye anasoma chuo kikuu binafsi hapa hapa tz,nilimfaham baada ya mimi kuhitimu chuo,tunapendana sana nishamtambulisha nyumbani na yeye kanitambulisha kwao,tatizo kumbe ana kigogo anamsomesha kwani form six hakufanya vizuri kuweza kulipiwa na bodi ya mikopo,ana uhusiano wa mapenzi na kigogo huyu na mimi sikujua mpaka nilipoona vyeti vyake vya shule na kugundua hasomeshwi na serikali,nilimbana akaniambia ukweli,msichana yupo mwaka wa pili,mimi uwezo wa kumlipia ada bado si kihivyo ndio maisha yanaanza kuchanganya,kumkatisha masomo si jambo la busara,sasa wandugu nifanyeje?
si anasomeshwa2 ANACHAKACHULIWA PIA NA UYO KIGOGO
...wewe umewaingilia mapenz yao cz inaonekana anaye uyo kgogo tangu fom 6
HAKUNA MTU APO...ni folen tu mnapangishwa na anafanya DIVISION N specilztn of leba kwa raha zake..wewe wa ndoa na hang out afu mzee/kgogo ndo ATM..yake....mwambie awe anakumbuka zana wakat anaenda kwa uyo mzee..MARADHIIII
 
kaka usijiulize mara mbili kata kona fasta....halafu hii mi vuvuzela mingine bana inatia hasira
 
Hilo sioni hata kama linahitaji ushauri, kwanza waombe radhi kwa kuingilia mapenzi yao.
 
Pole sana,nakuomba umuache tu haraka na ushukuru Mungu umeujua ukweli,ukuweke huru sasa.....unachosubiri chaweza kuwa kifo,KIMBIA:car::car::car::car:
 
si anasomeshwa2 ANACHAKACHULIWA PIA NA UYO KIGOGO
...wewe umewaingilia mapenz yao cz inaonekana anaye uyo kgogo tangu fom 6
HAKUNA MTU APO...ni folen tu mnapangishwa na anafanya DIVISION N specilztn of leba kwa raha zake..wewe wa ndoa na hang out afu mzee/kgogo ndo ATM..yake....mwambie awe anakumbuka zana wakat anaenda kwa uyo mzee..MARADHIIII

Usiku mwema,naomba umjibu Hashy tusi lolote atakalotoa kwa niaba yangu,naenda nyonyesha na kumbembeleza baby!:car:
 
Hivi bado uko nae? Subiri subiri siku moja kigogo akukute cha moto utakiona...! Kimbia haraka kaka, ohoo...! Hapo umeingilia ndoa ya mtu. Utapotezwa...!

Piga moyo konde, najua itakuuma sana kumuacha mpenzi wako, lakini fikiria gharama utakayoipata endapo huyo kigogo atakukamata siku moja...!
 
we si unapenda dezo, endelea kusubiri uone mwisho wake.
Halafu ndo utarajie siku ya ndoa kukuta bikira!!!??
 
lakini kigogo ana mke wake na hapo haoi na ndio maana binti kakubali kutambulishwa na kutambulisha pia.
 
Back
Top Bottom