Wanawake mmejaliwa lakini Siwakuamini hata siku Moja!

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,578
8,597
Hivi juzi nikiwa na rafiki yangu tulikutana na mwanamke akasema huyu mwanamke nina miaka 17 sijamuona tangu 90's
Walivyokutana wakasalimiana akamwambia mimi nimeona nawatoto 3,na Dada akasema nilishaolewa na watoto 4 basi tukakaa na tukapata kilaji!!
Chaajabu juzi jamaa akanipigia simu ukowapi nikamwambia nilipo akasema ahaaa basi maana mimi nipo mitaa fulani ndo namrudisha yule dada wasikuile nimemaliza" kuchuja nafaka!!"
Nikajiuliza ina maana wanawake wote wakikutana na wenziwao wa sikuhizo hupo uwezekano wakudate nao japo mlisha achana miaka kitambo??Je nini kinawasababisha wanawake kukosa moyo waujasiri wakati unajua ulishaolewa?hata kama haujaolewa siuna Boyfriend??Wanawake siwakuamini hata siku moja!
 
Nashangaa hapo umemwongelea dada tu!Siumesema huyo kaka nae ameoa??Basi na yeye hakupaswa kua na ujasiri wa kumtaka huyo dada!!Conclusion mpya:Hamna wakuamini..sio mwanamke wala mwanaume!
 
kwa nini unasema wanawake tu, na huyo mwanaume rafiki yako naye anahaki ya kutenda hayo aliyotenda?
 
Kwakuwa sikuzote mwanamke ndiye anafatwa angekataa!huyu rafiki yangu asingepata nafasi yakumwambia ila sijui niwapi walianzia ila unaweza kukuta mwanamke ndiye aliyeanza kwa maneno yenye ushawishi!!
 
dah mungu wangu jaman nataman niruke km chura...sasa apo kosa umeliona kwa dada tu..et kwa nini mmekosa ujasiri?mtongozaji au chanzo cha wao kwenda kukumbushiana ni mkaka sa iweje uone dada ndo shda?
kwa kaka aujaona pbm yeyote ila kwa dada ndo shda ipo haha hahha u ubnafs i sjui utawafikisha wap......AU UNATAKA KUNAMBIA KAKA HANA MAKOSA APO?asi umesema ameoa pia na watoto wa 3 ..sasa iweje kosa umeliona kwa mdadatu?

mantiki yako ni nyeus kwa wadada ungekuwa fear ungesema unaona matatizo kwa wote cz si waaminifu ...nasiyo kuwa bias kwa mdada tu.
byeeeee:car:
 
Kwakuwa sikuzote mwanamke ndiye anafatwa angekataa!huyu rafiki yangu asingepata nafasi yakumwambia ila sijui niwapi walianzia ila unaweza kukuta mwanamke ndiye aliyeanza kwa maneno yenye ushawishi!!

its sound but not valid.
 
kwakuwa sikuzote mwanamke ndiye anafatwa angekataa!huyu rafiki yangu asingepata nafasi yakumwambia ila sijui niwapi walianzia ila unaweza kukuta mwanamke ndiye aliyeanza kwa maneno yenye ushawishi!!

hapo ngoma droo,aliyeanza na aliyemalizia kwa kukubali. Wote walipaswa kuwa na msimamo maana wapo kwenye ndoa zao.
 
kwa nini unasema wanawake tu, na huyo mwanaume rafiki yako naye anahaki ya kutenda hayo aliyotenda?

nashangaa ata mimi..apo dhamira yake kubwa ni katika kuonyesha wanawake watu wabayaaaaaaaaaaaaaa...
 
dah mungu wangu jaman nataman niruke km chura...sasa apo kosa umeliona kwa dada tu..et kwa nini mmekosa ujasiri?mtongozaji au chanzo cha wao kwenda kukumbushiana ni mkaka sa iweje uone dada ndo shda?
Kwa kaka aujaona pbm yeyote ila kwa dada ndo shda ipo haha hahha u ubnafs i sjui utawafikisha wap......au unataka kunambia kaka hana makosa apo?asi umesema ameoa pia na watoto wa 3 ..sasa iweje kosa umeliona kwa mdadatu?

Mantiki yako ni nyeus kwa wadada ungekuwa fear ungesema unaona matatizo kwa wote cz si waaminifu ...nasiyo kuwa bias kwa mdada tu.
Byeeeee:car:

wanapenda sana kututupia lawama,hata pasipo sababu. Hata kama ni hivyo kwann yy asijizuie kumtongoza? Na kama dada ndo alianza kwann yy asikatae?
 
Na Mwandishi Wetu
Watanzania sita, wakiwemo wasanii wawili wa maigizo, wamefungwa Magereza mawili ya Hong Kong nchini China baada ya mahakama kuwakuta na hatia ya kujihusisha na biashara ya ukahaba, Ijumaa linakuwa la kwanza kukujuza.

Kwa mujibu wa chanzo chetu cha uhakika, wabongo hao, wamefungwa kwenye Magereza ya Lai Chi Kok na Tuemun ambayo ni maalum kwa wafungwa wanawake.
Watanzania hao, ambao wanatumikia kifungo cha wiki sita gerezani ni Jack aliyewahi kuwa Muigizaji wa Kundi la Sanaa la Kidedea akijulikana kwa jina la Safina, Maua ambaye naye amewahi kuwa msanii wa maigizo (kundi halijajulikana) na Tina Mkongo aliye maarufu kwenye Club za Jolly na Ambiance za jijini Dar.

"Jack ni yule Safina ‘alikuwaga' Kidedea, tena hivi karibuni tu amecheza filamu ya ‘Inye', msanii mwingine anaitwa Maua, huyu sijui alikuwa kundi gani, na hao wengine niliokutajia," kilisema chanzo kimoja.
Wengine waliokamatwa katika awamu ya pili ya msako huo ni Esther Nyonyo, mwingine alitajwa kwa jina moja la Agness wa Mwanza na Diana maarufu kwa jina la ‘Joka Jeusi' wa jijini Dar es Salaam.

Hawa wote, habari zinasema, walidaiwa kufanya vitendo vya ukahaba kwenye klabu maarufu za Jiji la Hong Kong nchini humo, kitu kilichoelezwa kuwa ni kinyume cha sheria za nchi hiyo.

Klabu maarufu zinazofanyiwa operesheni hiyo ni pamoja na Traffic, Fenrick, Escape, Amazon, Bullidog, Club 29 na Zunk.
"Hawa wote walikuwa wakifanyia mambo yao klabu zile kubwa kubwa kama nilivyozitaja, si unajua tena China kwa sasa wageni ni wengi tena wana fedha zao," kilisema chanzo.

Hivi karibuni ilidaiwa kuwa, Serikali ya China ilichoshwa na kukithiri kwa biashara ya ukahaba hivyo kukodisha kikosi maalum kutoka nje kwa lengo la kuitokomeza.

Kikosi hicho cha watu hamsini, kimetoka Scotland na Ireland ambapo inasemekana kimekuwa kikitekeleza operesheni yao kwa kujifanya wateja wa biashara hiyo na kuwanunua makahaba na kuwapeleka hotelini kwa lengo la kujiridhisha kwa ushahidi.

Habari zinasema zoezi hilo linaendelea licha ya makahaba wengi kukimbilia nchi jirani za Singapore na Malaysia kwa lengo la kujiokoa na ‘kamata kamata' hiyo.
Baadhi ya wasanii wa Bongo wanadaiwa kwenda China mara kwa mara kwa ajili ya kufanya biashara halali huku kukiwa na madai ya kujihusisha na biashara ya ukahaba pindi wanapokuwa nchini humo.

Jitihada za kuwapata Mawaziri wa Mambo ya Nchi za Nje wa Tanzania, Mhe. Bernard Kamilius Membe (pichani juu) na Yang Jiechi wa China zinaendelea ili kuzungumzia sakata hilo.
 
kuna mahusiano ya hii habari na kinachojadiliwa au mimi nimelewa kahawa
 
Kwakuwa sikuzote mwanamke ndiye anafatwa angekataa!huyu rafiki yangu asingepata nafasi yakumwambia ila sijui niwapi walianzia ila unaweza kukuta mwanamke ndiye aliyeanza kwa maneno yenye ushawishi!!

hapo kwenye red, how much energy is needed for a man to say NO, I am married, I love, respect and dont want to betray my wife??
 
kwakweli sio feo kwani wote ni wadanganyifu tena mbaya zaidi ni mwanaume mana unaenda ukiwaumedhamiria huyu dada lazima ni date naye atakama ameolewa mwisho wa siku mwanamke anazidiwa kwani kunawatu wataalamu wa kuomba
 
wanafanya na mbweha hawa wanawake au ni hao wanaume sema hakuna anayeaminika tena nyie msione sketi inapita tayari hayo masuruali yalishabana
 
hhah hahahha!!!!!
awalitambui ilo ni km vile UNAWASHA TAA AFU UNALALAMIKA AHH kwanini i taaa imewaka......dah yan ..kamtongoza mwenyewe kamnanii mwenyewe afu mwsho wa siku akina dada /wanawake si waaaminifu uyo rafiki yake uaminifu wake upo wap...?
mi mada km izi zinaniboa yaaan acha tu...
 
Na Mwandishi Wetu
Watanzania sita, wakiwemo wasanii wawili wa maigizo, wamefungwa Magereza mawili ya Hong Kong nchini China baada ya mahakama kuwakuta na hatia ya kujihusisha na biashara ya ukahaba, Ijumaa linakuwa la kwanza kukujuza.

Kwa mujibu wa chanzo chetu cha uhakika, wabongo hao, wamefungwa kwenye Magereza ya Lai Chi Kok na Tuemun ambayo ni maalum kwa wafungwa wanawake.
Watanzania hao, ambao wanatumikia kifungo cha wiki sita gerezani ni Jack aliyewahi kuwa Muigizaji wa Kundi la Sanaa la Kidedea akijulikana kwa jina la Safina, Maua ambaye naye amewahi kuwa msanii wa maigizo (kundi halijajulikana) na Tina Mkongo aliye maarufu kwenye Club za Jolly na Ambiance za jijini Dar.

"Jack ni yule Safina ‘alikuwaga' Kidedea, tena hivi karibuni tu amecheza filamu ya ‘Inye', msanii mwingine anaitwa Maua, huyu sijui alikuwa kundi gani, na hao wengine niliokutajia," kilisema chanzo kimoja.
Wengine waliokamatwa katika awamu ya pili ya msako huo ni Esther Nyonyo, mwingine alitajwa kwa jina moja la Agness wa Mwanza na Diana maarufu kwa jina la ‘Joka Jeusi' wa jijini Dar es Salaam.

Hawa wote, habari zinasema, walidaiwa kufanya vitendo vya ukahaba kwenye klabu maarufu za Jiji la Hong Kong nchini humo, kitu kilichoelezwa kuwa ni kinyume cha sheria za nchi hiyo.

Klabu maarufu zinazofanyiwa operesheni hiyo ni pamoja na Traffic, Fenrick, Escape, Amazon, Bullidog, Club 29 na Zunk.
"Hawa wote walikuwa wakifanyia mambo yao klabu zile kubwa kubwa kama nilivyozitaja, si unajua tena China kwa sasa wageni ni wengi tena wana fedha zao," kilisema chanzo.

Hivi karibuni ilidaiwa kuwa, Serikali ya China ilichoshwa na kukithiri kwa biashara ya ukahaba hivyo kukodisha kikosi maalum kutoka nje kwa lengo la kuitokomeza.

Kikosi hicho cha watu hamsini, kimetoka Scotland na Ireland ambapo inasemekana kimekuwa kikitekeleza operesheni yao kwa kujifanya wateja wa biashara hiyo na kuwanunua makahaba na kuwapeleka hotelini kwa lengo la kujiridhisha kwa ushahidi.

Habari zinasema zoezi hilo linaendelea licha ya makahaba wengi kukimbilia nchi jirani za Singapore na Malaysia kwa lengo la kujiokoa na ‘kamata kamata' hiyo.
Baadhi ya wasanii wa Bongo wanadaiwa kwenda China mara kwa mara kwa ajili ya kufanya biashara halali huku kukiwa na madai ya kujihusisha na biashara ya ukahaba pindi wanapokuwa nchini humo.

Jitihada za kuwapata Mawaziri wa Mambo ya Nchi za Nje wa Tanzania, Mhe. Bernard Kamilius Membe (pichani juu) na Yang Jiechi wa China zinaendelea ili kuzungumzia sakata hilo.

Dah! siku zote nilikuwa najua Hong Kong ni nchi kumbe jiografia yangu mbofu.......!
 
kwa kuwabebesha wanawake lawama hamjambo sana,nyie mnajua kabisa wanawake wengi(not all) ni wadahifu mnawatongoza! mnategemea nini hapo? halafu unamlau, kwanini usimlaumu mwanume aliyemtongoza mwanamke!???
 
Huyu jamaa aliyeingiza habari za hong kong kachakachua thread yangu mimi binafsi sijaona wapi vinakuta na topic hii!!
 
Back
Top Bottom