Kuonja utamu

BIN BOR

JF-Expert Member
Nov 23, 2010
1,013
407
Jamaa mmoja alimuaga mke wake kuwa anatoka kwenda kununua chips. Mkewe alikuwa bafuni anaoga. Muda mfupi baada ya jamaa kutoka mkewe akasikia mlango unagongwa. Akawahi kwenda kufungua, kumbe alikuwa nirafiki wa mume wake.

Sasa yule mama alikuwa amejitanda kanga moja tu. Jamaa akamwambia "una matiti mazuri!" Yule mama akamjibu "Asante, lakini mume wangu angesikia unayoyasema sidhani kama angefurahi."

Jamaa akamjibu, "nitakupa elfu kumi ukinionesha titi moja," mwanamke akaingiwa na tamaa, na akajua kuwa itamchukua mume wake muda mrefu kurudi, basi akashusha kanga akamuonesha titi. Jamaa akampa elfu kumi na kusema, "Duh, saaaaafi sana. Ukinionesha matiti yote nitakuongezea elfu kumi nyingine". Mama hakusita tena, akashusha kanga jamaa akaangali chuchuz na kumpa elfu kumi ya pili kisha akaaga. Mama akatia ndani elfu ishirini.

Baada ya kama saa moja hivi jamaa akarudi. Kufika tu mkewe akamjulisha kuwa rafiki yake alipita kumsalimia, "Honey, rafiki yako alipita kukusalimia," Jamaa hakuonesha kustuka wala nini, akamuuliza mkewe "Vipi kuhusu pesa yangu ninayomdai, elfu ishirini; amekuachia?"
 
Ha wewe vipi titi nitoe tena na pesa nitoe thubutu

sasa huyo mtoa hela kama alikupa hela kwa kuangalia titi tu,na ukatoa titi,
Je angeendelea kukwambia nivulie chupi, ntakuongezea elfu kumi, ungevua?
 
sasa huyo mtoa hela kama alikupa hela kwa kuangalia titi tu,na ukatoa titi,
Je angeendelea kukwambia nivulie chupi, ntakuongezea elfu kumi, ungevua?


Mbele ya msimbazi ningempa lakini kumbuka chupi was not available because nilikuwa nimetoka kuoga chupi ya nini sasa??? Ha haha kiulaini kama unasukuma mlevi vile
 
Mbele ya msimbazi ningempa lakini kumbuka chupi was not available because nilikuwa nimetoka kuoga chupi ya nini sasa??? Ha haha kiulaini kama unasukuma mlevi vile

najaribu kusoma katikati ya mstari hapa!
ngoja niweke mawani vizuri!!!!
 
Ha ha ha!
Nitatoa hizo pesa maana nikiuchuna na jamaa akiitwa aibu kwangu.
 
I just loved this. Mimi ningeendelea na kumwambia aachie na khanga. Kuhusu hela sitoi kwani dili lilikuwa jamaa kula chabo titi na kuachia wekundu
 
I just loved this. Mimi ningeendelea na kumwambia aachie na khanga. Kuhusu hela sitoi kwani dili lilikuwa jamaa kula chabo titi na kuachia wekundu

siku hizi wanaume hatuna kazi sana tunapohitaji huduma kama hizi,
kazi imerahisishwa sana,
lasikoki, keep it up!!!!!
 
Hutoi hata senti tano,
lakini titi umetoa....lol!!!!!!!

asi kaona tu kwan kashka?+ile ela ni kwa ajili ya malipo ya kumwonyesha matiti na siyo malipo ya den la mme wang

ningemwambia apana ajaniachia..then angemwita mbele yangu waulizane vzuri....kwan macho yana fotokop?....angejuaje nmemwonyesha titiz???? full kuruka apo akhuuuu babu.!!!!!!1
 
kikubwa huenda jamaa walikutana njiani wakakubaliana kuwa aende nyumbani akamuachie hiyo pesa wife halafu ukute ya kuwa jamaa alikuwa nayo hiyo hiyo mfukoni so alivyoona Titi's ikabidi aiwekee dau pasipo kujua kuwa anaua ndege wawili kwa jiwe moja.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom