Mbolea ya my love

Mr Chabo

Member
Jan 13, 2011
25
0
Naombeni ushauri. Napata kichefu chefu nikiona mbolea hata ya kuku kama siyo ya binadamu. Ila ya mpenzi wangu hata kushika ainipi tabu. Je huu ni ugojwa?
 
Sio ugojwa, yote mahaba. Ni kama kuzama bonde la uvinza hivi. Binafsi, Huwa namsafisha pua mwenzangu kwa ulimi.
 
ushasema yule kuku,ngombe,bata na huyo mpenzi wako,anakusitiri mengi huwezi yapata kwa kuku ndio maana huna kinyaa na mbolea yake
 
ushasema yule kuku,ngombe,bata na huyo mpenzi wako,anakusitiri mengi huwezi yapata kwa kuku ndio maana huna kinyaa na mbolea yake

Shosti hujambo?

Hii mbolea inayozungumziwa hapa ndo ipi?
 
Shosti hujambo?

Hii mbolea inayozungumziwa hapa ndo ipi?

ila babu kuna umuhimu wa kuandaa darsa la jando humu,vijana wanavuka mipaka,wanalilia vitu vya ajabuajabu sana,mara bikra,sijui kitu gani mradi rabsha.
 
Naombeni ushauri. Napata kichefu chefu nikiona mbolea hata ya kuku kama siyo ya binadamu. Ila ya mpenzi wangu hata kushika ainipi tabu. Je huu ni ugojwa?

Sasa kama unaweza hata kumlamba '****** , utasemaje ni ugonjwa?
 
Nimetoka kapa hapa.
Hiyo mbolea ndo kitu gani, unaishikaje sasa na wakati gani, huo mfano wa kuku na bata, unafananaje na hiyo kitu.
 
jamani mbavu zangu mie, tumehamia kwenye mbolea!? kwani huyo mwenzi wako mgonjwa hadi ashindwe kwenda kuhifadhi mbolea yake?
 
mganga wa mpenzi wako ni noma na laiti kama angejumuishwa kwenye benchi la ufundi la taifa stars nina imani tungerudi na kombe la mto nile maana kama kakushawishi kuona mbolea ya mpenzi wako ni kitu cha kawaida!
 
disgusting! cku nikiwa mod humu kuna watu ningewafungia maisha kwa upupu wao.

Husninyo ebu do ze nidiful nletee kakiknmbe ka chai
 
threads za huyu kaka mbona zipo kushoto kushoto jamani, zinakinaisha kwa kweli.
 
Back
Top Bottom