Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari zenu ndugu wanaJF wenzangu. Natumaini kila mtu hufanya na kukipenda kile kinachomridhisha na kuifanya siku yake kuwa njema aidha kwa tamaa, mkumbo au dhati ya moyo. Na pale...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Katika nyakati hizi tulizo nazo kuna jambo linanitatiza, ninavyofahamu mimi wakati wa kuanza mahusiano, wahusika huwa wanaongea mengi including I love you so much, silali nakuota usiku kucha...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Leo asubuhi kwenye kituo flan cha radio kulikuwa na mjadala kuwa,wanaumd wa kibongo ni unromamtic,sijui hili lina ukweli gani hili wadada naombeni ukweli!!
0 Reactions
47 Replies
3K Views
wa ndugu je kama usingekuwa ugonjwa wa ukimwi je maisha ya kijamii(kindoa, mahusiano ya jiko kubwa na ndogo, mahusiano ya boyfriend na girlfriend nk yangekuaje? Soko la akina dada poa, je akina...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Jamani mimi kuna kitu nime notice. Kuna baba nasoma nae ni mganda mtu mzima sana alichelewa kuoa na ana watoto watatu, last born wake ana miaka minne. Huyu baba alikuwa anatuambia juzi kuwa yeye...
1 Reactions
117 Replies
14K Views
Wadau, Maendeleo ya teknolojia ya mawasiliano ya habari imefanya usaliti katika ndoa na mahusiano kuwa rahisi sana. Zamani ilikuwa vigumu sana kutongozana kwa kuwa ilikuwa ni lazima muonane na...
3 Reactions
17 Replies
2K Views
WAPENDWA WANA JF, Kwa muda mrefu dada zetu wamekuwa wakilalamika kila siku kuwa ndoa zao zinaenda mrama kwa sababu waume zao au wapenzi wao wamekuwa not responsible hasa ktk 6 x 6. Yaani mume...
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Hivi majuzi kati nilikutana na binti mmoja club fulani hapa jijini. Tukachati hapa na pale, then tukapeana contacts za simu. Nikakaa siku kama tatu hivi, nikam-text, badala ya kujibu akaanza...
3 Reactions
53 Replies
5K Views
hodi hodi waungwana napenda mnijuze jambo hili nimeolewa na nina miaka kadhaa katika ndoa yangu....kuna jambo nataka niwe clear ....mume wangu mara nyingi amekua akinisifia kuwa 'kitumbua changu...
2 Reactions
87 Replies
9K Views
Laiti wanawake wangekuwa wakinuna hivi wanapotongozwa basiukimwi ungepungua sana lakini leo hii kila akisalimiwa binti ndio kwanza anauliza b/card sasa duh kesho yake lazima mtu aumie sijui kama...
4 Reactions
31 Replies
4K Views
Dear wapendwa Tarehe ya 20 june nilifikisha miaka 3 Rasmi ya ndoa na mwaka Mmmoja rasmi wa mwanangu Faith P Didy Pengine nilitamani kuifurahia siku hii tar hiyo bahati mbaya sikuwa dar es laama...
4 Reactions
21 Replies
3K Views
Jamani ni miezi michache iliyopita nilimwomba dada mmoja uhusiano na nilimpenda kweli. Akaanza malingo mara hapokei simu , mara majibu mkato etc. nilileta hapa jamvini watu wakasema hiyo ni dalili...
0 Reactions
48 Replies
5K Views
Nina miaka 24 ninasoma chuo sijawahi sex hata siku moja hivyo nimejawa na hofu kubwa sana kwamba itakuaje hiyo siku hivyo inapelekea uoga wa kuwa na uhusiano na msichana kwakufikiria itakuaje...
3 Reactions
126 Replies
14K Views
Looking for a husband? Or a wife? Want to know the single biggest mistake you can make? It’s not dating enough! And why is that? Well, things like making a sale for example, finding a new job, or...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
hivi ni kweli baadhi wanaume waliooa wanavaa kufuli za wake zao??? Na akina dada nao wanajisevia boxa za waume zao?? Nauliza tu jamani??
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Ms Rita Muchiri wants to get married. And like many women, she has set standards for the kind of man she hopes to settle down with. He should be tall, brown, financially stable, well-educated...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hii mutu kwisa kwenda wapi?....ilisumbua sana hapa wakati malaria sugu iko kwa ban
0 Reactions
6 Replies
1K Views
bado mpo mpo tu?
3 Reactions
20 Replies
2K Views
Wale wenzangu na mimi tunaopenda kufanya tafiti nyepesi nyepesi za maisha mtaani utajagundua wasichana wa siku hizi wanapenda zaidi kuwa na wanaume za watu kuliko vijana wenzao ambao ni single...
2 Reactions
47 Replies
7K Views
Jamani kuna hii theory kwamba msichana ambaye ni wa mwisho kuzaliwa nyumbani kwao mara nyingi huwa anakuwa amedekezwa sana kwa hiyo hafai kuolewa. Hafai kuolewa kwa sababu anategemea kuendelea...
0 Reactions
54 Replies
9K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…