Haya ni mapenzi au uzuzu?

Haya ni mapenzi au uzuzu?

Sikio la muazini

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2026
Posts
249
Reaction score
469
Haya mapenzi au uzuzu?

unakuta mwanaume anaosha vyombo mke katulia mwanaume anachambua tembele mke-" katulia kuna jilani yetu hapa anaosha vyombo mpaka kufagia hv mwanaume hana kauli hata wazazi wake wakimuamuru kitu mke akisema No! ndo basi haina m-badala hv ukipenda sana ndo inakua hv au

MAONI YENU
 
Back
Top Bottom