Katika yale mambo yetu ilinitokea mwenzangu kuwa ananihabarisha kila kinachoendelea,sababu sifa yake kuu ilikuwa ni kuongea kwa kulalamika wakati wa shughuli.Kilichonishangaza ni kuwa mwenzangu...
Kuna dada mmoja.ni rafiki yangu tunafanya naye kazi na tumetoka naye sehemu moja. Huyo dada aliunga urafiki wa kimapenzi mwaka juzi na kaka mmoja anafanya kazi wizara ya ardhi uhusiano wao...
Vumilia vumilia wewe wakati wa kuvalishwa shela aujafika usife moyo
ndugu yengu leo naleta neno la unabii mungu anasikia sauti yako
na wala ajakuacha yeye alishinda sembuse hilo mungu anasema...
Big up brthers and sisters
Naona mko safi Jumapili natumaini itakwenda shwari, Ni vizuri unapoanza kufikiria ndoa ujue kuna majukumu kadhaa kama mwanandoa ujue jinsi gani ya kuyashinda. Husika na...
Hata uwe mzuri kiasi gani hata uwe na elim kiasi gani hata uwe na utajiri kiasi gani
mwisho wa siku lazima uwe na mwenzako ..swala si tu kuwa na jina umeolewa la hasha
unaitaji kuwa na mwenzako...
Mshukuru mungu kwa kukupa mume jamani..kumbuka pesa alitumia kwa ajili yako mwanandoa angeweka banl pengine na yeye angekuwa anahojiwa kama mwanasheria wetu kule lakini ni mapenzi ya mungu...
Kinachoshangaza ni kwamba wanandoa wanapokutana na matatizo katika ndoa yao, wazo la kwanza kuja ni kwa sababu nilioana na mtu ambaye si sahihi inaweza kuwa kwa nyakati fulani au kwa mtu fulani...
Praise god
hongera kwa kuiona jumapili ni wachache sana wanahangaika pale icu kuiona leo lakini si kwamba umetenda mambo makubwa sana la hasha ni kibali cha mungu na neema yake basi nakutakia...
[I'm slim, tall 5"8 ft, 64kg, 27yrs, abit white,graduate, christian RC, from Tanga] Looking 4 a beautful and serious gf for longterm relationship, [should be white, tall about 5"4 or more...
Baashi ya tafiti zinaeleza kuwa iwapo mwanamke anahitaji ngono mara moja kwa siku 20, mwanaume anahitaji kila kwa ndani ya siku hizo 20.
Ila uwiano unabadilikabadilika, wapo wengine ni 1:10, 1:15...
Kumradhi wakubwa zangu!kama wajua naomba unifahamishe. mm niko mbioni kuoa,nataka kujua je ni mara ngapi iliyosahihi kufanya mapenz kwa wiki?(kwa ajili ya afya).
Jamani mi nahisi nimelogwa kila ninapota kuachana na huyu jamaa najikutanimerudiana naye, mbali navituko anavyonifanyia ikiwemo kunicheat na nimeshamfumania na mwanamke ambaye ni X wake mara...
Wanajamii, ni asubuhi hii ya leo forwadiwa mail yenye Kituko cha Karne. Nimesoma, inaonyesha ni habari ilitoka kwenye gazeti fulani. Sikubahatika kulisoma gazeti hilo. Inawezekana pia habari hii...
Find a guy who calls you beautiful instead of hot, who calls you back when you hang up on him, who will lie under the stars and listen to your heartbeat, or will stay awake just to watch you...
Kama ilivyo kawaida ya jamvi, penye wengi pana mengi na hakika haliharibiki neno.
Hapa nina swali moja, hivi kuna ulazima wa maumbo ya mawili kati ya wapenzi/wanandoa kuendana ili kufaidi tendo...
...Maisha yanapelekea wengi wetu kujikuta tunaingia mahusiano mapya tayari tuna mtoto/watoto. Ili kuondoa ile hofu ya baba/mama wa kambo si sawa na 'mzazi'...Je? wazazi wapya (Step parent) tuna...