Wanaume ni wavumilivu kuliko wanawake | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanaume ni wavumilivu kuliko wanawake

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Sharp Observer, Aug 6, 2011.

 1. S

  Sharp Observer Member

  #1
  Aug 6, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 57
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Baashi ya tafiti zinaeleza kuwa iwapo mwanamke anahitaji ngono mara moja kwa siku 20, mwanaume anahitaji kila kwa ndani ya siku hizo 20.
  Ila uwiano unabadilikabadilika, wapo wengine ni 1:10, 1:15 yaani ikiwa mwanamke anahitaji mara moja kwa siku 10 mwanaume anahitaji kila siku kwa siku hizo 10 na iwapo mwanamke anahitaji mara moja kwa siku 15, mwanaume anahitaji kila siku ndani ya siku hizo 15.

  MAANA YAKE:

  Hebu tuchukue uwiano wa kati 1:15, maana yake ni kuwa iwapo mwanaume atamvumilila mwanamke mfano wakati wa hedhi kwa siku 7, mwanamke anatakiwa avumulie kwa siku 7x15=siku 105 (inakaribia miezi 3).

  Kama mwanaume anaweza akamvumilia mkewe aliyejifungua kwa operation kwa muda wa miezi 6, basi mke naye anapaswa kumvumilia mmewe kwa siku 6x30x15=siku 2700 (zaidi ya miaka 7).

  Je, wewe kama ni mwanaume umesafiri kikazi, kibiashara, kimasoma kwa muda wa mika miwili AU umepata tatizo la kiafya kiasi kwamba huwezi kujamiiana je mkeo anao ubavu kukuvumilia hata kwa miaka miwili?

  Ukweli mano wana JF, sitaki kutoa majibu. Mara nyingi wanashindwa. Kwa mwanaume miaka 2 ni sawa na siku 730/15= siku 49 sawa na mwezi mmoja na nusu.

  KWA UCHAMBUZI HUO SIAMINI KAMA WANAWAKE NI WAVUMILIVU WA TENDO LA NDOA IKIWA MWANAUME HAWEZI AMA YUKO MABALI.
  ILA SISI WANAUME NDIO WAVUMILIVU ZAIDI.

  Ndiyo maana baadhi ya dini zinaruhusu mwanaume kuwa na wake zaidi ya mmoja.

  TAFAKARI
   
 2. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #2
  Aug 6, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,676
  Trophy Points: 280
  Hapo umedanganya sio kweli,kwenye suala hilo mwanamke ni mvumilivu kuliko sisi wanaume!
   
 3. I

  Isantondo Member

  #3
  Aug 6, 2011
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 26
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Nadhani kinyume chake ni sahihi kwa kadri ya huo mtazamo wako ulivyo kaa..
   
 4. Jestina

  Jestina JF-Expert Member

  #4
  Aug 6, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,807
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  sipendi mahesabu ushanichanganya tayari lol
   
 5. Elia

  Elia JF-Expert Member

  #5
  Aug 6, 2011
  Joined: Dec 30, 2009
  Messages: 3,442
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Hesabu tatizo la taifa,
  Bak to topic; uvumilivu unafuatana na u busy wa mtu na availability ya service na alternative zake
   
 6. Son of Africa

  Son of Africa JF-Expert Member

  #6
  Aug 6, 2011
  Joined: Jan 16, 2011
  Messages: 233
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Wanaume na wanawake ni viumbe sawa kimatamanio utafauti wao unachangiwa na sababu mbalimbali...kisaikolojia...kibailojia...ama kiuchumi na hata kijamii. Mfano..ukikuta mwanamme au m/mke kazi zake za kila siku ni ngumu sana hamu ya mapenzi humpungua..ukikuta anaishi kimachungu mfano anamawazo ya jambo fulani i.e manyanyaso...ukiwa...upweke...mashaka...ugonjwa...msongo wa maisha mfumuko wa bei...maisha nk inampotezea hamu. Ila kuna walio na pepo la ngono...hapo mtachapana mpaka unafloat ukiamini sasa basi nimeridhika lkn unakuta yuko juu ya masaa machache yaliyopita tangu achape au achapwe. Ukiwa na mtu wako yuko na tabia hii ni bora usikae naye mbali maana tutamla aisee....
   
 7. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #7
  Aug 6, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  wake wawili ndo better......
   
 8. chavka

  chavka JF-Expert Member

  #8
  Aug 6, 2011
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 202
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Dah inategemea na mtu bwana kuna wanawake wavumilivu na wengine vimeo na kuna wanaume wavumilivu na wengine vimeo. ila kwa wanawake wanapenda sana kudu kabla ya ndoa wakisha olewa wanabana hawa toi kama zamani
   
 9. arabianfalcon

  arabianfalcon JF-Expert Member

  #9
  Aug 6, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 2,292
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Ohh The Boss kumbe ndivyo ulivyo hivyo wawili wa nini wote hao kujitia dhiki za roho? utajikondesha bureeeeeee mmoja tu anatosha.
   
 10. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #10
  Aug 6, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  it depends,kama wote wako happy na arrangement je?
   
 11. arabianfalcon

  arabianfalcon JF-Expert Member

  #11
  Aug 6, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 2,292
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Mmh! hakuna anaetaka kula namwenzie sahani moja ilobaki basi tu,laitani ungejua vile roho inavyouma ukisikia uko na mwenzio.
   
 12. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #12
  Aug 6, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  trust me wapo ambao haiwasumbui hiyo...
  mbona kule ile thread ya chatu kamkaba mbwa hujanijibu??lol
   
 13. First Born

  First Born JF-Expert Member

  #13
  Aug 6, 2011
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 5,315
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  hesabu za uwiano zilikuwa zinanichanganya mno, hapo kwenye hesabu nimetoka na 0, lakini normal experience wanawake wanaweza kuvumilia zaidi, we sema huwa wana chance za kutokuguswa kabisa kutokana na matukio ya muhimu ikiwa ni pamoja na hedhi.

  usisahau mwanamke usipomgusa si rahisi kusisimka.
  Mwanaume usipomwonyesha pia anaweza kuvumilia.
   
Loading...