Swala si kupata ndoa/kuvalishwa pete swala jinsi gani ya kuitunza ndoa!!na hito pete yako | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Swala si kupata ndoa/kuvalishwa pete swala jinsi gani ya kuitunza ndoa!!na hito pete yako

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Pdidy, Aug 7, 2011.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Aug 7, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,132
  Likes Received: 5,571
  Trophy Points: 280
  Praise god
  hongera kwa kuiona jumapili ni wachache sana wanahangaika pale icu kuiona leo lakini si kwamba umetenda mambo makubwa sana la hasha ni kibali cha mungu na neema yake basi nakutakia jumapili njema mpendwa

  penfine hii ni kwa wale waliooanasasa na we ngine watarajiwa na wengine ndio wanaimbiwa nyimbo za kuwaaga kwenye ma hall yote ni neema ya bwana na furaha kwa wana jf..pengine ni wengi wanatamani kuwa na ndoa mpaka sasa bado awajapata ..pengine wewe ni mmoja wa walioomba sana kwenye maombi mungu akupe mume mwema ama mke bora kutoka kwa bwana yesu ..vema nakuitaji kukumbusha swala sio kuapata tu mke mwema ama mumemwema shetan alimjaribu yesu pale mliman na kama si ukuu wa yesu kujua maandiko na kumkumbusha imeandikwa ..leo hii tungekuwa tunalia..swala si tu kumpata hata huyo shetan anamjaribu na pengine wengi wanaishiaga kuomba mume mwema mke mwema kutoka kwa mungu

  nani amwekwambia mlokole shetan amjaribu..m sikufichi nimeokoka na nampoenda mungu na nimepigana mpaka hapa nilipo ndio maana ushauri wangu leo jifunze kumwomba mungu akusaidie sana sana kujua jinsi gani ya kuitunza ndoa yako
  swala la mkemwema mume mwema sikuhizi kila mtu amepigka maisha anakimbilia kwenye makanisa akijua atampata mwenzawake..so unaweza beba jini humo ndani bila kujijua...akikisha unatubu unamwomba mungu akusaidie sana
  ujue jinsi ya kitunza na kuilinda ndoa yako..unajua kununua gari ni rahisi sana shida kubwa ni jinsi gani ya kuitunza na kuilinda natangaza breakithrough kwenye ndoa yako,financial.economy na makazini mwako,UZAO wako hizi ni sekta zinazoangusha ndoa nyingi sana so akikisha unajihami kwa kumwomba mungu akufanikishe

  happy merriage
  ciao
   
Loading...