Je wajua? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je wajua?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Chabo, Aug 6, 2011.

 1. C

  Chabo JF-Expert Member

  #1
  Aug 6, 2011
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 785
  Likes Received: 252
  Trophy Points: 80
  Kumradhi wakubwa zangu!kama wajua naomba unifahamishe. mm niko mbioni kuoa,nataka kujua je ni mara ngapi iliyosahihi kufanya mapenz kwa wiki?(kwa ajili ya afya).
   
 2. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #2
  Aug 6, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,676
  Trophy Points: 280
  Kwa mwezi mara moja!!!
   
 3. Elia

  Elia JF-Expert Member

  #3
  Aug 6, 2011
  Joined: Dec 30, 2009
  Messages: 3,442
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  hujaoa,
  unataka kujua ufanye marangapi,
  yeye anataka marangapi,
  utapenda maramoja kwa wiki mwenzio anataka kilasiku watakusaidia wenzio
  cha muhimu ni kula vizuri halafu kitumie kwasababu ni chako na kipo
  kikubwa angalia kazi zako
   
 4. Jestina

  Jestina JF-Expert Member

  #4
  Aug 6, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,807
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  nyie mtakavyokubaliana haiko fixed mara kadhaa kwa wiki....
   
 5. C

  Chabo JF-Expert Member

  #5
  Aug 6, 2011
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 785
  Likes Received: 252
  Trophy Points: 80
  <br />
  <br />
  hili jibu linatosha.ahsante veterani
   
 6. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #6
  Aug 6, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  nilijua ni kile kipindi cha RFA kumbe ni mambo ya mahabati basi haina shaka rejea jamaa hapo juu ndugu Elia kisha finito..
   
 7. Son of Africa

  Son of Africa JF-Expert Member

  #7
  Aug 6, 2011
  Joined: Jan 16, 2011
  Messages: 233
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Kila siku baada ya kulala kidogo usiku ili digestion ifanye kazi...bafuni...sebuleni popote penye faraga hata ndani ya gari lenu tinted ndo hasa walio wengi hupenda...na siku moja moja mnahama nyumbani mnalala hoteli nzuri ili asifurahie akifanyiwa na wenzako wakimuiba..kubwa zaidi badilika mara nyingi kistyle ya tendo...mbuzi kagoma kwenda...gari mtaroni...chuma mboga...punda na mzigo...nyumambele na mbelenyuma...eeee unashangaa nini sasa kama hupendi wenzio watafanya...chatu kamkaba mbwa....randa mbao...msumeno wa chuma...isuzu mlimani...na fisi kateleza...kwa wale wa kamachumu na waziba usisahau kibwetere katerero
   
 8. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #8
  Aug 6, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  ungeziweka zote na picha kule jukwaa la wakubwa ungekuwa umefanya la maana sana
   
 9. chavka

  chavka JF-Expert Member

  #9
  Aug 6, 2011
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 202
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Ndugu jibu sahh utalipata kulinga na mahitaji ya mwenzio. hakuna ratiba ktk ndoa. mfano 1. unaweza kukuta mwezi huu mashamsham kishenzi mwezi unaofata mmekata apitait najua itafika wakati mtazoeana na utaondoa dhana na maswali ulo nayo sasa ktk swala zima la mapenzi. nakutakia maandalizi mema. karibu ktk ulimwengu we2
   
 10. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #10
  Aug 6, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Ukiwa ndani ya Ndoa wengi wanaizoea hiyo shughuli, mpaka inakuwa siyo romantic ndo maana watu wengi wanalaumiana mara kila siku style hiyo hiyo, au mkeo utamsikia leo nimechoka, hiyo yote ni tokana na kukosa romantic ideas. Jaribu kuwa mbunifu. mimi hupenda sana ku suprise wa kwangu, na yeye hufanya hivyo hivyo. Kuna siku alinitumia sms saa kumi na moja imagine tumelala kitanda kimoja yeye akashtuka akatuma sms halafu akapiga simu ilipoita nikashtuka, nikakuta sms tamu ajabu. ilisema hivi mpenzi mme wangu niko tayari nakusubiri tule chakula asubuhi hii njoo haraka mvua imeshanyesha kisima kimejaa maji, Mkuu kitu kilisimama ghafla nilitupa shuka kule! game ilikuwa tamu ajabu.
  Na mie nikapanga surprise yangu jioni moja natoka job nikamkuta bafuni anaoga nikaingia bafuni na bukta yangu nikamwambia nakuja kukusugua mgongo leo, nikachukua sponge nikaanza kumsugua taaaaraaaatiiibu mgongo, kiuno, mapaja hee!! naona pumzi zinabadilika kilichofuata hapo ni miguno tuuu tehe.
  So mkuu mkianza kupangiana ratiba eti tufanye jmosi sijui jtatu mh naona mtachokana very soon, mimi sina formula tukiwa fresh hata kila siku kimoja, tukitingwa na majukumu sometimes hata wiki inakatika hatujala.
   
 11. Wambandwa

  Wambandwa JF-Expert Member

  #11
  Aug 6, 2011
  Joined: Dec 3, 2006
  Messages: 2,240
  Likes Received: 337
  Trophy Points: 180
  <br />
  <br />

  Aisee, waihyukayo! Egi epost yanshoesha!
   
 12. arabianfalcon

  arabianfalcon JF-Expert Member

  #12
  Aug 6, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 2,292
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Son of Africa! mwingi wa manjonjo! jina na mambo yako yanalinganaaaaa!! Majina mengine ndio kwanza leo nayasikia.
   
 13. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #13
  Aug 6, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  nimemwambia atuwekee na picha jukwa lile...
  na wewe umevutika na nini hapo?chatu kamkaba mbwa ??????/lol
   
 14. Masaki

  Masaki JF-Expert Member

  #14
  Aug 6, 2011
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 3,465
  Likes Received: 163
  Trophy Points: 160
  Aisee nilikuwa sijacheka tangu aasubuhi leo. Umenichekesha sana!
   
Loading...