• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

Namwonea sana huruma Mpenzi wangu, Ntachomfanya atajuta kunifahamu.

sosssy

sosssy

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2017
Messages
671
Points
1,000
sosssy

sosssy

JF-Expert Member
Joined Nov 17, 2017
671 1,000
Habari wanaJF, am sure mkopoa sana ndugu zangu..

LET NIENDE KWENYE MADA MOJA KWA MOJA..

Wakati nipo chuo nilibahatika kupata mpenzi ambae kiukwel nilimtongoza kwa kujaribu tu lakini chakushangaza ni kwamba akanikubalia tu bila kujua sikua serious... nikaona isiwetabu nikawa nae kwenye mahusiano mpaka wakati huu naandika hii thread ndo mpenzi wangu actually pamoja na kwamba michepuko ipo lakini yeye ndo amekua currently kwa sababu
1)Hajawahi kuniomba pesa ingawa me ndo nikiwa nakipengele nikimwambia nashida na pesa huwa ananipa bila kinyongo_

2)Hana michepuko hii ni kwasababu naweza kukaa nasimu yake hata siku 3 na nisigundue chochote licha ya yeye kukuta sana sms za michepuko kwenye simu yangu_

3)She care about me
yani nikimwambia siko poa au naumwa yupo tayari kuacha kazi zake zote nakuja kunihudumia

4)Ni mtam yani papuchi ake hua ananipa muda wowote kiukwel hua naenjoy sana mapenzi yke

SHIDA NI NINI_

Shida ni kwamba pamoja na hayo yote ni kwamba nafsi yangu haijaridhia na wala sidhani kama naweza kumuoa yeye... Yani am sure ananipenda sana but kwa kweli cfikilii kumuoa yeye kabisa

SABABU NI NINI_

Sababu ni kwamba amenizidi umri, chapili ni kwamba amenizidi urefu kitu ambacho sijakipenda kwa kweli
chatatu ni kwamba simpendi tu alivyo...

So nimekua nikiwaza sana jinsi ya kumuacha' yan namuonea sana huruma kwa kua yeye anafikili me ndo mwanaume wake wa maisha' kitu ambacho hakipo kabisa kwenye akili yngu...

Naombeni ushauli ndugu zangu' nitumie mbinu gani kumuacha huyu bidada mana kwa umli wake sasa hivi anahitaji ndoa~~ while binafsi kuoa sio leo wala kesho,, na hata nikitaka kuoa siwezi kumuoa yeye'
 
jipu

jipu

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2015
Messages
1,892
Points
2,000
jipu

jipu

JF-Expert Member
Joined Apr 20, 2015
1,892 2,000
Mkuu usipate tabu nipe mimi uyo mwanamke nimchukue mazima, cha kufanya nipm tu namba yake mengine niachie mimi. Na ninakuhakikishia ndani ya siku mbili atakuja kukuacha yeye mwenyewe. Sijisifii ila kwenye sekta ya kutongoza wanawake nipo vizuri sana natongoza mpaka mwanamke analia, kamasi zinatoka akitoka hapo anaenda chooni kuharisha.

"Typed with my thumbs."
 
sosssy

sosssy

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2017
Messages
671
Points
1,000
sosssy

sosssy

JF-Expert Member
Joined Nov 17, 2017
671 1,000
kwani hakuna nyuzi za wanaolalamika kuachwa soma utapata tu kisa
kama hukumtoa wewe bikra basi huna lawama ila kama umemtoa wewe na ankupenda kama unavyo dai basi utapata malipo yakp

Sent using Jamii Forums mobile app
Sijakuta bikra mkuu ila kwa mujibu wa maelezo yake ni kwamba hajawahi kua na mahusiano kama hayaa
yan hakuawahi ku enjoy mapenzi kama anavyo enjoy kwangu!
 
sosssy

sosssy

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2017
Messages
671
Points
1,000
sosssy

sosssy

JF-Expert Member
Joined Nov 17, 2017
671 1,000
Mkuu usipate tabu nipe mimi uyo mwanamke nimchukue mazima, cha kufanya nipm tu namba yake mengine niachie mimi. Na ninakuhakikishia ndani ya siku mbili atakuja kukuacha yeye mwenyewe. Sijisifii ila kwenye sekta ya kutongoza wanawake nipo vizuri sana natongoza mpaka mwanamke analia, kamasi zinatoka akitoka hapo anaenda chooni kuharisha.

"Typed with my thumbs."
Ok mkuu hamna shida naku p m no yke
Angalizo, huwa ana kawaida ya kunitumia number za mtu yeyote asie muelewa au kumjua!
 
Sky Eclat

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Messages
41,777
Points
2,000
Sky Eclat

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined Oct 17, 2012
41,777 2,000
Anza kupunguza ukaribu, uwe busy kila akikupigia wewe una kazi lakini ahidi kumtafuta ukiwa free, ikipita mwezi mmoja miwili ataelewa somo.

NB: the law of life your time will come, you will fall in love with a person who doesn’t have feelings for you. That’s the way it’s.
 
sosssy

sosssy

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2017
Messages
671
Points
1,000
sosssy

sosssy

JF-Expert Member
Joined Nov 17, 2017
671 1,000
Anza kupunguza ukaribu, uwe busy kila akikupigia wewe una kazi lakini shida kumtafuta ukiwa free, ili pita mwezi mmoja miwili ataelewa somo.

NB: the law of life your time will come, you will fall in love with a person who doesn’t have feelings for you. That’s the way it’s.
Dahh!! that's why nakua nahuruma mana am sure kinaweza nitokea pia huko mbele!!!

Kujiweka busy kutokupokea sim zake ndo cwez kabisa hio 🤦🏾‍♂️ labda nipoteze mawasiliano nae kabisa
lakini shida ni kwamba ana number ya simu ya mama angu mzazi na hua wanaongea sana tu japo hawajawahi kuonana.. Pia ana number za mdogo wangu__ kitu kingine ana number ya my best friend!!
 
Nas Jr

Nas Jr

JF-Expert Member
Joined
May 15, 2018
Messages
3,378
Points
2,000
Nas Jr

Nas Jr

JF-Expert Member
Joined May 15, 2018
3,378 2,000
Anza kupunguza ukaribu, uwe busy kila akikupigia wewe una kazi lakini shida kumtafuta ukiwa free, ili pita mwezi mmoja miwili ataelewa somo.

NB: the law of life your time will come, you will fall in love with a person who doesn’t have feelings for you. That’s the way it’s.
Karma is a bitch, Kulipa lazima alipe hapa hapa Duniani
 

Forum statistics

Threads 1,402,795
Members 530,989
Posts 34,405,251
Top