We often don't feel
Love each and every day
Just the same it's there
And will never fade away
Just like the ocean tide
Coming in and going out
At times our love's so strong
Other times is...
Wadau inasikitisha kuwa baba wa mika 30 amekibaka kitoto cha miaka 10 maeneo ya kigogo na hii ni mkwa mujibu wa wapo radio jana asubuhi kwenye kipindi cha Patapata. Mpashaji alisema kuwa huyo...
utakuta mtu ana mke tena nzuri kweli kweli huduma kumpa mkewe ni utata lakini hata chakula cha watoto tabu lakini akiombwa huko nje na micharuko anaonesha ufundi wote wa kuhonga waki nyumba kwake...
Kuna tukio moja nimeliona hivi karibuni hapa mtaani kwetu, kuna dada mmoja alikuwa ana bf wake wa siku nyingi sana na ikatokea yule dada anachumbiwa na mtu mwingine kabisa na ana nia nzuri ya...
tuangalie kwa kina mambo yanayochangia tatizo hilo la upungufu wa nguvu za kiume.
Uzoefu katika vituo vyetu vya Marie Stopes kina mama ndio huja kutafuta ushauri kwa nini mzee kabadilika na...
Mke kapata safari nje ya nchi, (training) safari hiyo inahusisha kikundi cha watu sita kutoka Tanzania,(funded trip) siku moja akiwa nyumbani kwake na mumewe anapigiwa simu na mmoja wapo wa wale...
Jamani, nimepitia threads humu, sioni wa kaka wanaotaka gf au mke mwenye masters?kwani hao hawafai kuolewa?utakuta mschana anavigezo vyote ila anakuwa limiyed na elimu yani akiwa na masters bas...
Wadau hebu nisaidieni..
Traditionally mwanaume ndio mwenye jukumu la kutunza watoto, lakini hivi ni sawa kama mama wa watoto nae ana kipato kuacha kununua hata kiatu cha mtoto wake mwenyewe wa...
Jamani kuna mdada tulikutana kwenye mkutano fulani hivi Arusha, dah tukawa na mawasiliano ya kikazi mwisho yakaingia kwenye page nyingine.
Tabu ni kwamba she is too old for me nakadiria tu kuwa...
hivi hamna wazungu wanaotoka na wadada weusi ambao ni wanene?mie natafuta mzungu jamani,sehemu ninayoishi ni ya wazungu tupu ila hawaninotice....nifanyeje???msiniambie ni loose weight niwe...
EBU SOMENI HIKI KISA!!!!!!!!!!!!!!!
One afternoon a husband arrived home with sad news for his wife...
Husband: Wife, I just received a call, mother(mama) passed away. Shall we go to town...
Habari zenu wana Jamvi :;
Kwanza namshukuru Mwenyezi Mungu kwa baraka na rehema zake kwangu. Kwa ufupi nimepitia ktk kipindi cha majaribu..iko. hivi, :Nilikuwa kwenye uhusiano wa kimapenzi na...
Ebu fikiria unamtongoza mwanamke anaonekana naye amekupenda inafika mahali anakwambia hivi kweli wewe utanitoshereza huduma zangu????!!!Utaweza kunihudumia??wakatu mwanzoni hakuuliza swali...
Nilikuwa na girlfriend niliyempenda sana, lakini ikajatokea tukaachana kisa ujumbe mfupi wa kwenye simu yangu. Nimemuomba msamaha miezi miwili sasa lakini hataki kunielewa, na nafsi yangu bado...
Who should have apologized in this case? One of the renowned lawyers in Texas had made love to a city prostitute who unfortunately forgot to take her pant from the lawyer's car. Afterward he drove...
Ni wengi sana hata hapa JF wapo, Yukoje?
Anapokutaka haridhiki mpaka aanze kukueleza
makosa ya mpenzi wake aliyeachana naye hata
kama hujamuuliza na ukiwa na bahati basi atakueleza
makosa ya...
Not everyone who smile on you is a real friend. Some people are evils and its impossible to understand
them
Haters/ By Maya Angelou
A hater is someone who is jealous and envious and spends all...