Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Jana katika maeneo ya mivinjeni,mwendesha pikipiki mmoja ameibiwa pikipiki na demu!!picha yenyewe ilikuwa hivi. Huyo demu alishakuwa na mazoea na huyo dreva wa bodaboda yapata wiki 2 hivi. Na...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Hebu ianze jumapili yako kwa tafakari hii ya kuvunja mbavu.
0 Reactions
11 Replies
3K Views
ni mnunulie nini mpenzi wangu kama zawadi ya valentine day?
0 Reactions
30 Replies
3K Views
Aisee sisi wanaume kwa kweli ni kwele, kama hili limemfukuzia demu zaidi ya miezi miwili, limehonga weee mpaka simu ya bei mbaya limenunua. Leo limenyimwa mambo lipo ooooh kwanza demu mwenyewe...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Jaman wandugu dunia imebadilika sana, tumeumizwa vya kutosha, mwisho wa siku nimechoka kabisaaaa, msichana aliyetayari kuolewa aniPM mengine yote tutaongea kwa faragha mimi nayeye. Nina uwezo wa...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Habari wanaJF?,ni kijana wa miaka 27 mkristo na nina elim ya chuo kikuu. Nina urefu wa wastan pia c mnene wala mwembamba. Natafuta mchumba ambae atakuja kuwa mke wangu soon,.awe angalau na elim ya...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Natanguliza shukrani zangu kwa mwenyezi mungu kwa kila jambo alilolitenda kwangu.lakini nitakuwa mkosefu wa fadhila kama sitowashukuru kaka na dada zangu wa hapa jf kwa ushauri walioutoa nilipotoa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
TANGAZO, TANGAZO, TANGAZO Hii nI huduma ya kipekee, itapatikana kipindi hiki cha valentine, wale wote mtakaokuwa busy kwa shopping, kazi na mengineyo mnaweza kuwaacha wanaume/wachumba/ boyfriend...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Ilikuwa mwezi uliopita nikitoka tabora na ndege inayo pita dar kwanza kisha mwanza ndo inakuja dar ,mwanza inakaa 3 hrs yakufaulishiwa,ghafula nikakutana na demu ambaye kuna rafiki yangu...
2 Reactions
121 Replies
19K Views
Jamani my love aliondoka bila kuniaga akarudi na kunieleza sababu za kuto aga na kuapolojaiz na kunieleza taka nyingi but nikamuelewa, mapenzi yakawa moto mara 3 nikasafiri na yeye akasafiri...
0 Reactions
23 Replies
2K Views
Ni demu wa mshikaji, mbaya zaidi anatembea na jamaa mwingine and kamtambulisha huyo jamaa mwingine kwa mpenz wake, and hao wanaume wamekuwa marafiki bila kujijua wanatembea na demu mmoja, sasa...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari wakubwa wenzangu wa jukwaa hili,,,natumai tu wazima wote wa afya njema.. nakuja katika jukwaa hili nikitumaini kupata msaada na ushauri kutoka kwenu mana najua kuna watu wengi humu na...
3 Reactions
45 Replies
4K Views
Jamani uplayer mmbaya. Nishaplay sana na i had no pain to any woman hata anifanyeje. But sasa kuna mdada huyo duh! Tukikwaza tu kidogo ka moyo kananiuma. Yaani nampenda mwanzo mwisho ile sijawah...
0 Reactions
23 Replies
2K Views
Kwa wale ndugu zangu mnaopenda kutembelea mitandao tofauti kuna huu mtandao unaitwa marafiki.com ambao host wake yupo senegal ila asilimia 100 unatumiwa na watanzania ambapo katika mtandaoo huu...
2 Reactions
38 Replies
14K Views
Habari zenu wana JF Siku zote jambo hili limekuwa likinipa maswali mengi, pale niwaonapo dada zangu unakuta amechanjwa chale nyingi mwilini hasahasa wengi nakutana nao kwenye daladala, nimekuwa...
0 Reactions
17 Replies
5K Views
Kwa mnaokumbuka kile kisa cha mwanamke alotaka kumuua mumewe kwa kumuwekea sumu ktk chakula leoo familia imeyamaliza ktk kikao kilichomalizika robo saa iliyopita. Kifupi ilikubaliwa na mwanamke...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
The subject of my obsession doesn’t have a clue She’s probably somewhere now, not knowing what I’m going through Every breath that comes in me carries her scent Every breath coming out has her...
6 Reactions
130 Replies
8K Views
niaje wakuu,kuna kitu nimekumbukaaa ningependa to share ideas,do u remember you first kiss....achana na lilee la kwanza kabisaa kwa mamaa alie kuzaa,la kimahaba zaidi,mi nakumbukaa my first kiss...
0 Reactions
77 Replies
6K Views
Nilikuwa nasikia kuwa mapenz yanaumiza!! Sasa nimeona na nimeumia, cha kufanya ni nini? Nisipende tena au nitafute mwingine?
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…