Fire proof.

Speaker

JF-Expert Member
Aug 12, 2010
6,324
2,238
bannerdvd.jpg


Kama kuna zawadi kubwa naweza kuwapa watu
wengi kwa wakati mmoja basi ni hii.

Fireproof,...haimaanishi ukiwa na fireproof hautapatwa na ajari ya moto
bali ajali ikitokea utaweza kutoka salama.

Fireproof ni movie inayo ongelea mahusiano katika mapenzi na nini ukitegemee
kabla ya kuingia huko au kama uko huko ufanye nini ili kutatua matatizo ya mahusiano
yako.....Haimaanishi ukiiangalia hautapata matatizo kwenye mahusiano yako,ila
matatizo yakitokea utaweza kuya overcome kwa njia iliyo nzuri zaidi.

Mara nyingi tuna pitia katika nyakati ngumu sana,...na wengine
tunapo kuja kuomba ushauri,unakuwepo utani na kupoteza mwelekeo wa
topic hadi ushauri ulio hitajika una kosekana.

Wengi mko kwenye ndoa,wengine mko single lakini mna tarajia kuingia
kwenye ndoa hivi karibuni.
Ndoa zina matatizo mengi na raha nyingi vile vile,..lakini kabla ya kuingia katika
ndoa ni vyema ukajua kwa uhalisia kabisa yote utakayo kutana nayo.

Wengi wanapotoa viapo vyao kwamba "nitakuwa nawe kwa shida na raha bla bla bla"
actually sidhani kama huwa wana waza "shida" wanayo itamka ni nini.

Kumekuwa na tangazo sana mahali ninapo abudu kwamba week hii ijumaa
all married couples wataenda for a movie katika ukumbi walo chagua.

Bahati nzuri,walitaja jina la movie hiyo nami nikaitafuta harakaaa ili nione kuna nini
ndani yake.

Please,hupaswi kuikosa,uwe umeoa/umeolewa au una mpango wa kuingia kwenye ndoa
karibuni,please itafute hiyo movie uangalie,hautajuta kuutumia mda wako on it.

Naamini kuna mambo yameongelewa humo ambayo unaweza kuyatumia kama ushauri
kwako binafsi au kwa mwingine,lakini ni vyema ukaenda kisimani mwenyewe kuchota maji
upendavyo.

Speaker.
 
Thx! Ni muhimu watu kuthamini hii Taasisi ya Ndoa,kwani itapunguza matatizo mengi mbeleni kv Jamii ya Kifisadi nk
 
Tunakushukuru kaka, sasa tunaipataje?

Well,kuna option mbili,ya kwanza na rahisi ni:
1.Unaweza download kama una package ya kutosha.
Nenda hapa: Torrent Search Engine

Andika
View attachment 48727

Search for it,then utachagula link ya pili niliyo i-cancel.
View attachment 48728,........Click for a close view.

Chagua hiyo link,...then
View attachment 48729

Changua hiyo link yenye X1337x.org ndiyo iko faster na ya kuaminika.

Option ya pili na ngumu ni:
Kama uko dar nitafute kwenye Skype clemmy.clemmy
nika kupatia.
 
Thx! Ni muhimu watu kuthamini hii Taasisi ya Ndoa,kwani itapunguza matatizo mengi mbeleni kv Jamii ya Kifisadi nk

Haha,usiongelee ufisadi bana wengine hatutaki pressure za siasa huku.
 
Spika ni nani tena?
Sijawahi sikia hiyo jina kabisa.
Naitwa Speaker.

Angalia kuna Thread inayofatana na hii yako, ina headin' "NIMEFIWA NA MWANANGU MUHIMBILI" then angalia Thread creater utanielewa nnachokisema.
 
Angalia kuna Thread inayofatana na hii yako, ina headin' "NIMEFIWA NA MWANANGU MUHIMBILI" then angalia Thread creater utanielewa nnachokisema.

Duh,kweli aisee.
Jina limesha chaka chuliwa tayari lol.

Ila jina sio identity naamini,hata kama tuko nyuma ya keyboard
utajua tu kwamba Speaker na Spika hawafanani,sio kwa Tafsiri za majina lakini.
 
Umenikumbusha mbali sanaaaaa.Inabidi weekend nije tuangalie wote.

Mmmh,tena na tena na tena haha.
Weekend nitaamuangalia Vick vujicic,...No arm,no legs,No worries.
It's wonderful,encouraging and inspiring,....
 
It is the one of the best movies I have ever watched. Sichokagi kuirudiarudia.
Pia nyingine ni ' A good man is hard to find' na 'Family that preys'.
Ila the best of all is 'FIREPROOF'
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom