Ndoa maana yake nini?Je mahusiano maana yake nini?Halafu pia mwenzi wa ndoa nini au ni nani?Usikurupuke,jiulize vyema juu ya unachotaka kujibu halafu ndo ujibu...
Unapopata mpenzi na mmemaliza hatua ya kuktongozana na ukakubaliwa je ni mda gani inatakiwa ili mkatende tendo husika??
Je wewe utumia mda gani au leo na vyombo siku hiyohiyo??
tulianza safari kama mida ya kumi na mbili na ushee kwenda hapo mji kasoro bahari ndani ya bm couch, walengwa walikuwa wamekaa adjacent siti ya mbele, kama kawaida niko na kamchina kangu jamii...
Its amazing how the cycle of luv is vicious.
You find luv in abundance,you dont appreciate.it moves on.
You also move on and its ur turn to luv in abundance-the loved one doesnt appreciate you...
Habari za Hasubuhi 'The Great Thinkers'
Naomba kuwasilisha mada hii ili niweze kupata ushauri mzuri wa kumpa Rafiki yangu ili aweze ku MOVE ON.
Anaitwa Anitha (Sio jina Halisi), Anitha ni...
Being ignored feels bad. The more that person is important to you the more pain and rejection you will experience. It's nice not to care about people and have uncaring attitude, but what if...
These tips are for every woman out there who suspects that her man is being unfaithful. It is never wise to accuse without proof so, if you want to catch him cheating you'll have to do a little...
Guys,kwa nini mvulana ama msichana akijua unampenda anaanza kuleta mbwembwe?.Yani mapozi,utakuta mtu anajua kabisa,Mary ananipenda,au John ananipenda,hapo kesi zinaanza.Wakati kabla ya kujua...
Sitaacha kushangaa ya dunia. . . . . . . . . Nilikutana na huyu jamaa kwenye hiace,jamaa alikua mwingi wa mawazo,mpaka wakati mwingine akawa anazungumza mwenyewe,nikamuuliza kulikoni?Ndipo...
Usitake kujua ni new member ama lah.
Wewe nikaribishe tu hapa tuwe tunajadili
yale ambayo yanafanya dunia izunguke na isife. Sex.
Nikaribisheni tafadhali maana hii forum MMU wajua nini...
Mahusiano hasa ya mapenzi. Mapenzi hayangalii kuna wanaume walioko vyuoni wakabahatika kupata wapenzi huko na wasio wanachuo wakapata wanawake wa chuo..
Sasa uliye na mpenz chuo ukiona mpenz wako...
Kuna mambo huwa yanashangaza na pengine kuchekesha, ni kisa cha
huyu Jirani yangu.
Kila siku amekuwa akimsimulia mkewe juu ya wapenzi wake wa zamani
hasa pale anapowaona akiwa na mkewe...
habari za jioni wana jamii!? nipo kwenye costa natoka Bagamoyo kutembelea rafiki zangu.
jambo ambalo limenituma hadi naanzisha hii thread ni kwamba kuna mtu amekaa siti ya nyuma yangu ana simu...
Someone once told me that:-
"couple's first fight sets tone for all future's arguments"
Je kauli hii ina ukweli? Tujikumbushe kwa kujibu maswali yafuatayo:-
Do u remember ur first fight...