porn movie ndani ya basi Bagamoyo! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

porn movie ndani ya basi Bagamoyo!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Prince Nadheem, Apr 26, 2012.

 1. Prince Nadheem

  Prince Nadheem JF-Expert Member

  #1
  Apr 26, 2012
  Joined: Feb 25, 2012
  Messages: 1,026
  Likes Received: 172
  Trophy Points: 160
  habari za jioni wana jamii!? nipo kwenye costa natoka Bagamoyo kutembelea rafiki zangu.
  jambo ambalo limenituma hadi naanzisha hii thread ni kwamba kuna mtu amekaa siti ya nyuma yangu ana simu lake la mchina.
  sasa huyo mtu ni anaangalia pornograh tena kwa sauti ya juu kabisa!
  jambo ambalo kidogo nimeliona ni absurd ni kwamba nimeingia nimekuta bado siti mbili yani gari limejaa na ni watu wa rika tofauti hadi kina baba na mama.
  ni kutokana na hali niliyoikuta ya watu kutochukua hatua imebidi nami nifunge mdomo coz am afraid may be watu walireact halafu jamaa akariakt plus plus ndo maana ameendelea na dominance yake.
  jamani hata nakosa maneno ya kuendelea...
   
 2. idawa

  idawa JF-Expert Member

  #2
  Apr 26, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 18,524
  Likes Received: 10,441
  Trophy Points: 280
  mweleshe kistarabu atakuelewa.madamu huyo jamaa sio mstarabu kwenda naye taratibu. Ulimbukeni huo
   
 3. N

  NnyaMbwate JF-Expert Member

  #3
  Apr 26, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,398
  Likes Received: 528
  Trophy Points: 280
  Mwambie konda na Driver wapeleke gari Polisi. Kwa wanataaluma ya sheria naomba mtujuze: Hakuna sheria ya kuharamisha uonyeshwaji wa picha chafu katika public area?
   
 4. sun wu

  sun wu JF-Expert Member

  #4
  Apr 26, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 2,025
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 0
  kama ni simu ya Mchina nadhani muda si mrefu battery itakwisha.., vichaa kama hao sio wa kuwa-confront wanaweza wakamalizia stress zao kwako, ingekuwa busara kama abiria mgeshuka kuliko kuendelea kupata huo uozo au hakuna gari jingine karibu?
   
 5. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #5
  Apr 26, 2012
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Bagamoyo? Huyo abiria si nikisikia alikuwa Malawi baada ya kutoka Brazil? kumbe amesharudi!!
  Mwambie aache ushamba na ngono zakeanakwaza watu.
   
 6. sun wu

  sun wu JF-Expert Member

  #6
  Apr 26, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 2,025
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 0
  achana na picha chafu tu (hapo utakuwa umevunja sheria zaidi ya moja) hata kupigia watu kelele na miziki yako ni unsocial behaviour na public nuisance.., sasa tukianza kuchambua hapo kwa sheria za kitanzania huruhusiwi hata kuwa na pornographic material let alone showing it to people (ambapo kunaweza kuwa na minors hapo)
   
 7. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #7
  Apr 26, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  si bora huyo nenda ubungo mataa wanavyo ziuza kama njugu au vitumbua kwenye madaraja ya barabara za mwananyamala..
   
 8. Prince Nadheem

  Prince Nadheem JF-Expert Member

  #8
  Apr 26, 2012
  Joined: Feb 25, 2012
  Messages: 1,026
  Likes Received: 172
  Trophy Points: 160
  yani stendi ni nyeupee,ila kama ulivosema nimeckia limlio kama la computer tower pentium 4 linazima then afterwards total silence.nadhani betri ndo bye bye!
  u are really a great thinker.
   
 9. sun wu

  sun wu JF-Expert Member

  #9
  Apr 26, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 2,025
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 0
  Sasa mkuu hapo ubora upo wapi (yaani kusikilizishwa kitu ambacho hutaki tena mbele ya watu ambao umri ni kama wazazi wako na dada zako) au kuuziwa kitu ambacho hulazimishwi kununua wala kuangalia ?
   
 10. Mandingo

  Mandingo JF-Expert Member

  #10
  Apr 26, 2012
  Joined: Sep 22, 2011
  Messages: 3,377
  Likes Received: 316
  Trophy Points: 180
  Duh mkuu umenikumbusha siku moja tulikua kwenye lecture kumbe kuna mdingi alikua anacheki pono asa kwa bahati mbaya akaongeza sauti aisee hapakutosha ilibidi mbindigi amtupie dogo alie kaa karibu coz alishindwa hata kuzima kwa kiwewe!
   
 11. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #11
  Apr 26, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Anaonyesha au anaangalia?

  Mtoa mada. . .
  Ombeni redio iwashwe msisikie!!
   
 12. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #12
  Apr 26, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  Lakini si ndio hobi ya wa huko?

  (Msiniue, nimeropoka tu)
   
 13. p

  punainen-red JF-Expert Member

  #13
  Apr 26, 2012
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 1,735
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Ouch! Mamaa mbavu zangu. Mkuu umenikumbusha mbali sana dah.
   
 14. Architect E.M

  Architect E.M JF-Expert Member

  #14
  Apr 26, 2012
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 814
  Likes Received: 117
  Trophy Points: 60
  hahahahahahaahahahah,,, mkuu umetisha!!,,, umenivunja mbavu
   
 15. Prince Nadheem

  Prince Nadheem JF-Expert Member

  #15
  Apr 26, 2012
  Joined: Feb 25, 2012
  Messages: 1,026
  Likes Received: 172
  Trophy Points: 160
  alikuwa anaangalia mkuu ila nadhani betri la simu yake limekata maana kuna ukimya sasa.
   
 16. d

  debito JF-Expert Member

  #16
  Apr 26, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 204
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  huo ni ushamba tu labda mwenyewe anajiona bonge la mjanja
   
 17. mzurimie

  mzurimie JF-Expert Member

  #17
  Apr 26, 2012
  Joined: Oct 16, 2011
  Messages: 6,151
  Likes Received: 1,604
  Trophy Points: 280
  duh labda wengi wataaomba wajisaidie haja ndogo njiani.
   
 18. Kipis

  Kipis JF-Expert Member

  #18
  Apr 26, 2012
  Joined: Jul 23, 2011
  Messages: 493
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  huenda kuna kicheche anakichukulia style baadae akajivinjari nako si mnajuwa wengine mzuka haupandi mpaka wa-boost kwanza!!?
   
 19. m

  man ellie New Member

  #19
  Apr 26, 2012
  Joined: Jan 21, 2012
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Pole sana ndugu yangu bt washamba km hao wapo wengi sana km jitoe muhanga mweleze madhala yake mbele ya sheria
   
 20. M

  Mboerap Senior Member

  #20
  Apr 26, 2012
  Joined: Apr 8, 2012
  Messages: 156
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Sio aliweka sauti ya juu mwanangu, mi sim ya ki china haina sailens. Hapo mwenzako ndo alipunguza hadi zero
   
Loading...