Hatua ya kwanza je ni mda gani ukuchukua kuingia hatua ya pili ya mahusiano?/ | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hatua ya kwanza je ni mda gani ukuchukua kuingia hatua ya pili ya mahusiano?/

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by KakaKiiza, Apr 28, 2012.

 1. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #1
  Apr 28, 2012
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,548
  Likes Received: 2,273
  Trophy Points: 280
  Unapopata mpenzi na mmemaliza hatua ya kuktongozana na ukakubaliwa je ni mda gani inatakiwa ili mkatende tendo husika??
  Je wewe utumia mda gani au leo na vyombo siku hiyohiyo??
   
 2. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #2
  Apr 28, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 589
  Trophy Points: 280
  Miaka 8.
   
 3. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #3
  Apr 28, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,655
  Likes Received: 35,416
  Trophy Points: 280
  Acha uongo Mwajei
   
 4. Mwali

  Mwali JF-Expert Member

  #4
  Apr 28, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 7,032
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  I am saving myself for marriage. :nono:
   
 5. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #5
  Apr 28, 2012
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,548
  Likes Received: 2,273
  Trophy Points: 280
  Dah!yani inaonekana mpaka unaolewa unaweza ukawa umekuwa na boyfriend mmoja wapili mume!!
   
 6. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #6
  Apr 28, 2012
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,548
  Likes Received: 2,273
  Trophy Points: 280
  Umeona NN siajabu huyo unatekenya na gari inanyanyukia kwenye 90!!Kaka kimya!!
   
 7. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #7
  Apr 28, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 589
  Trophy Points: 280
  hutaki?/huamini?
   
 8. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #8
  Apr 28, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 589
  Trophy Points: 280
  yap, kuwa na mabf wengi sio fashion.
   
 9. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #9
  Apr 28, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 589
  Trophy Points: 280
  good girl!
  .
   
 10. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #10
  Apr 28, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,860
  Likes Received: 1,133
  Trophy Points: 280
  mh, mwaka hv!
   
 11. S

  Smarty JF-Expert Member

  #11
  Apr 28, 2012
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 729
  Likes Received: 149
  Trophy Points: 60
  si kweliiiiiii
   
 12. Mwali

  Mwali JF-Expert Member

  #12
  Apr 28, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 7,032
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  I know. Nataka shangazi apewe zawadi kubwa siku hiyo. lolest
   
 13. Duduwasha

  Duduwasha JF-Expert Member

  #13
  Apr 28, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 5,142
  Likes Received: 2,177
  Trophy Points: 280
  Ndio Siku hiyo hiyo... kwani ukingojea siku nyingine basi itakubidi uanze kutongoza tena... na akizingua unampa three times akikataa zote basi huyo achana nae anatakuwa na matatizo ya..! Internal Affairs  oi....! Madada waoga kwenye Maongezi hawa ila Wakingia Ndani wao ndio wa Kwanza Kuvua Nguo!
   
 14. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #14
  Apr 28, 2012
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,548
  Likes Received: 2,273
  Trophy Points: 280
  Itategemea hiyo zawadi inatolewa kwa lipi.......yote yanawezekana!lol!
   
 15. Duduwasha

  Duduwasha JF-Expert Member

  #15
  Apr 28, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 5,142
  Likes Received: 2,177
  Trophy Points: 280
  Siamini hili na This days watu kuoa lazima Watest...

  am doubt kwa hili
   
 16. Mwali

  Mwali JF-Expert Member

  #16
  Apr 28, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 7,032
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Kha! mbona wote mnadoubt sasa? Hivi mnadoubt nini? lol
   
Loading...