Wenye wapenzi vyuo vikuu, ukiyaona haya kaa tayari... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wenye wapenzi vyuo vikuu, ukiyaona haya kaa tayari...

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Andrew Jr, Apr 26, 2012.

 1. A

  Andrew Jr JF-Expert Member

  #1
  Apr 26, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 318
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  Mahusiano hasa ya mapenzi. Mapenzi hayangalii kuna wanaume walioko vyuoni wakabahatika kupata wapenzi huko na wasio wanachuo wakapata wanawake wa chuo..
  Sasa uliye na mpenz chuo ukiona mpenz wako anakwambia haya jiangalie;
  1. Ukimpgia simu, utaskia honey niko lecture
  2. Then leo rafiki yangu ana mgeni usipige
  3. Niko kwenye pepa na zinafanyika siku nzima.
  Kumbeeee.....
   
 2. Geofrey_GAMS

  Geofrey_GAMS JF-Expert Member

  #2
  Apr 26, 2012
  Joined: Feb 15, 2012
  Messages: 564
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 45
  hyo namba 2 rafiki yangu ana mgeni ndo inatishia amani, maana mweny mgen siyo rafki ake ni yeye
   
 3. K

  Kidogo chetu JF-Expert Member

  #3
  Apr 26, 2012
  Joined: Nov 27, 2009
  Messages: 1,381
  Likes Received: 771
  Trophy Points: 280
  heri mie niliye na wangu nyangeta wa kijijini
   
 4. T

  Tenths Senior Member

  #4
  Apr 26, 2012
  Joined: Mar 2, 2010
  Messages: 108
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Her wakwangu nipo nae chuoni.
   
 5. rushanju

  rushanju JF-Expert Member

  #5
  Apr 26, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 2,340
  Likes Received: 1,046
  Trophy Points: 280
  Uzi kama huu ushaletwa jamvini. Pekua utaona
   
 6. P

  PYOPYO Member

  #6
  Apr 26, 2012
  Joined: Apr 5, 2012
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hivi wapendwa hamjui kuwa chuo wasichana wengi hupata degree zisizo zao kwa kufanyiwa assignment!!!! Na huwa nao wa aina tatu 1. wa madesa {masomo} 2. wa cafeteria{ yaani masuala ya mapolokochoko manjale-misosi} 3. wa ukwelikwa hiyo jitathimini wewe uko wapi?
   
 7. Nzowa Godat

  Nzowa Godat JF-Expert Member

  #7
  Apr 26, 2012
  Joined: Jun 15, 2011
  Messages: 2,630
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Ni vyema umeletwa tena na ndio maana umepata wachangiaji.
   
 8. satellite

  satellite JF-Expert Member

  #8
  Apr 26, 2012
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 603
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Ukiona hivyo anapigwa lecture bwana
   
 9. Capital

  Capital JF-Expert Member

  #9
  Apr 26, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 1,036
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  leta ushahidi
   
 10. Typhoid

  Typhoid JF-Expert Member

  #10
  Apr 26, 2012
  Joined: Feb 7, 2012
  Messages: 209
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wengine hatukuuona,wacha wivu!
   
 11. Typhoid

  Typhoid JF-Expert Member

  #11
  Apr 26, 2012
  Joined: Feb 7, 2012
  Messages: 209
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hata mie ninae nyambura wa tarime!
   
 12. k

  kabye JF-Expert Member

  #12
  Apr 26, 2012
  Joined: Nov 4, 2011
  Messages: 355
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Additional point: mi yashanikuta kama hayo bana kule "SUA", kale kabinti bwana kila nikikacall kana sema kapo buzy mpaka 2300hrs night, weekend kanasema kana paper all days, mala kana meeting na department/lectures, sim kaiacha charge, sim kaisau room, sim alimpa room, sim alimuachia jirani yake, mala sim itakata sasa hivi aina charge apo saa 22oohrs-2300hrs. kumbuka apo mtu umemsaidia for 6yrs alafu ana kudelete kisela iINAUMA KINOMA.
   
 13. Maalim Jumar

  Maalim Jumar JF-Expert Member

  #13
  Apr 26, 2012
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 1,443
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Maumivu ndio inaumiza sana!
  Utaamua maamuzi mabaya...bora usamehe!.
   
 14. buhange

  buhange JF-Expert Member

  #14
  Apr 26, 2012
  Joined: Oct 23, 2011
  Messages: 494
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 45
  Duuuh! yangu macho, hapo kwenye issue ya Cafeteria mmmmh!
   
 15. Mwasandembwa

  Mwasandembwa Member

  #15
  Apr 26, 2012
  Joined: Apr 24, 2012
  Messages: 73
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 15
  Colag iz 4 knoleddg and knoledg iz 4 lyf,lyf iz 4 wif bt smtym wif can b a knf which can cut ua lyf.
   
 16. GEMBESON

  GEMBESON JF-Expert Member

  #16
  Apr 26, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 256
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Hayo ndiyo mafiga matatu kaka, asilimia kubwa ya wakina dada walioko vyuoni wako kwenye staili za namna hii. Mimi nilipata uzoefu kwa wadada niliokuwa nao chuoni.
   
 17. d

  debito JF-Expert Member

  #17
  Apr 26, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 204
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  kazi mnayo wapangwaji,kwa stahilli hii ngoma kuisha ni hadithi
   
 18. Nambe

  Nambe JF-Expert Member

  #18
  Apr 26, 2012
  Joined: Jan 18, 2011
  Messages: 1,455
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  pole mkuu, wengi huwa wanajisahau sana na kuwasahau wale wanaowapenda kweli, mapenz ya chuo yana usanii mwingi sana lakn kwa upande we2 wakina dada wengi wao wanajihusisha na wapenz wengine kwa kutaka maisha flan ambayo hana uwezo nayo, kibaya zaid wasichana wa namna hii wanaishia kwenda na mibaba mikubwa tena yenye wake na watoto.
   
 19. Nambe

  Nambe JF-Expert Member

  #19
  Apr 26, 2012
  Joined: Jan 18, 2011
  Messages: 1,455
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  bongobila UKIMWI haiwezekan
   
 20. Vaislay

  Vaislay JF-Expert Member

  #20
  Apr 27, 2012
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 4,512
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  hahhaha kazi kweli kweli
   
Loading...