Mke wa mtu anapoona wivu kwa hawara yake!!

Eiyer

JF-Expert Member
Apr 17, 2011
28,258
20,709
Sitaacha kushangaa ya dunia. . . . . . . . . Nilikutana na huyu jamaa kwenye hiace,jamaa alikua mwingi wa mawazo,mpaka wakati mwingine akawa anazungumza mwenyewe,nikamuuliza kulikoni?Ndipo akaniambia kuwa. . . . Yupo kwenye uhusiano na mama mmoja mke wa mtu,jama umri wake ni midle 30's na yule mke wa mtu ana miaka 45,jamaa amemwambia huyo mama anataka kuoa huyo mama amekuja juu,akamwambia kama anataka kuoa asimwache.Jamaa hataki anataka akioa yeye na huyo mke wa mtu basi,yule mke wa mtu ana hela na amemwambia akimwacha atamfanyia kitu mbaya sana!Jamaa ana hofu,kuoa anataka ila anamuogopa huyo mama.Nikajiuliza inakuaje mke wa mtu anakua na wivu na hawara yake wakati yeye ana mume??Sijapata jibu!
 
Mkuu mbona mambo ya kawaida hayo!!

Sioni kitu gani kinamwogopesha....huyo atakuwa tegemi fulani hivi kwa mama!
 
Yakhe kila mla cha mwenzie naye chake huliwa! Asimwache hawara wake na akubaliane na hali pale mkewe mtarajiwa atakapopata hawara.!
 
Osaka kuna ukawaida gani mke wa mtu kuona wivu wakati yeye ameolewa?
 
Last edited by a moderator:
Osaka kuna ukawaida gani mke wa mtu kuona wivu wakati yeye ameolewa?

Mkuu hilo wala sio la kushangaza maana inaweza kutokea hata kahaba akawa na wivu na wewe kutokana na unavyomridhisha.Maana ukiongelea wivu wapo ambao anakuonea wivu sababu anajua ukiwa na wengine unazompa yeye zitakuwa kidogo,na wapo wengine kama huyo mama ambaye hata kama huna cha kumpa anakuwa ameridhika tu na vile unavyomridhsha.Kwa hiyo wala usishangae kwa huyo mke wa mtu kuwa na wivu na huyo jamaa kwani hujui anakosa nini kwa mumewe na anapata nini kwa huyo jamaa.Hapa nimeongelea wivu tu,lakini sikubaliani na mtu aliye kwenye ndoa kuwa na mpango wa kando hata siku moja..
 
Wivu unakuwepo tena sanaaaaa,sababu ya mazowea mapenzi na unavyomliwaza,inawezakua huyo mama mumewe mda hana anatafuta pesa akimparamia mkeo mara moja dakika 5 nyingi anamuacha mwenzie anahesabu boriti,kampata huyo kijana wawatu anajituma sio mvivu mchezoni mama anaona raha imemshukia asione wivu kwa nini? na anajua wazi mchezo ataupata mwenzie na atarudi kule kule kwenye kuhesabu boriti .......
 
Unajisifiku kugonga mke wa mtu eh, utaliwa kiboga na uoe haraka na wenzio wakugongee na naomba mkeo awe na wivu kwa hawara wake mara mia. Hv kuna raha kugongewa eh, ngoja uoe ugongewe utauona UTAMU WA KUGONGEWA
 
that woman is a mean biyatchhh khaaa and the dude is simply stupid,, kwanini aende kumwambia huyo mke wa mtu kuwa anaoa ili iweje?? yeah i agree na mdau mmoja hapo juu wat goes around comes around,,:target:
 
Back
Top Bottom