Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Nafurahi nmepata sex patner ana bf wake na mimi nina gf wangu.....kwa vile wote tupo mbali na wapenz wetu tumeamua kusaidiana kwa hili...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Honey Sema Huwa napata furaha sana kila ninapopata muda angalau kidogo wa kukuandikia yaani kukujulia hali yako , kuulizia maendeleo yako , kukusalimia na kujua mambo mengi zaidi kuhusu...
0 Reactions
6 Replies
9K Views
Ilikua jumamosi asubui natoa gari getini, mara naskia mke wa jirai yangu ananiuliza Shemeji utapita pale Petrol satation? Kwa sababu nilikua narudi njuma nilikua sijamuona ila yeye alikua kasimama...
11 Reactions
73 Replies
6K Views
Spending too much time with your husband,wife or your lover...is it good or bad? Namaanisha muda wote mko pamoja hampeani hata break! Ukigeuka hivi yupo,ukigeuka vile unamuona labda mnafanya kazi...
0 Reactions
24 Replies
2K Views
jamani hivi hapa kuna mapenzi kweli?
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Yap nipo Dar natafuta mchumba, umri wangu ni miaka 23 priority zaid kwa yule anayetokea maeneo ya dar
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Watu husema unaweza kumfanya mwanamke kuwa malkia wa uingereza lakini kama hakupendi atakunyea tu bila kujali,hii yaweza kuwa kweli.Lakini niyoyashuhudia juzi yameniaminisha pia ukiwa na fedha...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
WANA-JF, FUATILIA HIYO LINK HAPO CHINI NA UJIONEE MWENYEWE KILICHOTOKEA KENYA KWA JAMAA ALIYEKUWA AKIVINJARI NA MKE WA MTU. MKE WA MTU SUMU. FUATA LINK NA JIONEE MWENNYEWE YALIYOWAKUTA LIVE...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Habari wanajamiiforums" nina mpenz wangu ninampenda sana, lakin ikifika wakati ninapotaka kula tunda huwa ni mkari na hubadilika hadi sura,muda mwingine huniruhusu lakin ninapojaribu kuinsert tu...
0 Reactions
37 Replies
3K Views
Naitwa JAMES, umri wangu ni 27,ni kijana wa kisasa, kwa imani ni MKRISTO na kwa sasa ninaishi DSM. natafuta msichana mwenye umri kati ya 18 hadi 23 na sifa kubwa awe Mkristo na mwenye kujiheshimu...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Wakuu huwa nimekuwa na mahusiano na dada mmoja na nilimjali kwakila kitu na pia familia yake ikawa inatambua mahusiano yetu ila cha ajabu nilipokuwa nikitoka kwenda mikoani kutafuta riziki basi...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Inavyo onekana watu wengi hawajui maana ya nguvu za kiume. huenda hata wewe hujui. ndiyo maana wengine wanavuka mstari na kusema hata wanawake wanazo nguvu hizo. wengi huchanganya wanashindwa...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
na maanisha kwa mfano una friend wako ulimpenda sana kiasi ya kuwa nafsi ikaanza kumpenda na ukawa una mfanyia mengi ili kumfurahisa ila hamujahi kutana face to face rafiki wa barua .ila...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Jamani ni muda umepita ndangu nilipopenda mwanzoni now yapata taklibani 3yrs sijawahi hisi kupenda tena,but now nahisi kumpenda mkaka kiasi nikimuona nasikia raha,sitamani haondoke,natamani...
2 Reactions
53 Replies
10K Views
Umeshawahi kumcheat mwenza wako..? unadhani alikosea wapi mpk ukafikia uamuzi huo..!?
0 Reactions
9 Replies
1K Views
kipindi tunaanza mapenzi alinionyesha sana love lakini sasa yupo chuo inafikia kiasi ananijibu hovyo,kunitukana,nikimwambia kitu haniskizi yanapomuharibikia anataka tusolve... mapenzi yetu yamekua...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Tuko mahali tunajaribu kupunguza tustress twa mchana Wa Leo. Dogo moja kapata mbili tatu ndo akamkumbuka wake mwandani. Kanyanyua kilongalonga akampigia akanza kukwambia SEMA BABY I Love you...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Nimekuwa nikisifiwa na akina dada eti nina lips nzuri, na wengine huwa wanataka just to make up with me, huwa ninashangaa hivi ni kweli au wanakuwa wamenizimia? Kwa upande wetu sisi wanaume ni...
1 Reactions
69 Replies
7K Views
A VIRGIN aged 70 declared she is ready to have sex. Cabaret singer Pam Shaw said she has always been too busy working to find a man. And even though she sings under the saucy name The Sexational...
1 Reactions
29 Replies
3K Views
Nimejitambulisha kwa wana MMU mod wakaifuta thread yangu, nimerudi tena wapendwa wa MMU, nipokeeni tujenge mapendo daima, kupitia mapendo nchi yetu itakuwa na amani teleeeeeeeeeeeeee
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…