Natafuta mke wa kuoa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natafuta mke wa kuoa

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Kanyunyu, May 10, 2012.

 1. Kanyunyu

  Kanyunyu JF-Expert Member

  #1
  May 10, 2012
  Joined: May 2, 2012
  Messages: 301
  Likes Received: 444
  Trophy Points: 80
  Naitwa JAMES, umri wangu ni 27,ni kijana wa kisasa, kwa imani ni MKRISTO na kwa sasa ninaishi DSM.
  natafuta msichana mwenye umri kati ya 18 hadi 23 na sifa kubwa awe Mkristo na mwenye kujiheshimu na asiwe mapepe
  Itakuwa vizuri awe mweupe, mrefu kiasi na mnene kiasi na mwenye elimu kuanzia form four

  Dhumuni kubwa ni kuwa mchumba wangu kwa sasa na hatimaye Mungu akipenda tuje kufunga ndoa na kuishi pamoja
  hapo baadae. Kiukweli nimevumilia sana kuwa mwenyewe kwa kipindi chote nilichokuwa nasoma, Tafadhali kama upo tayari kuwa nami naomba uni PM  Namba ya simu itafuata baadaE
   
 2. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #2
  May 10, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  define kijana wa kisasa kwanza.
   
 3. Wingu

  Wingu JF-Expert Member

  #3
  May 10, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,326
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Maziwa,makalio huna hajanayo sana ehh
   
 4. Kanyunyu

  Kanyunyu JF-Expert Member

  #4
  May 10, 2012
  Joined: May 2, 2012
  Messages: 301
  Likes Received: 444
  Trophy Points: 80
  kijana wa kisasa, maana yake SIO MNYANGA
   
 5. OLESAIDIMU

  OLESAIDIMU JF-Expert Member

  #5
  May 10, 2012
  Joined: Dec 2, 2011
  Messages: 19,193
  Likes Received: 182
  Trophy Points: 160
  Indomitable Lion
   
 6. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #6
  May 10, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  Ndio simba gani huyu tena?
  Anayekula nyasi?

   
 7. OLESAIDIMU

  OLESAIDIMU JF-Expert Member

  #7
  May 10, 2012
  Joined: Dec 2, 2011
  Messages: 19,193
  Likes Received: 182
  Trophy Points: 160
  Timu ya taifa ya..............................
   
 8. Prof Gamba

  Prof Gamba JF-Expert Member

  #8
  May 10, 2012
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 390
  Likes Received: 114
  Trophy Points: 60
  Duh! Hizi ni dalili za kukata tamaa au ni udomo zege. Wadada walivyo wengi sana huko mtaani na wa kila namna wewe umeona ni vema ukaingia mtandaoni kuwasaka? Lakini hapa JF sidhani kama watakuwa wengi wa umri unaowataka mpaka ukampata unayemtaka. Anyway, kila la kheri mkuu.
   
 9. M

  Moony JF-Expert Member

  #9
  May 10, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 1,593
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Toa Cv iliyokamilika km: elimu yako kazi yako n.k
   
 10. k

  kisukari JF-Expert Member

  #10
  May 10, 2012
  Joined: Jul 16, 2010
  Messages: 3,753
  Likes Received: 1,038
  Trophy Points: 280
  unaonyesha kama upo serious.good luck
   
 11. no9

  no9 Senior Member

  #11
  May 10, 2012
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 190
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  hebu msaidieni mimi nilikua na rafiki yangu alishindwa kutongoza tukamtafutia binti tukamsomesha akaelewa cha kufanya mpaka leo ni mke na mume kijana alikuwa na pesa swala la wanawke lilimshinda
   
 12. Kanyunyu

  Kanyunyu JF-Expert Member

  #12
  May 10, 2012
  Joined: May 2, 2012
  Messages: 301
  Likes Received: 444
  Trophy Points: 80
  Nipo serious, kisukari nipigie pande bac huko kitaani kwako au mdogo mtu itakuwa mzux
   
 13. Kanyunyu

  Kanyunyu JF-Expert Member

  #13
  May 10, 2012
  Joined: May 2, 2012
  Messages: 301
  Likes Received: 444
  Trophy Points: 80
  profile yangu iko vizuri, ondoa shaka
   
 14. Kanyunyu

  Kanyunyu JF-Expert Member

  #14
  May 10, 2012
  Joined: May 2, 2012
  Messages: 301
  Likes Received: 444
  Trophy Points: 80
  Nipo serious, kisukari nipigie pande bac huko kitaani kwako au mdogo mtu itakuwa mzux [​IMG] Edit Post [​IMG] Reply [​IMG] Reply With Quote [​IMG]
   
 15. Consultant

  Consultant JF-Expert Member

  #15
  May 10, 2012
  Joined: Jun 15, 2008
  Messages: 5,781
  Likes Received: 6,267
  Trophy Points: 280
  No offense though......
  Kama mtu umeshindwa kupata mchumba hatimaye mke kwenye sehemu potential zoooooooooote - shuleni, chuoni, kazini, kanisani, msibani, kwenye harusi, msikitini, mtaani kwako, mtaani kwa baba/mama yako, jirani zako etc etc, na utegemee kupata mke kwenye mtandao, THEN kuna tatizo somewhere, tena tatizo kubwa.

  Hawa wa kwenye mtandao ndo walewale unaojaribu kuwakimbia huko uraiani - na kama wa ''uraiani'' hawafai, then hawa hawafai pia.
   
Loading...