Akina dada's, eti huwa mnapenda lips zetu?

Typhoid

JF-Expert Member
Feb 7, 2012
223
66
Nimekuwa nikisifiwa na akina dada eti nina lips nzuri, na wengine huwa wanataka just to make up with me, huwa ninashangaa hivi ni kweli au wanakuwa wamenizimia? Kwa upande wetu sisi wanaume ni kweli lips za akina dada huwa zinatupagawisha sometimes. Je akina dada's ni kweli huwa mnazimikia lips zetu pia?
Angalizo...... Kwa wanaume sio lazima kuchangia maana hamuna idea yoyote na lips zetu kwa hio muipotezee hii post, najua mtaishia kunirushia makombora ila ndo hivo tena mwenzenu napendwa.
 
hakika we ni wakupumuliwa, mwanaume hasifiwi lips bali cashflow. Kwa mfano mimi ni jitu jeusi, chogo kuuubwaaa, mfupi, lakini daily najimegea tumiss tena first class au we unazungumzia vitoto vya jk
 
hakika we ni wakupumuliwa, mwanaume hasifiwi lips bali cashflow. Kwa mfano mimi ni jitu jeusi, chogo kuuubwaaa, mfupi, lakini daily najimegea tumiss tena first class au we unazungumzia vitoto vya jk

huyu lazima anapumuliwa kiukweli sio bure
 
Sio wote wanao penda Lips au niseme kila mtu anacho kinacho mvutia kwa mpenzi wake wengine nyusi wengine urefu,macho,sura,lakini yote hayo yataonekana kama ATM yako inasomeka vizuri.....
 
Nimekuwa nikisifiwa na akina dada eti nina lips nzuri, na wengine huwa wanataka just to make up with me, huwa ninashangaa hivi ni kweli au wanakuwa wamenizimia? Kwa upande wetu sisi wanaume ni kweli lips za akina dada huwa zinatupagawisha sometimes. Je akina dada's ni kweli huwa mnazimikia lips zetu pia?
Angalizo...... Kwa wanaume sio lazima kuchangia maana hamuna idea yoyote na lips zetu kwa hio muipotezee hii post, najua mtaishia kunirushia makombora ila ndo hivo tena mwenzenu napendwa.

hawakusifiagi kuwa una wezere la kuvutia?
 
kiukweli kwa upande wangu huwa nasifiwa na dada yako kwa kazi ninayo mpaga kwenye 6 kwa 6 na si lips zangu kwanza lips zangu zimepasuka pasuka
 
Wanaume warembo sijui masharobaro sinaga time nao, mwanaume wa kupaka lip shine wa nini??anhaaaa
 
Kumbe una lips nzuri, hongera. Na wakaka wanakusifia lips zako?

Wanamme wenye akili ya mwanamme ni sexy zaidi kuliko wenye lips kama za Angelina Jolie.
 
Kumbe ninyi wasichanamnapenda atm kabla ya yote??
Sio wote wanao penda Lips au niseme kila mtu anacho kinacho mvutia kwa mpenzi wake wengine nyusi wengine urefu,macho,sura,lakini yote hayo yataonekana kama ATM yako inasomeka vizuri.....
 
Lips zikiwa kissable tu inatosha. . mambo ya kuwa sexy and what not hayahusu kwa mwanaume.

Alafu hao wadada hua wanakuambia m'make up' kitu gani?
 
hahahhah Typhod kajitahiiiiiiiiiiiiiiiiidi kuleta topic ya maana ndio kaleta hii,khaaa wewe ni uko under 20....unatusumbua wazee na tumada twako twa kitoto.
 
Acha uongo wewe, unawapenda sana

thubutuuu! Lips nzuri afu acount ina shiling ishirini ntakula lips??we vipi? Mwanaume hardworker,mtanashati and ofcoz mwenye cash ndo mpango mzima habari za wapaka lip shine na powder pelekeni huko huko kwa wanafunzi wenzenu!
 
Back
Top Bottom