Mkiambiwa mke wa mtu sumu hamtaki sasa jionee mwenyewe yaliyowakuta hawa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mkiambiwa mke wa mtu sumu hamtaki sasa jionee mwenyewe yaliyowakuta hawa

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by JATELO1, May 10, 2012.

 1. J

  JATELO1 JF-Expert Member

  #1
  May 10, 2012
  Joined: Oct 31, 2011
  Messages: 1,235
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 145
  WANA-JF,
  FUATILIA HIYO LINK HAPO CHINI NA UJIONEE MWENYEWE KILICHOTOKEA KENYA KWA JAMAA ALIYEKUWA AKIVINJARI NA MKE WA MTU.

  MKE WA MTU SUMU. FUATA LINK NA JIONEE MWENNYEWE YALIYOWAKUTA LIVE BILA CHENGA.  Bofya video hapo "youtube" utizame.

  Maelezo ya aliyeweka video hiyo yanasomeka hivi:

  Dude was having some action with someone else's wife and got stuck inside. Pastor comes to save the day.
  In Africa we call this witchcraft. I don't know if there's any scientific explanation.


   
 2. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #2
  May 10, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 160
  mke wa mtu nyama ya hamu tu.
   
 3. Binti Magufuli

  Binti Magufuli JF-Expert Member

  #3
  May 10, 2012
  Joined: Apr 2, 2011
  Messages: 7,460
  Likes Received: 760
  Trophy Points: 280
  we acha tu, bado ya mme wa mtu....... nimecheka hadi basi nilipoiona hii ki2
   
 4. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #4
  May 10, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,324
  Likes Received: 1,791
  Trophy Points: 280
  Nimecheka mbavu sina,lol!
   
 5. Jestina

  Jestina JF-Expert Member

  #5
  May 10, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,806
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  hahhaahahahahhhahah duh noma.....
   
 6. Laigwanan76

  Laigwanan76 JF-Expert Member

  #6
  May 10, 2012
  Joined: Nov 21, 2010
  Messages: 540
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Jamaa harudii tena huyo......akimwoma mke wa m2 lazima ageuze njia!
   
 7. Janjaweed

  Janjaweed JF-Expert Member

  #7
  May 10, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 9,528
  Likes Received: 882
  Trophy Points: 280
  hivi hizi dawa zipo???

  Sasa wakiumana na mwenye mali yupo safari inakuaje?
   
 8. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #8
  May 10, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Dodoma mikato hiyo ipo sana,,,wagogo wanaweza hiii teknolojia
   
 9. MVUMBUZI

  MVUMBUZI JF-Expert Member

  #9
  May 10, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 4,970
  Likes Received: 666
  Trophy Points: 280
  Mumewe huyu mwanamke kama ana roho nyepesi kama mimi anaweza asitamani tena hiyo kitu maisha yake yote kwani hiyo picha haitaondoka akilini mwake maisha yake yote.
   
 10. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #10
  May 10, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,963
  Likes Received: 1,847
  Trophy Points: 280
  jamaniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii hivi kweli utajiskije? manake si tu kudhalilishwa hii ni zaid
   
 11. Msafiri Kasian

  Msafiri Kasian JF-Expert Member

  #11
  May 10, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 1,812
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 160
  Duh! Hii ni noma,sijawahi ona zaidi ya kusikia tu! Ama kweli cha mtu mavi.mke wa mtu sumu.
   
 12. no9

  no9 Senior Member

  #12
  May 10, 2012
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 190
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  asiyesikia la mkuu atakuwa kashawakanya hao hawakusikia
   
 13. Vaislay

  Vaislay JF-Expert Member

  #13
  May 10, 2012
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 4,512
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
  hahaha jamaa jicho lilimtoka kudadek..hahhahha:eek2:
   
 14. myhem

  myhem JF-Expert Member

  #14
  May 10, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 932
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  duuh! hii ni balaa kweli kweli.yaani na kinamama wakiamua kututegeshea na sisi mbona itakuwa balaa zaidi!
   
 15. Eversmilin Gal

  Eversmilin Gal JF-Expert Member

  #15
  May 10, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 783
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  nooma yule aliyekua akitaka acheat i mean getruda aangalie ile picha je ikitokea ni heri tu kupotezea kuliko kucheat
   
 16. M

  Mlyafinono Senior Member

  #16
  May 10, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 177
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hii picha ni ya mwaka sijawahi kuona zaidi ya kusikia, nimemsikia mwanamke akimwabia mwezake yaani umeshindwa kabisa kutoka,
   
 17. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #17
  May 11, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  :biggrin1: this is soo funny... i just dont understand how can a penis be stuck in a vagina...kama huamini uganga/uchawi this is proof enough...daamnnn
   
Loading...