Niokoeni jamani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Niokoeni jamani

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Uparo, May 10, 2012.

 1. U

  Uparo Member

  #1
  May 10, 2012
  Joined: May 4, 2012
  Messages: 55
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 15
  Wakuu huwa nimekuwa na mahusiano na dada mmoja na nilimjali kwakila kitu na pia familia yake ikawa inatambua mahusiano yetu ila cha ajabu nilipokuwa nikitoka kwenda mikoani kutafuta riziki basi naye akawa anafanya usaliti marafiki zangu wa karibu wakawa wananieleza na kunishauri nimwache ila sikufanya hivyo nikawaeleza kuwa mpaka nione mwenyewe ndipo siku nikamweleza naenda tabora akasema sawa ila nikawa nimeenda mbagala ucku ulipofika nikarudi ndipo nikaenda kwao na kuelezwa kaaga kuwa kaja kwangu nikawaeleza sijamwona na ndipo rafiki yangu akanitonya kuwa amemuona kwenye uchochoro yupo na mtu nilipo ufuatilia nikamkuta tena anafanya mapenzi njiani nikamsemesha akakana kunijua nami nikaondoka nikamwacha ajivinjari na ampendae mwisho wa siku akabagwa then karudi anataka nimpe nafasi tena ila kwa ujumla sitamani tena kuwa na msichana na kila ninaye muona naona ni walewale.hebu nisaidieni nifanye nini ili niwezekurudi katika hali ya kuwaamini wanawake
   
 2. Neiwa

  Neiwa JF-Expert Member

  #2
  May 10, 2012
  Joined: Feb 17, 2012
  Messages: 730
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 45
  Uparo tukuokoe nini hali huyo dada kisha kuokoa? Imagine ungekua umeoa? Hapo baba kimbia fasta.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 3. Prodigal Son

  Prodigal Son JF-Expert Member

  #3
  May 10, 2012
  Joined: Dec 9, 2009
  Messages: 963
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 45
  We Mangi
  Mbona swala lako halihitaji ushauri
  si umeshamuacha? wewe endelea kuchapa kazi utampata binti mwingine

  Ikishindikana rudi uparo ukikosa nenda pale kisangani au pale sumi hutakosa
  kila la kheri
   
 4. S

  SJUMAA26 JF-Expert Member

  #4
  May 10, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 611
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Time will tell, kaa utulie, jipe muda utafakari na zaidi ya yote muombe sana Mungu Atakuonyesha yupi wa kumuamini na kufunga naye ndoa. Acha papara, kusalitiwa juzi tu umeshaanza kutafuta wa kumuamini? You can't be serious!
   
 5. HOPECOMFORT

  HOPECOMFORT JF-Expert Member

  #5
  May 10, 2012
  Joined: Feb 25, 2012
  Messages: 2,784
  Likes Received: 3,519
  Trophy Points: 280
  Tukuokoe Au tukupongeze kwa kuokoka. !!! Umemkuta mtu vichakani akakukana ushauri wa nn tena? Ebu mshukuru Mungu usonge mbele.
   
 6. U

  Uparo Member

  #6
  May 10, 2012
  Joined: May 4, 2012
  Messages: 55
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 15
  Wakuu nakubali ushauri wenu hasa aliyesema nichape kazi kwanza na kuwa nitampata aliyetulia mda ukifika ngoja nipambane na biashara zangu niweze kujipatia angalau shilingi mbili tatu banah
   
 7. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #7
  May 10, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,876
  Likes Received: 6,231
  Trophy Points: 280
  Uparo,

  jipe muda, moyo wako ukipona utapenda tu...
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 8. mkuyati og

  mkuyati og JF-Expert Member

  #8
  May 10, 2012
  Joined: Apr 19, 2011
  Messages: 725
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 60
  Nenda kapime, fanya haraka.
   
 9. U

  Uparo Member

  #9
  May 10, 2012
  Joined: May 4, 2012
  Messages: 55
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 15
  Mkuu nimepima mara nne na namshukuru mola nipo salama kwani tokea niachane nae mwaka na nusu umeisha
   
 10. Asnam

  Asnam JF-Expert Member

  #10
  May 10, 2012
  Joined: Jan 18, 2012
  Messages: 4,268
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 135
  jamani ungekuwa kure kwetu Mara ningekupa ng'ombe wawiri ure we ni mura
   
Loading...