Mtambuzi;You are too bias. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mtambuzi;You are too bias.

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by jeneneke, Jul 18, 2012.

 1. j

  jeneneke JF-Expert Member

  #1
  Jul 18, 2012
  Joined: Jul 5, 2012
  Messages: 760
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  Najaribu kutafuta neno gani la kitaalamu litakufaa silipati naona shizofenia halifai.Yani kaka mada zako huku ni ke tu mara wanawake wanene mara cjui niini,na kama umegundua karibu zote unaishia kusema"haya kina dada karibuni"hahaha nafikiri saikologikali there is problem somewhere someplace.Nakuomba basi kuanzia kesho tuletee masahibu ya me.Au?somo zuri latoka pande zote ati.
   
 2. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #2
  Jul 18, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  Anazo thread za Wanaume nyingi tu
  but anatazama na uchangiaji pia
  Jf womenn wako active zaidi na mada husika
  so target ni sahihi
   
 3. j

  jeneneke JF-Expert Member

  #3
  Jul 18, 2012
  Joined: Jul 5, 2012
  Messages: 760
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  Aaa lakini afanye mix that is too much man
   
 4. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #4
  Jul 18, 2012
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,673
  Trophy Points: 280
  Mh!Kwani ni lazima yeye alete mada za wanaume?Member wengine je?Au leta wewe za wanaume,sio lazima kila mtu alete mada mchanganyiko!
   
 5. mito

  mito JF-Expert Member

  #5
  Jul 19, 2012
  Joined: Jun 20, 2011
  Messages: 7,624
  Likes Received: 2,008
  Trophy Points: 280
  Hapa tunaelimishana tu jeneneke (with fun of course), hakuna cha kuwa bias wala nini. We leta tu hizo za me tutachangia tu, wala usijisikie vibaya!

  Pia usisahau kwamba wanaume wana hamu ya kujua zaidi kuhusu wanawake, so Mtambuzi kama mwanaume ndo maana mada zake nyingi zinahusu wanawake. Vilevile wanawake wana hamu zaidi ya kujua kuhusu wanaume, so binafsi sishangai kuona mada zao nyingi zinahusu wanaume. Hii yote ni ktk kujifunza, kujuana vizuri, na kurekebishana ili tuweze kuwa na long lasting relatioships!
   
 6. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #6
  Jul 19, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 160
  napenda maingrishi lol
   
 7. N

  Ngekewa JF-Expert Member

  #7
  Jul 19, 2012
  Joined: Jul 8, 2008
  Messages: 7,730
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Waarabu wa Pemba hutambuwana kwa vilemba! Wengi humu hatujangamuwa hilo lakini mwanamme aelekeze macho yake kwa mwanamke, sioni tatizo kama ameamuwa kuyataka ya unyagoni lazima awaulize hao, ndio wachezaji!
   
 8. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #8
  Jul 19, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  tatizo lako ugeni na papara... Mtambuzi is well balanced but you cant see it coz you were biased from the first thread ya mtambuzi... THINK ABOUT IT
   
 9. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #9
  Jul 19, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,796
  Likes Received: 36,811
  Trophy Points: 280
  Prejudice is lesser evil than bias.

  Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
   
 10. Me370

  Me370 JF-Expert Member

  #10
  Jul 19, 2012
  Joined: Mar 10, 2008
  Messages: 995
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Who is Mtambuzi?
   
 11. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #11
  Jul 19, 2012
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  Kinara wa mmu,possible candidate wa jf/mmu man of the year 2012.
   
 12. Vin Diesel

  Vin Diesel JF Gold Member

  #12
  Jul 19, 2012
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 8,403
  Likes Received: 737
  Trophy Points: 280
  Yaani wewe umeamka kichwani kakutawala wa kutambua....kazi ipo
   
 13. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #13
  Jul 19, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,034
  Likes Received: 23,815
  Trophy Points: 280
  Mate, nilistuka kidogo hapo kwa red lakini nlivoangalia muda uliopost nikajua sababu. Punguza kuhamisha meza....Ngumi jiwe.
   
 14. Catherine

  Catherine JF-Expert Member

  #14
  Jul 19, 2012
  Joined: Jun 30, 2012
  Messages: 1,263
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Huwezi kuhudumia soko zima, lazima uwe na customers wako unaowatarget na utakaoweza kuwaserve. Hebu pia pitia profile yake, hata za wanaume zipo.
   
 15. j

  jeneneke JF-Expert Member

  #15
  Jul 19, 2012
  Joined: Jul 5, 2012
  Messages: 760
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  Me kuandika mvivu halafu 'mgeni sijui umemaanisha nini ni too wide"nipo umu long before ila am too lazy in writting
   
 16. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #16
  Jul 19, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,323
  Likes Received: 1,788
  Trophy Points: 280
  Bishanga, maandishi yako umeyapamba yanavutia kama maneno ya yule MC wa miaka 40 ya geshi!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 17. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #17
  Jul 19, 2012
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,795
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 280

  ???????? ........ !!!!!!!!!!!!!!!!

  [​IMG]
   
 18. SnowBall

  SnowBall JF-Expert Member

  #18
  Jul 19, 2012
  Joined: Sep 13, 2011
  Messages: 3,067
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Kikubwa ninachoweza kusema ni kuwa bro Mtambuzi unawakuna wengi!..
  Kitendo cha watu kujadili Mada zako aidha kwa kuangalia 'mantiki' au 'kasoro' ni ushahd tosha kuwa 'ze message iz rocking'!!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 19. cacico

  cacico JF-Expert Member

  #19
  Jul 19, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 8,392
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 20. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #20
  Jul 19, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,224
  Trophy Points: 280
  heeeeeeeeeee yamekuwa hayo?

  job true true.....
  Mtambuzi shukuru hatujuani humu, la sivyo ungepopolewa mawe mtaani bila kujua chanzo ni nini.......loh....


  anyway,
  mbona topic kuhusu wanaume anaziletaga sana tu humu? au kwa vile umejiunga tarehe : 5th July 2012????????
   
Loading...