kina kaka naombeni majibu....(hata kinadada changieni)

Asikuambie mtu, Tunatilia maanani sana tu!
Kwa mfano umevutiwa na mdada kwa sura na umbo,mkaanzisha mahusiano baada ya muda unamzoea tu. Ila akiwa fundi kwenye majukumu ya kike na mapishi yakiwemo ngumu kuachika na kusahaulika...
Na tena tunavyopenda kula?
 
not really!! unless you are a chef or cook for parties, cooking skills aren't so important in choosing mwanamke. Most of us know basic cooking and those who don't can afford restraunts or a house girl
 
.,habari zenu wana jf. nauliza kina kaka mkiacha kuangalia tabia, muonekano nk. kwa msichana, je ufundi wa mapishi jikoni huwa mnatilia maanani? au mnatizama sura tu, makalio na guu la bia



Hakuna formula katika kupenda. Kuna wanaopenda mapishi tu, au makalio tu, wengine sura tu. Hata hivyo mwanamke jiko bana!
 
mmhh....ningekuwa mvulana ningejibu hili swali kwa ufasaha zaidi .....wavulana mje hapa....
Ngoja nikusaidie Preta, hakuna mwanaume asiyependa kula mahanjumat. Zaidi ni kwamba huwa kuna hii hisia iliyojengeka kwa wanaume kuwa mwanamke aliyekamilika(mrembo) basi anapaswa kujua sana kupika.
Binafsi nimesoma nje ya nchi, na huko wanaume wa nchi nyingine(hasa zile za Kiafrika) walikuwa wanapenda sana kuhudhuria sherehe za kitanzania ili tu wagonge misosi mitamu ya kibongo na uzuri ni kuwa wadada wengi waliokua wanakorofisha hiyo misosi ni kutoka ukanda wa Pwani na Zanzibar.
 
Last edited by a moderator:
Huwa tunaangalia pia ufundi wa mapishi ila kwangu mimi sio sababu ya kumuona mpenzi wangu hafai na hii ni kwa sababu mimi makulaji sio issue saaana kwangu
 
Mi nadhani hilo suala liko too much general,ungekuwa specific kwasababu hapa utakuwa unawaongelea wale wanaotafuta girls kwa lengo la kuoa na wale wanaotafuta girls just kwa ku fullfill tamaa za mwili.Boy anayetafuta girl just for pressure hataangalia sijui tabia,kama anajua kupika ama laa na mengineyo,so mi nadhani ungekuwa specific mymy.
 
Kujua kupika na mapishi ni added advantage

hakuna mwanaume na akili zake atakayemtaka msichana ambaye haujui kupika kila siku kula nje hapana....

ila sijaelewa mnapozungumzia makalio ndo nini?
 
hiyo ni sifa nzuri kwa mwanamke lakini haimpi na nafasi kubwa ya kuolewa unless upishi ujumuishwe na sifa nyingine alizonazo
 
Hiyo inategemea na mtu, lakini kwangu mimi swala la adabu ya kupika nazingatia sana.

Kwani kwangu swala la maakuli ni muhimu sana, siyo na kula boko boko kila siku.

Kwangu mapishi ni swala muhimu sana kwani hata me mwenyewe najua kupika, kwa hiyo mwanamke anaye jua kupika ni wa muhimu kwangu.

Kula chakula kibichi siwezi ni bora ni kale kwa mama ntilie.
 
Si ungesema tu wakuu naombeni michango yenu kuliko eti kinakaka au kinadada mkitaka. Au ungesema muhimu kwa kinakaka tu
 
Kama walivosema wahenga "the shortest route to a man's heart is thru the mouth". Hakuna mwanaume anataka kuwa na afya mbaya tena inayotokana na milo kuwa mibaya.

Mimi ni mmoja niliyeoa kwa kupendezwa na mapishi, of course pamoja na mambo mengine!! Mpaka leo, she is a great cook!!
 
Kupika sikunafundishika bwana sio issue sana unaweza mfundisha au mpeleka korse ,kupika ni kama udereva bana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom