Jinsi ya kulinda ndoa yako

BIG X

JF-Expert Member
Nov 4, 2011
777
212
Onyesha unampenda mwenzio hadharani (watu waone). Msijifichefiche. Mfano utakuta wanandoa wanapoongozana mume au mke katangulia mbele kama mita 5, hii si nzuri kabisa kwa afya ya ndoa.
 
Kuambatana na mke wako au mme wako kwa pamoja huleta nguvu mpya kwa wanandoa ya kujiona salama na mnajaliana.Kwa mfano hata nikikwapuliwa simu au mkoba na vibaka mkiwa pamoja mke au mme atanisaidia kupambana na huyo kibaka hata kwa kupiga mayowe mwiziiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
Back
Top Bottom