Natafuta mchumba wa kuowa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natafuta mchumba wa kuowa

Discussion in 'Love Connect' started by IDUKILO, Jul 28, 2012.

 1. I

  IDUKILO Member

  #1
  Jul 28, 2012
  Joined: Jul 11, 2012
  Messages: 15
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mimi idukilo natafuta mchumba wa kuowa ,awe na sifa zifuatazo
  1) mmcha mungu
  2) awe na elimu kuanzia kidato cha nne
  3) awe na urefu usizidi 165cm
  4) asiwe mnene sana au mwembamba sana,awe size ya kati
  5)rangi ya asili maji ya kunde
  6)miaka kati ya 20-24

  mimi,
  urefu wangu ni 165cm
  kilo 60kg
  maji ya kunde
  miaka 30
  elimu zaidi ya kidato cha nne
   
 2. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #2
  Jul 28, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  mimi freemanson sasa vipi?
   
Loading...