Sina uakika kama haya maneno yanatumika kama inavyotakiwa... kwa udadisi wangu na baada ya kusuluisha ndoa mbili tatu... nimegundua watu wengi waliokua kwenye mahusiano sanasana wanandoa wanatumia haya maneno kujikinga na madhambi wayafanyayo (cheating).
Unakuta mume anamuuliza swali la msingi kabisa mke wake badala ya kujibiwa vizuri...atakuta anaambiwa you'r so jelous..au Insecure...Unanifatilia.. basi mwanaume/mwanamke akiambiwa hivyo huyong'ongea na hata siku nyingine anaogopa kumuuliza kitu mke/mme kwa kuogopa ataonekana namnagani vipi. Inaathiri sana psychological.
Mimi kwenye ndoa yangu sikuyakaribisha haya maneno toka mwanzo na kama nataka maelezo mke wangu lazima anipe na si vinginevyo na mimi vivyo hivyo kama kuna maelezo natakiwa niyatoe lazima nitayatoa bila hasira, kinyongo wala chuki maana huo ndio wajibu wa wanandoa.
Ukisia unajibiwa kati ya hayo maneno hapo juu.... jua kuna kitu. amka na shika bango mpaka upate jibu la swali lako na si vinginevyo.