Atasemehewa kweli? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Atasemehewa kweli?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by situmai, Aug 27, 2012.

 1. situmai

  situmai Member

  #1
  Aug 27, 2012
  Joined: Jun 29, 2012
  Messages: 85
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 15
  kuna mtu alipata mimba akiwa shule akaogopa sana kuwaambia wazazi wake,kwahy akaamua kwenda hosp moja kutoa kule alipewa vidonge vya kutoa ile mimba.ila kwa bahati nzuri ile mimba aikutoka ikabidi tu akae nayo... ile mimba ilikuwa na mwishowe kujifungua.
  sasa huyo mtoto aliyezaliwa hatakuwa na hasira na mama yake kwa jambo alilojaribu kufanya bila mafanikio?
   
 2. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #2
  Aug 27, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  sasa mtoto atajuaje?
  aambiwe ili iweje?
  akiwa na hasira ndo itakuwaje?
  asiposamehe itakuwaje?
   
 3. NyotaMalaika

  NyotaMalaika Senior Member

  #3
  Aug 27, 2012
  Joined: Aug 6, 2012
  Messages: 153
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Yani ume-imagine kwamba huyo mtoto ana utashi huko tumboni wa kujua kwamba alitaka kuangamizwa...sidhani kama ni kweli..
   
 4. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #4
  Aug 27, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,334
  Likes Received: 2,649
  Trophy Points: 280
  Huwa wanasema mtoto ana utashi wa kung'amua kile kinachoendelea duniani akiwa tumboni kwa mamaye...na hiyo huanza wiki chache baada ya utungu wa mimba
   
 5. UncleUber

  UncleUber JF-Expert Member

  #5
  Aug 27, 2012
  Joined: Apr 25, 2011
  Messages: 4,945
  Likes Received: 99
  Trophy Points: 145
  kuna connection kati ya mtoto na mama ambapo mtoto anaweza kubeba baadhi tabia kutoka kwa mama kutokana na yaliyotokea wakati yuko tumboni, mfano mama akiwa ni mtu wa kununa nuna, au alitaka ku commit suicide, si ajabu mtoto akabeba baadhi ya hayo.
   
 6. c

  christmas JF-Expert Member

  #6
  Aug 28, 2012
  Joined: Jul 21, 2011
  Messages: 2,605
  Likes Received: 275
  Trophy Points: 180
  dah ww mtata, sasa anataka tumshaur nn?
   
 7. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #7
  Aug 28, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,591
  Likes Received: 797
  Trophy Points: 280
  Mpaka aambiwe, na kama The Boss alivyouliza aambiwe ili?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...