Nasikia eti walituletea shanga na vioo vya kujitazama kwa kubadilishana na madini kama vile dhahabu. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nasikia eti walituletea shanga na vioo vya kujitazama kwa kubadilishana na madini kama vile dhahabu.

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Billie, Aug 23, 2012.

 1. Billie

  Billie JF-Expert Member

  #1
  Aug 23, 2012
  Joined: Aug 13, 2011
  Messages: 5,334
  Likes Received: 2,332
  Trophy Points: 280
  Wote Waafrika na wazungu ni binadamu ila wenzetu wamekuwa wakifanya mambo ya kipekee sana kiasi hata sisi(waafrika) bila wao tusingeyafikilia chukulia mifano mingi sana ihusuyo Technology,twende kwenye maradhi,mavazi na hata muonekano wao utagundua hawa jamaa ni special creation.Yaani kama kungekuwa tunatengenezwa na kiwanda hawa jamaa ni orijin sis fake.Nimejikuta naropoka yote hayo kutokana na kujiuliza swali kichwani kwa nini hawa jamaa wanaongoza kila kitu kizuri na sisi tunaongoza kwa vitu vibaya mfan umaskin,maradhi nahisi hata akili wanatupita ndo maana innovation kwa vitu vingi imefanywa na wao.Niliishi Mbez beach ambapo familia nyingi za wabongo waliosoma na kuyaona maisha wanaishi kwa wingi ila nilipokuwa napepeza macho nilikuwa nagundua kabisa hapa anakaa mzungu pale mbongo bila hata ya kuulizia yaani jamani nina mengi sana jaribu hata kuangalia sura ya nchi yetu Tz alafu ufananishe na nchi kama uswiz utashangaa kwa nini hatuendelei,check hata shule na makanisa yaliyojengwa enzi zao alafu check shule zitokanazo na mkono wa mbongo kisha linganisha ubora wake.Aisee imefika point hadi najiuliza si Afrika origin yetu wapi ikiwa Adamu na Eva(Hawa) ni white pipo.Na je tunatofautiana nao nin hadi wanatuburuza kwenye kila kitu kilicho kizuri.Hebu nijuzeni maana nimeshaanza kuisi kama mablack tunawasindikiza wazungu.
   
 2. Majigo

  Majigo JF-Expert Member

  #2
  Aug 23, 2012
  Joined: Feb 23, 2012
  Messages: 5,418
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Sio Mahala Pake Hapa!
   
 3. Billie

  Billie JF-Expert Member

  #3
  Aug 23, 2012
  Joined: Aug 13, 2011
  Messages: 5,334
  Likes Received: 2,332
  Trophy Points: 280
  Mahala pake ni wapi sasa?
   
 4. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #4
  Aug 23, 2012
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Kwenye Chit Chat.........!!!
   
 5. Mahmetkid

  Mahmetkid JF-Expert Member

  #5
  Aug 23, 2012
  Joined: Apr 20, 2012
  Messages: 557
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 45
  These peoples are far away, we can't catch them until the end of this World.
   
 6. Majigo

  Majigo JF-Expert Member

  #6
  Aug 23, 2012
  Joined: Feb 23, 2012
  Messages: 5,418
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Au Kwenye... "Habari na Hoja mchanganyiko!"
   
 7. Billie

  Billie JF-Expert Member

  #7
  Aug 23, 2012
  Joined: Aug 13, 2011
  Messages: 5,334
  Likes Received: 2,332
  Trophy Points: 280
  MMU Mahusiano,Mapenzi na Urafiki hapo sipo kwenye mahusiano kweli au hadi kangono katajwe kidogo au sio ndo post ibaki MMU? Ma mode watalitendea kazi wao ndo wanajua vigezo tusubiri kweli leo nimerenga vibaya au ndo yaleyale Waafrika kila siku ni watu wa mistake.
   
 8. Akagando

  Akagando JF-Expert Member

  #8
  Aug 23, 2012
  Joined: May 24, 2012
  Messages: 536
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Kama great thinker hebu fikiria ni jinsi gani au chanzo cha kuwa nyuma katika maendeleo mfano wa hapa Watu wenye uwezo wamekuwa wakiwanyonya watu wenye kipato cha kidogo pamoja na serikali isiyo jari wananchi wake,
  MOD amisha uzi huu kwenye hili jukwaa maana siyo sehemu yake.
   
 9. Majigo

  Majigo JF-Expert Member

  #9
  Aug 23, 2012
  Joined: Feb 23, 2012
  Messages: 5,418
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  sawa Mkuu,Mtoa Mada Ni Wewe Nami Ni Mkumbushaji Tu!
  Kwa Jinsi Nilivyoielewa Thread...Naona Kama Haijapewa Haki Ya Eneo Husika!
  Ok!Turudi Kwenye Hoja Yako,kuna Swali Huwa Najiuliza..Katika Uumbwaji.."Mtu Mweusi Na Mweupe,Yup Alitangulizwa!??"

  Waafrika Tunarudishana Nyuma Sisi Wenyewe!
  Vilevile Kuanzia Utoto Mpaka Ukubwani,Hakuna Mpangilio Rasmi!...Mfano Ukifuatilia Mfumo Wa Elimu Kwa Wenzetu,Toka Kuzaliwa Kwa Mtoto Mpaka Ukuaji!...Ni Tofauti Kabiii..sa!.
   
 10. Billie

  Billie JF-Expert Member

  #10
  Aug 23, 2012
  Joined: Aug 13, 2011
  Messages: 5,334
  Likes Received: 2,332
  Trophy Points: 280
  Kwa nin kibweka umechagua iende chit chat
   
 11. Billie

  Billie JF-Expert Member

  #11
  Aug 23, 2012
  Joined: Aug 13, 2011
  Messages: 5,334
  Likes Received: 2,332
  Trophy Points: 280
  What make us to remain behind?
   
 12. Mahmetkid

  Mahmetkid JF-Expert Member

  #12
  Aug 28, 2012
  Joined: Apr 20, 2012
  Messages: 557
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 45
  Inaccountability of our leaders.
   
Loading...