Mtu na nduguye - Inafaa?

Luvvy

Member
Apr 23, 2012
16
0
Haya ni maongezi(kimaandishi/chat) kati ya mtu na nduguye (anavyodai mwanaume). Mwanaume ameoa hata miezi mitatu haijapita ila binti ye hajaolewa. Kama mke wa mhusika naona walakini ila naomba kujua nyie wenzangu mnaonaje. Je ni maongezi ya kawaida kwa wanandugu?! Maana mwanaume utetezi wake ni "ahhh huyo ndugu yangu tu."

MALE- Me luv dis pic,embu geuka uniangalie.
FEMALE - Anatuma picha katika pozz la kimahaba, kimini kimefunika sana sana wowowo tu.
MALE - Thats off the hook:-u r so mwahhhhh!!!!I see that ma finest one ever known!! cant compare wit anybody i know!
FEMALE - (Picha zaidi, kageuka mini haiifiki nusu ya paja)
MALE - Wow:)))) eti afadhali ningekubaka those days we used to sleep together....
FEMALE - Hahaha...bt we wa young n innocent
MALE-if i was ur workmate,atakama ningefunga ramadhan,it would have meant nothing!!!coz ningekuwa nakutamani tuuuu!!
FEMALE - Hahaha..lakini (jina la mwanaume) mf Juma.
MALE - Yeah sure:)
you alwayz been my finest ever.ata kama ulikuwa mdogo!!
waz dumb,huh?cud nut even tell u that u wea so beautiful!!Shame on me.
FEMALE - Y didnt u say it?
Do rmber sm nite wen i joined u in yo bed coz i was fearing thunder n lightening
MALE - Yeah i do remember,nilikuwa mwoga...thats the best nite i will live for.i will brag till the end of time that i felt ur warmth.
I used to fear mama(fulani) big tym,i was like,she noticed my likes in you and ol that.coz evthng u was to do,was there for a hand.
FEMALE - I know that bitch was bad... Didnt like her as well
MALE - I know,shud hv promicd u something baada ya kumaliza shule!!

I lost u but still believe i can b there 4u no matter what!ninampango wa kwenda (nje ya nchi) mwakani feb kukaa kule km vp.tutajua km utakuja ata kwa wiki.we niachie hii mipango.
Sema we mtoto cjui ukij dar ntakuaje?!ntaringa sana'!!
FEMALE - Hahaha....
 
hiyo itakuwa laana na kama sio laana basi kuna mmoja anaugonjwa au bongo haufanyi kazi vizuri
 
Kama huyo mume wa mtu anaweza kuchat na nduguye hivyo basi kazi ipo! Kicheche
 
hiyo itakuwa laana na kama sio laana basi kuna mmoja anaugonjwa au bongo haufanyi kazi vizuri

Mawazo yangu hayo. Najiuliza kama tukiwa na mtoto wa kike huyu sio mmoja wa wale anaeweza hata kumbaka mtoto wake wa kumzaa kweli?
 
Kwa kizazi cha sasa inawezekana wakawa ndugu still wakachart those nonsense!
Watch out mama!!
 
Sijui hata niseme nini hapa,ni mjinga peke anaweza kudhani hakuna kinachoendelea!
 
Huo undugu ukoje?
Wa mbali aka kusimuliwa au wa karibu?

Kama ni karibu unaonaje ukiitisha kikao cha familia?
Nafikiri huyo dada kapinda, na mumeo hafai kwa kuentertain upuuzi kama huo.
 
mmh, haya manyoya ya bata mzinga.
Hawakulana ila wana mpango wa kulana kabisa, tena washawekeana ndimu, pilipili na kachumbari, waacha wakate hamu tu.
 
Ukute ni ndugu wa kuokota heheh so whats that hapa naona si mtu na dadake bali kuna kaundugu ka mbali sana ukute ni binamu
 
..binamu nyama ya hamu! kizazi cha sasahivi wasichana wana maumbo ya ajabu, na hiyo mivazi ni mikao yao.Kwa mtu mroho wa K na kama ni mtumiaji wa kilevi levi ,inawezekana kabisa hizo mambo
 
Back
Top Bottom