Kijana na Mama yake Mzazi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kijana na Mama yake Mzazi

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by tatanyengo, Sep 2, 2012.

 1. tatanyengo

  tatanyengo JF-Expert Member

  #1
  Sep 2, 2012
  Joined: Mar 30, 2011
  Messages: 1,140
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Katika siku za hivi karibuni nimesikia katika vyombo vya habari visa vya kushangaza. Kuna kisa cha huko Songea ambacho mama na kijana wake wa kuzaa wamekuwa wapenzi kwa takribani miaka kumi. Na kingine kimetokea huko kanda ya ziwa, baba alimfumania mke wake akifanya mapenzi na kijana wao. Baba aliwacharanga mapanga na kuwaondolea uhai.

  Jamani wana JF tulizoea kusikia akina baba ndo wanatabia ya kufanya mapenzi na mabinti zao. Sasa hili wimbi la akina mama kufanya tendo hilo na vijana wao linashika kasi, ni kitu gani kimetokea katika jamii?
   
 2. Eversmilin Gal

  Eversmilin Gal JF-Expert Member

  #2
  Sep 2, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 783
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  siku za mwisho zimekaribia hizo ndo baadhi ya dalili zake
   
 3. c

  christmas JF-Expert Member

  #3
  Sep 2, 2012
  Joined: Jul 21, 2011
  Messages: 2,606
  Likes Received: 277
  Trophy Points: 180
  mimi nahisi pia imani za kishirikina zinachangia sidhani kama mtu na akili yake timamu anaweza kuwaza hvyo, Mwenyezi Mungu atusamehe
   
 4. somba kankara

  somba kankara Member

  #4
  Sep 2, 2012
  Joined: May 6, 2012
  Messages: 85
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  :spy: du!!!!
   
 5. HorsePower

  HorsePower JF-Expert Member

  #5
  Sep 2, 2012
  Joined: Aug 22, 2008
  Messages: 3,617
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Ni habari zinazosikitisha mno kufanywa na mwanadamu mwenye akili timamu! Nafikiri bainadamu sasa tumepoteza utu na kukosa adabu kwa kiasi kikubwa mno. Pia tumekaa mbali na Mungu na hivyo kujikuta tunaenenda kwa kuzifuata tamaa zetu mbaya na kujikuta tukiyatenda yale tusiyopaswa kuyatenda na kujiingiza kwenye imani zisizo sahihi.
  Nafikiri inatakiwa ifike wakati kila mtu kwa imani yake, amrudie Muumba wake vinginevyo ipo siku tutakuja kusikia mabaya zaidi au kuangamizwa kabisa kwa hasira ya Mungu kama baadhi ya vitabu vya dini vinavyosema.
  Nashauri kila mwenye nia njema na aendelee kukemea vitendo hivi...
   
 6. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #6
  Sep 2, 2012
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Hii habari hata mimi imenishangaza sana. nabaki nikijiuliza iwapo huyo kijana na mama yake wana akili timamu kweli!
   
 7. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #7
  Sep 2, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Mh! Inasikitisha sana kwa binadamu ambaye Mungu alimwamini na kumpa utashi na sasa amekuwa yeye ndo anafanya yale mambo ambayo ndo anafanya mnyama, cjui hapa anaemtamani mwenzake na kuamua kuandaa mazingira ni nani?
   
 8. Babdeel

  Babdeel Member

  #8
  Sep 2, 2012
  Joined: Nov 10, 2011
  Messages: 15
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  :shetani:free world:shetani:
   
 9. mgeni10

  mgeni10 JF-Expert Member

  #9
  Sep 2, 2012
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 1,112
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Ushetani unazidi kujiinua, ni Dalili za siku za mwisho, Tumwombe sana Mungu aturehemu, maangamizi haya yasiendelee kati yetu

  Bila Reheme ne Neeme zake Mungu Hatuwezi
   
 10. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #10
  Sep 2, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,591
  Likes Received: 797
  Trophy Points: 280
  Ni kazi ya shetani tu na maagenti wake.

  "when we fight against flesh n blood, we will be fighting the wrong battle" T.B. Joshua
   
 11. stephot

  stephot JF-Expert Member

  #11
  Sep 2, 2012
  Joined: Mar 1, 2012
  Messages: 5,023
  Likes Received: 2,645
  Trophy Points: 280
  Jamani haya ni matatizo ya utandawazi,mimi nimezisikia habari hizi na kusoma kwenye majarida ya wenzetu Ulaya mambo haya miaka ipatayo 20 huko nyuma,ila naona huku kwetu ndio yanaingia,kwa wenzetu wazungu na wahindi jambo hili si la kushangaza sana kwani matukio haya kwao sio mageni.
   
 12. Mwana wa Mungu

  Mwana wa Mungu JF-Expert Member

  #12
  Sep 2, 2012
  Joined: Aug 14, 2008
  Messages: 1,007
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  mambo haya yapo tangu siku nyingi, mama na mwanae, baba na bintiye, kaka na dada, mtu na binamu nyama ya hamu, mtu na mamake mdogo hasa wakiwa na umri unaolingana, ndugu kwa ndugu wengi tu wanafanya ngono ila huwa inakuwa siri sana. kuna dada mmoja namfahamu, ana miaka kama zaidi ya thirty, hajaolewa, anatembea na kaka yake mtoto wa babake mdogo hadi leo hii.kaka anaweza kuja geto kwake saa saba usiku, ukiingia kwake unakuta bro amevua shati na amebaki na kaptula tu kifua wazi, ati joto la dar....akimaliza mambo yake anawasha gari anaondoka...hii inatokana na kuanza wakiwa wadogo ile michezo ya mama na baba, akilogwa kufanya wakati anavunja ungo au akambikirii tu, basi watakuwa wanafanya hata wakiwa watu wazima pale wanapopata nafasi....iyo ya wazazi na watoto ni zaidi sana uchawi, anapofanya hivyo nguvu zake za kichawi zinaongezeka.
   
 13. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #13
  Sep 2, 2012
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  Mbona maofisini watu wanaipindua mijimama umri sana na mama zao huko kijijini..kawaida tu hakuna jipya hapa
   
 14. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #14
  Sep 2, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  siku hizi akina mama wanakuja kwa kasi...wanaenda sambamba na waume zao...
   
Loading...