Proportinality ya viungo mwilini

CHUAKACHARA

JF-Expert Member
Jun 3, 2011
12,358
6,422
Hivi wadau kuna proportionality ya viungo mwilini. What I mean is: kama mtu ni mfupi na "shaft" ni fupi and vice versa! Kama mwanamke ni mrefu na "canal" ni ndefu and vice versa! If so mtu mfupi akimwoa mtu mrefu ina maana "shaft" ni fupi haitamtosheleza partiner!
 
Shafti ndo nini, fafanua kwanza maana hapa hatupo kujibu vitendawili tega
 
ndiyo, kuna kitu kama hicho. you will understand why woman love getting married to tall guys
 
Shafti ndo nini, fafanua kwanza maana hapa hatupo kujibu vitendawili tega
We ni mzee Kifimbo Cheza? Kama hujui lugha za jukwaa hili bora ukapita kimyakimya..... Haya shafti ni m.b.o.o toa jibu.
 
Sina uhakika sana na hili,ingawa kuna mtu mmoja nilikuwa naye maeneo fulani tunapiga kazi ni mfupi about 4'.6"tall alikuwa na mashine wanawake kibao walikuwa wanamkwepa,sasa sijui kwa hao watu warefu nao inakuwaje maana kuna baadhi ya porno ukiangalia unakuta mtu ni mrefu lakini maeneo yake ni ya kawaida sana 4 to 6' inches.
 
haimati ukiwa mrefu na shaft pia itakua hvyo wengine warefu bt kitendea kazi kifupi
 
kila kiungo cha binadamu kiko-controlled na genes. kama genes zinazo-control urefu wa shaft yako ziko katika mfumo wa ufupi then shaft yako itakuwa fupi.Hata hivyo, environment inaweza ika-influence genes expression.
 
Nitaliamini jibu lolote litakalo tolewa kama huyo atatoa kanuni ya Mungu katika uumbaji.......

Nje ya mazoea hamna jibu sahihi, hivyo hamna ukweli kwenye masuala hayo ndugu yangu...

Mshukuru mungu wako kwa jinsi ulivyo.
 
Back
Top Bottom