Swala sio kuoa na kuvalishana pete swala ni jinsi ya kutunza mke awe bora kwako | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Swala sio kuoa na kuvalishana pete swala ni jinsi ya kutunza mke awe bora kwako

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Pdidy, Aug 31, 2012.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Aug 31, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,585
  Likes Received: 5,772
  Trophy Points: 280
  PENGINE KUTOKANA NA UMRI AMA MAISHA KUYAWAHI MAPEMA NAMAINI MMENIELEWA
  VIJANA WENGI WAMEKURUPUKA KUKIMBILIA KUOA...SIKATAI KILA MWANAUME ANATAKIWA KUOA USINIULIZE KUHUSU MWANAMKE KUOLEWA M NI MWANAUME NAONGELEA WEWE NDIO UNASHANGAA NINI SASA

  WENGI WANAKIMBILIA KUOA BILA KUJUA KAZI ILIOPO KWENYE NDOA..HUU NI UJUMBE MAHSUSI KWA WEWE UNAEENDA KANISANI KESHO AMA MSIKITINI LEO SWALA SIO KUJAZA CHOO AMA KUVALISHANA PETE SWALA UTAMTUNZAJE MWANAMKE ULIEMCHAGUA KAMA MKE WAKO WA MAISHA WA KUFA KUZIKANA SIJUI MNAWEZA ONDOKA WOTE SIKUMOJA ATAMZIKA NANI.....SASA UNAPOAAMUA KUOA LAZIMA UJUE KUNA KITU KINAITWA MAJUKUMU

  PENGINE UMEKUWA UKILA NA KULALA KWA WAZAZI WAKO EEH WEWE LEO HII UJUE UMEMCHUKUA MTOTO WA WATU NA SIO PUNDA WA KUFNYIA MAZOEZI..HUYU ANAITAJI MAHITAJI SPECIAL TOFAUTI NA MANGUBE NGUBE ULIOKUWA UKIYATUMIA KIPINDI HICHO KWA KUYAPA BIA MBILI NA KUYACHANGANYIA MKOJO YAMELEWA UNAONDOKA NAYO UNASEMA UMEPATA MWANAMKE HUYO NI WAKO WA MAISHA...NI VIZURI UNAPOAMUA KUOA UJUE
  KAMA ULIKUWA MBAILI KWENU HUKU UNATAKIWA KUTOA...UNATAKIWA KUJUA MKEO ANAVAA NINI AMEKULA NINI SI HABA KAMA MIE KUMNUNULIA MKE WANGU SUTI YA NDANI KWA KUJUA TU SIZE AIJALISHI KIUNO NGAPI 45-65 WE NUNUA WALE WANATAKA HELA AWASHANGAI UKUBWA WA KIUNO CHA SUTI YA NDANI UNACHONUNUA NDIO WAKO HUYO

  SASA BASI SI HABA KUKUMBUSHANA NAJUA NIMEMWAGA MENGI KUHUSU FAMILIA NA KAMA BADO INATETEMEKA BASI WEKA DRPU YA UPOLE NA VIDONGE VYA UPENDO NA MUNGU WA MBINGUNI AKUANGAZIE

  NAWATAKIA HAUSI NJEMA WOTE WATARAJIWA NAAMINI AMTAKWENDA KUVALISHANA PETE KWA KULAZIMISHWA NA WAZAZI NA KAMA UKO WA AINA HIYO JF NASHAURI MASAA YANARUHUSU 1 HR NOTICE UNAELEZA YAMEKUSHINDA USIINGIE MKENGE KWENYE MNYORORO WA WANANDOA WANAOJIITA NDOA NI KUVUMILIANA WENGINE AWAJUI UVUMILIVU UTAVUMILIA MPAKA WANAKUWEKA KABURINI UNAWAACHA WANAHAMIA KWA WENGINE

  KILA LA KHERI UKIJISIKIA KUNIPA KADI BASI ITUME KWENDA
  siachiking'o@yahoo.com
   
 2. c

  christmas JF-Expert Member

  #2
  Aug 31, 2012
  Joined: Jul 21, 2011
  Messages: 2,608
  Likes Received: 280
  Trophy Points: 180
  lol! naona didy leo umewaamulia, thanx ujumbe mzur na vijembe vya hapa na pale, wameelewa nadhani, ndoa ni kitu kingine bana
   
 3. Nivea

  Nivea JF-Expert Member

  #3
  Aug 31, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 7,449
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Kha!!!
   
 4. Scofied

  Scofied JF-Expert Member

  #4
  Aug 31, 2012
  Joined: Jun 5, 2012
  Messages: 2,026
  Likes Received: 199
  Trophy Points: 160
  kutunzana mkuu.....umtunze na yeye akutunze..napita tu lakin
   
 5. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #5
  Aug 31, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,876
  Likes Received: 6,230
  Trophy Points: 280
  .naungana na Scofied, ndo ni kutunzana
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 6. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #6
  Aug 31, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,347
  Likes Received: 2,685
  Trophy Points: 280
  Hivi nani anatakiwa kutunzwa mwanamke au mwanaume? Binafsi naona kazi ya kutunza ni ya mwanamke ila kulinda ni mwanaume.
   
 7. awp

  awp JF-Expert Member

  #7
  Aug 31, 2012
  Joined: Jun 6, 2012
  Messages: 1,714
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  ebu tusubiri wanaotaria ama waliokwenye ndoa wajibu, si wengine tumechangua mfumo wa singleeeeeeeeeeee
   
 8. Freema Agyeman

  Freema Agyeman JF-Expert Member

  #8
  Aug 31, 2012
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 3,290
  Likes Received: 1,442
  Trophy Points: 280
  Mume anamtunza mke, mke anamheshimu mume.
   
 9. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #9
  Aug 31, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,984
  Likes Received: 1,906
  Trophy Points: 280
  tulozaliwa zamani tunaraha sana manake hatujui kama kuna kutunzana bali kupendana na kuheshimiana.
   
 10. kapistrano

  kapistrano JF-Expert Member

  #10
  Aug 31, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 1,204
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135

  complex meaning!
   
 11. kapistrano

  kapistrano JF-Expert Member

  #11
  Aug 31, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 1,204
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Like your saying where have you been before?
   
 12. P

  Prince Jackson Member

  #12
  Aug 31, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 22
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mmmmh!!!
   
 13. Scofied

  Scofied JF-Expert Member

  #13
  Aug 31, 2012
  Joined: Jun 5, 2012
  Messages: 2,026
  Likes Received: 199
  Trophy Points: 160
  nafikiri kutunzana ni zana pana sana...na lazima iwe ya pande zote mbili..?though naungana na wew kwenye hilo hapo juu mkuu...
   
 14. B

  Babuu Rogger JF-Expert Member

  #14
  Aug 31, 2012
  Joined: Nov 16, 2011
  Messages: 970
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 80
  Yoote umeongea ila "KUMTANGULIZA MWENYEZI MUNGU KATIKA MAISHA YA NDOA" haujaiweka, coz ni silaha bora kuliko zooooooooote duniani ninaamini hivyo.
   
 15. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #15
  Aug 31, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,747
  Likes Received: 12,841
  Trophy Points: 280
  Ujumbe mzuri sana!
   
 16. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #16
  Sep 1, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,585
  Likes Received: 5,772
  Trophy Points: 280
  unaesema mume alinde amekuwa KKSECURITY mwanamke ameacha kk wangapi kwao kama ni swala la kulindana...haahaaa hamia mpwa usione tunaleta haya wengine tulikuwa huko tukahamia airtell tunakula mema ya ndoa asikudanganye mtu bana ubahili kwenye ndoa una matatizo yake hata baraka za channel za pesa zinakimbia kama BOLT
   
Loading...