Mapenzi

Mapenzi

Ritts

Senior Member
Joined
Feb 28, 2012
Posts
136
Reaction score
33
Hivi karibuni kuna dem aliniambia eti wanaume weupe hawajui mapenzi japo nilishangaa sana Sasa nimeona nije hapa jukwaani kuuliza je jambo hili ni la kweli?basi karibuni kwenye mjadala.
 
Hivi karibuni kuna dem aliniambia eti wanaume weupe hawajui mapenzi japo nilishangaa sana Sasa nimeona nije hapa jukwaani kuuliza je jambo hili ni la kweli?basi karibuni kwenye mjadala.

Kitu gani kilichokufanya ushangae sana? Hicho Kilichokufanya ushangae sana ndo jibu lenyewe.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Wanaume weupe??? wazungu au wanaume weupe (africans light skinned)???
 
Wanaume weupe??? wazungu au wanaume weupe (africans light skinned)???

naomba nimsaidie hakusema wazungu ila rangi kama yako hiyo ndo anaowazungumzia mtoa mada
 
Ambao washadate hao weupe waseme! Wengine tunapenda vitu blakiiiiii.
 
The only way kujua ni mtoa mada kutest several black and white men. Nakutengenezea sample size ili gaijin asibishie matokeo na kiranga.
 
naomba nimsaidie hakusema wazungu ila rangi kama yako hiyo ndo anaowazungumzia mtoa mada

unajua huyu jamaa namfahamu na wewe pia wamfahamu ndio maana nauliza dear...
 
kwani ujuzi wa mapenzi mtu unajifunza, natural, upo kwenye ngozi (melanin) au unategemea likes, dislikes na compatability ya couple invovled? au ni natural born kwamba mtu unazaliwa guru wa mapenzi?
 
Ambao washadate hao weupe waseme! Wengine tunapenda vitu blakiiiiii.

Some say the blacker the berry the sweeter the juice.....I say the darker the flesh the deeper the roots...

Lakini honestly nadhani ni mapenzi ya mtu na its all in the mind.....
 
Some say the blacker the berry the sweeter the juice.....I say the darker the flesh the deeper the roots...

Lakini honestly nadhani ni mapenzi ya mtu na its all in the mind.....

ukishafall na mapenzi yamenoga huo ublack na uwhite unafikiri utajali basi!!!
Tena asilimia kubwa wanaochagua chagua ndo hujikuta wameangukia huko huko walipokuwa hawapataki.
 
Kwani kasoro yetu ni ipi...sikupenda kuzaliwa chotara...

hamnipi mzukaaa! Chezeia kitu black wewe! Yaani ulivyoniambia we mweupe hata hamu ya kukuquote imeniisha. Lol
 
Watakuwa wazungu hao bila shaka
 
Kwani kasoro yetu ni ipi...sikupenda kuzaliwa chotara...

huoni shida anayotupa binamu yako mkweree? Yaani hapa salare na bonus nimetumbua pyuuu! Im putting myself up for adoption aisee!
 
Back
Top Bottom