Housegal anamimba mmiliki ndio kitendawili kingine..

Housegal anamimba mmiliki ndio kitendawili kingine..

Nivea

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2012
Posts
7,460
Reaction score
4,771
nawasalimum wote ndugu zangu:
hapa nilipo nahisi ubongo wangu kufloat kabisa na kushindwa kufikiri,msichana huyu wa kazi nimeishi naye muda mrefu sana na amenilelea watoto kwa muda wote,ni msichana mzuri toka nimeishi naye hajawahi nikwaza pia ni kwasababu nafanya shughuli zangu mwenyewe nakumkabidhi watoto tu,sababu tu sikutaka kuajiri wafanyakazi wawili nikampandishia mshahara,ikawa siku moja ile mwezi 7 akaniambia dada nimemis menstruation cycle yangu nikamuuliza huna mimba wewe akakataaa katu katu sikutilia maanani maana hajawahi onesha tabia mbaya na kwangu mimi siishi karibu na watu ni wala hakuna kitu kutumwa dukani wala gengeni ni ndani tu ,nikaja hapa nikaulizaa watu wakashauri ale vizuri na mazoezi nikamshauri,then haikusaidia nakuja shtuka tumbo kama limekuwa kubwa nikamuuliza ninini?mimba?akaniambia hapana dada ni kawaida mie natoka saa kumi na moja asubuhi narudi saa moja,naona kazi nyingi zinazorota nikirudi ndio nilishe kuku,nifagie nje ,ninyeshe maua ,na kuweka nyumba katika hali nzuri,nikiuliza kwanini kazi hizi hazijafanyika naambiwa dda mtoto anasumbua sana dada siwezi sema maana namkuta mtoto katika hali nzuri na unajua udhaifu wa mama nikuachwa kw mtoto wake ateseke na ni mdogo najifanyia makazi kweli kweli jamani.nikona hali sio ya kawaida nikamwambia anipe mkojo nikapime nafiki mara ya kwanza sijui alinipa nini lakini ulionyesha negative ,ila bado nikawa nadaut nikamwambia kesho nitaaca kwend akazini nimpeleke hospitali ila wazo likanijia nitafute pakuanzia nimpime tena mwenyewe maana mimi nina watoto na mimba nazijua sana,jana nikanunua pregnant test zile nikamsimamia anipe mkojo kweli kupima ni kweli na ni kubwa kama 4-5moth.nakamwita anikamweleza ,aksema alikuwa hajui kama ni mjamzito,swali ni ya nani???hapa ndipo nataka mnisaidie wapendw wangu!!

mwezi wa sita kuna ndugu wa mume wangu binamu alikuja nyumbani kwetu huyu kijana ni yatima na alikuwa amepoteza ramani ikabidi tumchukue baada yakuona ombaomba wamezidi nikamshauri mume wangu tuwasaidie hawa ndugu ili waweze kujitegemea ,na hyu ni mja wapo tunamvisha ,kumsomesha ,mpaka mswaki mama yake hana uwezo wowote anaishi huko sumbawanga vijijini,yeye huyu tulimpeleka ualimu huko makete iringa huko.NA NDIE MWENYE HUO UJAUZITI BINTI ALIKIRI MWENYEWE NA AKASEMA ALIMWAMBIA ANAJISIKIA SIO NA HAONI SIKU ZAKE AKAMWAMBIA TULIA NAKUJA LIKIZO!! ,na yeye ni mzigo ambao tumejitwika kumsaidia ili sidie nduguze wanateseka sana,mume wangu kumwambia akawa confusing sana,sasa msaada wenu wakuu

1.huyu binti kama nikumwondoa nitampelka wapi maana yule kijana pale ndipo anapokuja kufikia!
2.nikimwacha huyu binti hapa nyumbani yaani itakuwaje mie namume wangu ndio tumtunze mke ,kumsomesha huyo kijana kumpa kila kitu cha shule nakujikimu maana hana kazi wala chochote!
3.huyu bint nimemchukua kwao kwa dhamana yangu binafsi nifanyaje sasa je nikimwambia arudi kwao itakuwa imesaidia kwa sasa hivi hana hela yyt maana hela zote nilimpa akanunulia mama yake shamba huko kijijini kwao walikuwa hawana hata pakuishi?
4.huyu kijana wanafunga chuo december nimemtumia nauli aje nyumban je nichukue utaratibu
 
haya basi Kongosho FP gfsonwin Mtambuzi Tuko Preta Kaunga AshaDii Zion Daughter Madam B AGNETH, andybird314, BADILI TABIA, Bazazi, BelindaJacob, bucho, C6, charminglady, Erotica, farkhina, figganigga, gfsonwin, Gunda66, HERITAGE, HorsePower, jeneneke, KakaKiiza, kamwendo, Kaunga, lara 1, Lukolo, Madam B, mambo, manoah, Mapi, matumbo, Michael Scofield, MtamaMchungu, Mwana kinyonga, Mwita Maranya, Mystery, NATA, Neylu, Nicas Mtei, nivea, nyumba kubwa, Paloma, pincode, Rashdind, Rutashubanyuma, SILENT ACtOR, SKY BOY, Thomas Odera, Young Master, Yummy, zimwimtuchristine ibrahim

Mungu saidia mimba iwe ya mmeo
 
Last edited by a moderator:
mhm...haya ambo ya vijana kumega mahousegelo bwana....kha! pole
 
Hapo mtihani unao...!
Ila ni vyema ukaifahamisha familia yao nao wakasema hatua gani wangependa waifanye juu ya binti yao:bowl:
 
Kweli mkuu vile vile alikuwa anamlindia nyumba wkt yupo kazini aonyeshe ungwana kuilea mimba hiyo.
kumbuka alikuwa hafanyi kazi bure nilikuwa namlipa tena msharhara mkubwa tofauti na wa mahausigeli ninao wajua ,mimi nani atanilipa fadhila na huyo mwenye mimba ninayemsomesha tena ??
 
Hapo mtihani unao...!
Ila ni vyema ukaifahamisha familia yao nao wakasema hatua gani wangependa waifanye juu ya binti yao:bowl:

yaani familia ya nani ya huyu bint au ya kijana?
 
mh?hapo pagumu,Mungu akusaidie dada yangu,,,cha msingi,ngoja dogo aje muhoji mmojammoja,kila mtu separate,then mpime mawazo yao kama wanapendana au la,kisha muwaweke pamoja muone wao wenyewe wanataka kuchukua maamuzi gani kwa ajili ya maisha yao ya baadae.....bila shaka dogo atakubali makosa,na atakubali kushauriwa kwa maana anawategemea kwa kila kitu,hali kadhalika huyo housegirl naye anakutegemea.so,jifungeni mkanda muwasaidie,mshirikishe dada katika shughuli zaidi na atambue kwamba kazi zinavyoenda vizuri ndipo anaweza akapata msaaada zaidi kutoka kwako,train her,mpeleke hata shule za upishi,upambaji na umfundishe ujasiriamali.pia huyo binamu amalizie masomo na afundishwe na mumeo jinsi ya kukabiliana na hiyo hali,jamaa akimaliza shule,na akibahatika kupata kazi,basi muwasaidie kukodi chumba sehemu separate na nyie...muwalipie kodi angalau ya miezi 6,na binti ajishughulishe na kingine pia,labda unaweza ukampa kuku kadhaa aendeleze kazi aliyokuwa akifanya hapo kwako,naamini inaingiza kipato na itawasaidia,,,mimi naona haitakuwa jambo baya kuwasaidia,japo itachukua commitment kubwa sana...trust me,kuna siku hawa watu wanaweza wakawa msaada sana kwenu,kama mtawajengea msingi mzuri...nakutakia kila la kheri na Mungu akusaidie.
 
Mhhhhhhhhhhh! Kwanza kabisa punguza pressure!!!!!!!!!!! Ngoja ninywe reds 3 nitakuja kutoa ushauri mamanake mwenyewe nililala tajiri nimeamka masikini!
 
Cha kufanya hapo wewe kwanza punguza hasira, sawa yule ni beki tatu wako ila nae ana hisia na genye kama wewe maza house! Hpo solution simple tu mbona!

Hakuna kumbakiza hapo kwako na kumlelea, atajiona mpo maza house wawili! Dawa MPE MTAJI WA BIASHARA!!!!!!! Ujauzito si ugonjwa, akapange chumba huko uswaziiii, aanze na biashara kama ni ya kuuza chakula au pub au chochote atajua mwenyewe! Kawaeleze kwao kuwa binti kakua, kapata mchumba na wanatarajia, saivi kapanga chumba (Maendeleo hayo) na ana biashara yake! Akijifungua msaidie mamake nauli aje amtunza na wamletee beki tatu wasaidiane kulea na kufanya biashara!!!!!!!!!!

Hapo utakuwa umtua zigo lisilo kuhusu, ila ukikaa nae ATAKUWA DEKADEKA UNTD, Afu atakunyima uhuru, Kwanza zee zima ulilelee la nini? Atataka kujilinganisha na wewe kila kitu, kila utachomfanyia mwanae atapima na ulivokuwa unawafanyia wanao. Muwezeshe kutafuta maisha!

Maisha si shule! Mjini Mipango tu, akiwa hustler atatoka tu!
 
bahati ni ya kijana, vinginevyo ingekuwa ya mumeo hapo ndio pangechimbika haswaa,
anyway, kama ni msichana mzuri na amelea watoto wako vizuri we kaa nae tu, ila anza kutafuta dada mwingine mana akijifungua hapo itakuwa shughuli..
mie nina jirani yangu anakaa na msichana na mtoto wa msichana wa kazi wote analea yeye..anasema pamoja na upuuzi aliofanya msichana wake lakini bado anamuhitaji kutokana na ulezi mzuri wa watoto wa huyo mama mwenye nyumba..na amekaa muda mrefu kwa hivyo akamsamehe na kumwacha aendelee na kazi..
we angalia tu upepo unakwendaje lakini kama una nafasi ya kuishi nae endelea kuwa naye ila asirudie tena kosa..assume hiyo mimba kapewa na mtu wa nje sio ndugu, mana ukifikiria huyo ndugu utakuwa na hasira sana..
 
Kuna dada yangu yeye alimtunza house girl mpaka akajifungua na kisha akaendelea na kazi, lakini kwa bahati nzuri huyo binti alikuwa anajimudu kufanya kazi kama kawaida na kutokana na nidhamu aliyokuwa nayo na heshima pia alikuja kupata mume (Sio yule aliyempa mimba) akaolewa kwa sherehe kubwa.
Mimba alipewa na job less mmoja wa kitaa ambaye wala hakuwa responsible kwa mtoto kwani hata mimba aliikataa na sasa jamaa kapata mke na mtoto wa bure.........
 
Back
Top Bottom