monaco
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 2,184
- 1,780
Heri ya mwaka mpya wadau....
mwaka huu 2013,ni mwaka wa vijana bachelors to get wenzi wao......Njia ni kusali kwa bidii,pia Mwaka wa ajira pia,
Ikibidi fanya Novena ya siku 9,Prayerise,Picturise,then Acturise....make it as a daily routine.
Kila jamabo na wakati wake,usijilaumu kwa nini mwaka jana hukupata,mwaka huu ndo wa kupata,hebu pia Mjaribu Mungu kwa Kutoa...."nijaribu muone nami nitakavyowapa baraka" Try it with Cofidence interval 100%.
Nawakilisha wadau.....