Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,353
- 26,194
Pale wapenzi wanapofumaniana au pale mmojawao anapokuwa na hisia za kusalitiwa,msalitiwa humuuliza msaliti:'kwani huyu/yule ana nini ambacho mimi sina?' Ni swali gumu kwa wengi.Wengi hubaki kimya. Lakini rafiki yangu Zengea alilitoa jibu weekend iliyopita.
Ilikuwa hivi,mpenzi wa Zengea alikuwa anahisi anasalitiwa.Akamtafuta Zengea kwa jazba na shauku ya kumuuliza swali tajwa hapo juu.Akatukuta mahali.Hakumkawiza.Akamtwanga swali: 'Kwani yule XY ana nini ambacho mimi sina Zengea?'
Zengea akajibu: 'XY ana utamu wewe huna;kuna lingine?' Yule binti akabaki kimya akililia kwa kwikwi.Wakaachana rasmi