Wazazi wanahitaji 2M kama fidia

Wazazi wanahitaji 2M kama fidia

Sunshow

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2011
Posts
1,140
Reaction score
395
Kijana mmoja hapa mtaani kwetu mwenye umri wa miaka 17 amejikuta katika wakati mgumu kwa kutakiwa kulipa milioni mbili kama faini ya kumtoa bikira binti wa watu anayesoma kidato cha kwanza. Inasemekana wawili hao wamekuwa kwenye mahusiano ya muda mrefu ila hivi juzi mama yake binti aliamua kuwafuatilia baada ya binti kutoweka nyumbani usiku wa manane na baadae kumkuta na kijana wakiwa kwenye staili ya kimahaba. Binti alikiri kutembea na kijana na vipimo vilionyesha hajapewa ujauzito. Baada ya hapo kikao cha familia kilikaa na kudai milioni mbili kama faini ya binti yao kuondolewa bikira. Source ni mimi mwenyewe niliona.
 
Hili ni fundisho kwa wale wanaopenda kutembea na wasichana mabikira hasa watoto wa shule.
 
Hao wazazi vilaza sana,hivi lengo la kudai hiyo hela ni nini?
"
Au mil 2 ikitolewa bikra itarudi?
 
Hao wazazi vilaza sana,hivi lengo la kudai hiyo hela ni nini?
"
Au mil 2 ikitolewa bikra itarudi?

Hapo sasa, isitoshe binti bado anapenda kusoma na shule anaenda kama kawaida.
 
Na hapo wanasema wamefanya fair sababu wanatoka mtaa mmoja.

Aseeh! kumbe bei inapimwa kwa umbali, hiyo bikra au petrol?
sipati picha jamaa angekuwa mkoa mwingine....
kuna faida kumbe kudate na jirani!!!!!
 
kesi kama hizo nazo ushahidi unakuwaga mgumu sana.....kama anauwezo alipe ,kama hana aombe apunguziwe kulingana na uwezo wake otherwise mimi sijaona ushahidi hapo wa kumtia hatiani mtu haapo
 
Aseeh! kumbe bei inapimwa kwa umbali, hiyo bikra au petrol?
sipati picha jamaa angekuwa mkoa mwingine....
kuna faida kumbe kudate na jirani!!!!!

ha ha ha ha ha! hawa wazazi ndiyo wale hata mahari watataka kumalizia matatizo yao hapo hapo
 
Hao wazazi wametangaza dhiki zao hadharani!!!!

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom