Kama mmekaa zaidi ya miaka 3 kama
wapenzi na bado hujamjua kitabia basi
hata ukikaa nae miaka 500 hutamjua, ni
heri umuache aende zake. Wale mabingwa
wa kuwaweka watoto wa watu uchumba
miaka 6,ukiulizwa eti unamchunguza,
miaka 6 unachunguza binadamu kweli??
Mfanyie upasuaji tujue moja, mtu mpaka
anazeeka unamchunguza tuuu, halafu
mwishowe uje umdump...Its not fair, kama
sio muoaji muache mtoto wa watu atafute
wa kumuoa maana wewe umegeuza
mapenzi TAKUKURU unachunguza tu bila
mwisho, sio muoaji wewe!
###SAMAHANI KAMA IMEKUGUSA ILA UKWEL
NDO HUO###
wapenzi na bado hujamjua kitabia basi
hata ukikaa nae miaka 500 hutamjua, ni
heri umuache aende zake. Wale mabingwa
wa kuwaweka watoto wa watu uchumba
miaka 6,ukiulizwa eti unamchunguza,
miaka 6 unachunguza binadamu kweli??
Mfanyie upasuaji tujue moja, mtu mpaka
anazeeka unamchunguza tuuu, halafu
mwishowe uje umdump...Its not fair, kama
sio muoaji muache mtoto wa watu atafute
wa kumuoa maana wewe umegeuza
mapenzi TAKUKURU unachunguza tu bila
mwisho, sio muoaji wewe!
###SAMAHANI KAMA IMEKUGUSA ILA UKWEL
NDO HUO###