Nisaidien kumshauri huyu..

Nisaidien kumshauri huyu..

Bayaa

Member
Joined
Jan 11, 2013
Posts
14
Reaction score
1
hp mu wazima..jaman me bado mgeni naomba msinitolee mapovu sana nisaidien kwa hili nitaloenda waeleza..

kuna mpendwa mmja anadai kukosa uaminifu kwa boy wake kutokana na kukuta msg za ajabu ajabu kwenye simu ya huyo boy..

mbaya zaidi alikuta msg ya rafiki yake wa karibu wakichat na anavyosema inaonyesha huyo rafiki yake ndio mpekunyunyu zaid mana nyingi alikua anaanzisha michato..na ata wakati mwingine analalamika why. yy ndio mpaka aanzishe mawasiliano..yan huyo rafiki mtu mara aombe atumiwe pesa,cha kusikitisha alikua anamwambia kuwa ana migenye cjui cku zake zinataka kuanza so wamit..(#wat a shame jaman wadada mbona tunajidhalilisha maneno gani ya kuongea na shem wako hayo#) mambo ni mengi kwakwel ya kiuchavuzi..

Anadai akajaribu kuongea na boy wake akamwambia hakuna kitu zilikua msg za utan tu na hadi akampigia kumwambia waache kuwasiliana coz mamsup kamaind..(#kafanya hvyo baada ya michezo hyo kugundulika na hana uhakika kama kweli hawawasiliani mana anasema amekoma kushika simu ya boy wake asije kutana na madudu makubwa zaid#)..

so akawa anajaribu kunishirikisha kwamba atakama huyo rfk alianzisha mawasiliano why alikua anamentertain kama hakua na interest nae?..
na kuna mautan gani ya ndan hvyo kufanyiana na shem wako?..
note:alipata mawasiliano yake coz kulikua na rafiki wa huyo bwana anahtj mupenzi akaona rfk wa huyo mpendwa atamfaa coz wanaamini ukiwa na tabia fulan za kupendeza ata rafiki zako watakua hvyo (#kumbe c hvyo kila mtu ana tabia zake alizozaliwa nazo#)
Maskin dada wa watu amebaki njia panda hana ihakika cjui bwana kaonja mzigo wa rfk yake o kweli waliishia kutumiana tu hyo mimessage ya kijinga..

Embu wanaojua haya mavitu tujuzane aje aje pale.
 
Mkuu hapo nachokushauri mwambie mwenzio asepe na hamsini zake lasivyo ataendelea kupata maumivu ya moyo wake au kuambulia maradhi na kumbuka kwamba maumivu atakayoyapata hapo atayasahau kamwe, upo mpaka hapo.
 
jifunze kuandika vizuri...
hao wameshakulana ,achunguze taratibu/kimya kimya atapata majibu.
 
Mkuu hapo nachokushauri mwambie mwenzio asepe na hamsini zake lasivyo ataendelea kupata maumivu ya moyo wake au kuambulia maradhi na kumbuka kwamba maumivu atakayoyapata hapo atayasahau kamwe, upo mpaka hapo.

nipo mkubwa..shukran
 
Mkuu hapo nachokushauri mwambie mwenzio asepe na hamsini zake lasivyo ataendelea kupata maumivu ya moyo wake au kuambulia maradhi na kumbuka kwamba maumivu atakayoyapata hapo atayasahau kamwe, upo mpaka hapo.

halafu wamejaaliwa mtt na bwana anasuport mama na mtt kwa hali ya juu..
 
Nenda kamwambie mtoto mwenzako kuwa acheni mapenzi ya utotoni.

++Hivi hadi kwenye kuandika mtu anaweza kubana pua eenh!!!++
 
  • Thanks
Reactions: Ntu
kwel jf kiboko..nilikua napenda kusoma comment za watu till i joined..mana kuna majibu..ila nafurah.
 
acheni kuwatisha watu nyie vilaza, hivi nani kazaliwa na jf, pumb*v zenu!! wengine sio wagen tuna ID kama tano!! u heard
 
Back
Top Bottom