miss strong
JF-Expert Member
- Jul 4, 2012
- 7,011
- 3,708
Nina rafik yngu wa kiume yy ni advocate ktk ofic moja hapa dar es salaam tumedumu ktk urafik wetu yapata mwaka na nusu unaelekea wa pili amejaribu kunihitaj kimwil nikamchomolea nakumpa sababu ambazo nilizoziamin mm nisifanye hvyo lakin nilishukuru maana alielewa na tukaendelea na mawasiliano na kuwa marafik wa kawaida.....huyu kaka tunatokea mkoa mmoja .Kilichonisukuma kuandika huu uzi ni jambo lililotokea leo jion.......alinipigia akiwa ofic ya watu huko posta akifanya kaz zake binafs maana yupo likizo kipindi hiki kuwa jina langu la ukoo ni nani?nkamuuliza walihitaj la kaz gn ?na mbona jina lngu walifahamu?cm ikakatika lkn nikampgia na kunipa baba mmoja niongee nae nakuniambia ametoka kijij kmoja na mzee wngu huku akimwambia mpk ding anapofanyia kaz......jambo ambalo limenipa wacwac.Yule mzee akahitimisha kwa kusema wote kumbe ni wanangu!!!!!!!!!!Kwa kwel inanipa hofu km yule mzee atakutana na ding itakuweje.......naomben msaada wa kimawazo jmn!