ushauri wa haraka unahitajika

ushauri wa haraka unahitajika

KIDHEHA

Member
Joined
May 21, 2012
Posts
51
Reaction score
14
kuna rafiki yangu kaacha pombe kuanzia tarehe 1 mwaka huu na makusudi yake anataka aache kwa mwaka huu wote na kuendelea ila anasema tangia ameacha kila akikaaa hivi mawazo yake yote yanamtuma kwenye ngono...afanyaje?ushauri plz nimfikishie
 
mmmh! kaacha pombe!! sasa anawaza ngono?! atafute kitu cha ku-mkeep busy!! as u know, an idol mind is workshop of devil.
 
Sidhani kama kitendo cha kuacha pombe ndio kimepelekea badiliko la hali ya juu la tabia ya rafiki yako.
Huenda tabia ya kupenda ngono ilikua imefichwa na ile tabia ya kupenda pombe.
 
jobless idiot
ashauriki uyo,,zaidi ya kusikitiwa
yanii awali kazi yake ilikua ulevi,,sasa anawaza uzinzi:nimekataa
 
Huko kwenye ngono,kaburi linamwita huyo ,apige mazoezi tu ya jogging
 
afanye mazoez... atafute kitu kimuweke busy(a job itakuwa poa zaidi) most important amuogope mungu na abelieve kwamba he will be judged for his events..
Naamini itakuwa ameacha pombe kutokana na athari zake... so afanye mchakato wa kutambua athari za ngono....
 
Back
Top Bottom