Wana JF lero hii katika gazeti la The Guardian kuna tangazo la mwaka. Mwanamke wa Kitanzania mwenye umri wa miaka 36 ametoa tangazo la kutafuta mwanamume wa kizungu wa kuishi na/kuolewa na...
Kilichonifanya nijiulize maswali ni mambo na ukatili unaotaka kumtokea kijana huyu.
'
Huyu kijana ni mwanafunzi wa SAUTI,anaishi nyumbani kwao,yaani kwa baba yake na mama yake.
'
Jirani na...
Nukuu toka The Payne Fund Studies, mtoto wa miaka nane (8) atakumbuka vitu vitatu kati ya vitano alizoangalia, (Charters, 8), hii ina maana kama kuna matukio ishirini (10) ya uuaji mtoto...
ni miezi karibu mitano, my hubby alibadirika kabisa! hatukuwa na story ndani ya nyumba, hakuwahi kuwa na hamu na mimi, nikitaka kuongea nae he was like "every thing is ok" mpaka nikakumbuka...
​
‘ukistaajabu ya Musa utaona ya Firauni'. Usemi huu umethibitika hivi karibuni baada ya mlokole mmoja, Ruth Mwakalinga, mkazi wa Matejo, Arusha kumnywesha damu ya hedhi mwanaye...
Mama mkwe akiwa anawatembeleeni khalafu habanduki basi huyu njemba wa kenya aliyafanya haya na mama mkwe aliishia bila ya kupenda..............huyu njemba alikuwa Kispigis
1) Siku za awali...
A wedding day will be remembered for all the joy it brings,
a day of love and happiness of vows and wedding rings.
A day of new beginnings - learning what love truly means.
Our wedding day is...
Naitwa eriqure ,ni mvulana mtanashati ..nakaa dar ila sahivi nipo morogoro .natafuta msichana mzuri .mwenye vigezo vifwatavyo
awe ni mkubwa kuliko mimi kimiaka yani shuga mami kwanzia 35...
Wapendwa ladies,
Salaam!
Kwa dhati natafuta mchumba wa (Mola ajaaliapo) kuja kuoana, kama jinsi ID yangu inavyoonyesha uhalisia, nipo ukanda wa Ziwa yaani rock city
Mimi ni muislam na napenda...
Wengi wetu tumeingia katika mapenzi kwa matarajio mema,,japo mwisho wake umekuwa ni machozi kwa wengi wetu.
Hizi ni baadhi tu ya sababu zinazowafanya wengi wetu tuishie katika Mapenzi.
...
Habari wadau,
Kama title inavyojieleza nahitaji mnieleweshe, hivi inawezekana mwanaume let's say kazoea kwenda ofisi flan na inawasichana zaidi
ya 7, akamtokea mmoja then baada ya kugundua...
Ifike wakati sasa tusilaumiane kwa kuwa jamii nzima inahusika. mpaka sasa tumesikia matokeo ya mitihani ya taifa miwili; wa darasa la saba na wa kidato cha pili lakini kote kuna tisha...
1. Awe mwenye kumcha Mungu
Mume mwema ni yule anayeheshimu nafasi ya Mungu katika maisha yake, anayemcha Mungu na kuepukana na uovu wa kila aina. Anatambua kwamba Mungu ndiye anayepaswa kuongoza...
Wana Jf habarini za asabuhi! Najuwa wote hm mmeamka vema kwa ajili ya mishemishe za j3. Nipo kwenye daladala muda natokea Mwanzacity naelekea Magu na nimekaa kiti cha nyuma kabisa...
Nilimpenda dada mmoja ambaye nilimzidi miaka 8 wakati nimemaliza form six yeye alikuwa form 1.Nilipanga ndiye angekuwa mke wangu hasa ukizingatia nilipenda kuoa mke ambaye ni bikira kwa kuwa hata...
Nikitu kisicho cha kawaida ila ni kisa kilichomtokea rafiki yangu baada ya kugundua kwamba anae mnengulia na kumpagawisha ni baba yake wa kumzaa story iko ivi huyu rafiki yangu tangu kuzaliwa...
naona imekuwa mtindo sikuhizi watu kuweka riwaya humu Jamii Forums,
utakuta mtu anaanzisha thread yenye heading nzuri, ukianza kuisoma kwanza utakuta ndefu, halafu utaona (itaendelea......)...
Is love enough in your life now? If not, what do you need to do, to be, to learn, or to receive so that you can honestly say to yourself that love is enough for you? :crazy:
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.