Wapi nilipokosea

Wapi nilipokosea

MUYOOL

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2012
Posts
561
Reaction score
446
Nilimpenda dada mmoja ambaye nilimzidi miaka 8 wakati nimemaliza form six yeye alikuwa form 1.Nilipanga ndiye angekuwa mke wangu hasa ukizingatia nilipenda kuoa mke ambaye ni bikira kwa kuwa hata mimi nilijitahidi kujitunza na kwa kuwa nilitaka asome nilikuwa nikimuasa asifanye mambo hayo ila akazanie masomo tu nikiwa na malengo hapo baadaye akifika angalau A level ndiyo nimtamkie lengo langu juu yake.Tatizo lilikuja pale nilipokuwa mwaka wa pili chuo Kikuu niliporudi likizo baadhi ya vijana ambao alikuwa akisoma nao shule moja walinipa taarifa kwamba ameanza kumegwa kisawasawa mpaka hata na walimu wake hii ilitokea mara tu baada ya kuja kunisalimia na kunikuta na hao vijana ambao walikuwa wakinichukulia kama kaka na mwalimu wao maana nilikuwa nawafundisha tuition kabla sijaenda chuo kikuu ndipo walipoanza kunipa taarifa hizo.Pia kwa kuwa mama yangu mzazi alihisi huenda hapo baadaye nikamchumbia kumbe alikuwa na yeye akimfuatilia kimyakimya na yeye alikuwa na majibu kama ya wanafunzi wenzake hivyo yeye alikuwa akimponda kama kunipa tahadhari.Niliamua kumuitamdogo wangu ambaye walikuwa wanasoma naye shule moja ili kupata uhakika, mdogo wangu aliniambia siku hizi ni kweli amebadilika.Kwa kuwa wote tulikuwa tunaishi mtaa mmoja niliamua kuamini walichokisema, nikamuuliza mhusika lakini hakutaka kutoa ushirikiano yeye akawa anapotezea mada.Hivyo nikaamua kuachana naye.

Nilirejea Chuoni kumalizia semister ya pili ya mwaka wa pili.Mwisho wa semister nilikutana na dada mmoja ambaye tulikuwa tunasoma naye course moja ila nilikuwa namzidi mwaka mmoja nilitokea kumpenda nakuonyesha nia ya kuja kumuoa baadaye lakini sasa historia ya maisha yake haikuwa nzuri kwani alikuwa ameishatembea na wanaume wanne.Roho yangu ilishutuka sana kwani mimi nilitaka nioe mwanamke ambaye hajaguswa kwani hata mimi nilijitunza sana.Kibaya zaidi huyu dada alinieleza mtu wa nne alikuwa naye kwenye mahusiano ya miaka minne na ndiye alikuwa anatarajia kumuoa lakini alikula kona baada ya yeye kuingia chuo kikuu kwa kuhofia kuzidiwa na mke kielimu kwani huyo mchumba wake alikuwa na diploma.Huyo dada alikuwa akinisimulia huku analia jambo ambalo nilinigusa nikashindwa hata kula kona (kumkimbia) kwa kumuonea huruma.

Nilimfuata mtumishi wa dini ili anipe ushauri, aliniambia niache mambo ya kiswahili kwani nikifanya hivyo naweza kukosa mke mwema tena alinifokea sana.Hivyo nikakubaliana naye kwa shingo upande.Baada ya kumaliza mitihani yangu ya mwisho mwaka wa tatu, nikiwa katika maandalizi ya kutaka kuondoka chuoni yule dada alikuja chumbani kwangu ili aniage na kwa kuwa alikuwa ni mzoefu katika mambo ya kikubwa alinishawishi nikafanya naye tendo la ndoa bila kutumia kinga hivyo akapata ujauzito.Namshukuru Mungu hakuwa na maambukizi ya HIV hivyo wote tulikuwa salama ingawa nilijutia sana.Niliamua kumuoa ingawa lengo langu lilikuwa ni kuoa mke ambaye hajaguswa kwa kuhofia mwanangu kukosa mapenzi yangu pia kumtenda tena yule dada.

Yanayonisibu katika ndoa mpaka wakati mwingine nahisi nilikosea:

1. Siku zote mimi ndiyo nimekuwa initiator wa tendo la ndoa mpaka nahisi labda ni kwa sababu alitumia vibaya usichana wake, Kwani siku zote gari used halifanyi kazi kama jipya.

2. Kwa kuwa dhehebu langu hufundisha mambo ya ndoa vizuri na jinsi ya kumuandaa mke vizuri, kwa kuwa nimesoma sehemu mbalimbali za jinsi ya kumpa mke kitu roho inapenda nikishiriki na mke wangu yeye hupata mpaka multiple orgasm katika round moja tu.Nikitaka kwenda round ya pili yeye huwa amechoka kabisa hivyo ananiacha nasikilizia maumivu.

3. Akipata ujauzito ukafikia miezi mitano hakuna kufanya tendo la ndoa mpaka miezi mitatu baada ya kujifungua muda wote huo napata maumivu.Nijuavyo mimi mama mjamzito anaweza ku do hata mpaka mwezi mmja kabla ya kujifungua.

4. Viongozi wa dini walikuwa wanatuasa tuvumilie kwani tukioa tunaweza kufanya mambo ya kikubwa hata kila siku jambo ambalo kwangu ni ndoto.

5. Tukiwa kunako sita kwa sita anataka style moja tu ndiyo itumike yaani missionary.

6. Nimezaa nae watoto watatu mpaka sasa na kwakuwa nawajali watoto wangu hivyo nimeamua kuishi na maumivu ya kutoridhishwa katika ndoa.Najitahidi kuvishinda vishawishi kutoka kwa wakinadada mbalimbali ambao wako tayari kuchukua nafasi.

Ninavyodhani mimi kosa langu lilikuwa ni kumuoa mke aliyetumika sana ambaye haendani na mimi ambaye ndiyo kwanza nataka kufaidi mambo ya kikubwa.Kwani hata gari usedi halina mwendo kama gari mpya.

Wadau wapi pengine mnazani nimekosea, Nitakuwa makini kwa mwanangu wa kiume kuhakikisha hapati kama yaliyonikumba.
 
Umejenga atittude mbaya juu ya 'kutumika' kwake kiasi kwamba hata angekuwa anapenda sana sex bado ungeconclude ni kutokana na kutumika kwake.

Siwezi sema unakosea wapi, lakini nina uhakika unakosea somewhere (sorry l am too lazy to think today).
 
Ebana hujakosea sehemu ila jitahidi wewe na mke wako kubadilika kama kinyonga katika sex hili msilichoke tendo jitahidi kumuelimisha nini maana ya hiko kitu tena vizuri mko katika ndoa. Watu wanakaa na wenza wao hata miaka 20 bila ya ya kuchokana mana yahitajika elimu katika mapenzi ili msichokane, usichoke kujifunza na usichoke kumfunza mwezako mbadilike la sivyo utatoka mda si mrefu maana unaonekana ushachoka ndugu
 
Adui yako ni mawazo yako.
Kutumika vibaya ndiyo nini...........dudu huwa inaingia moja kwa wakati mmoja.
Kama ndivyo hata wewe mpaka sasa umemtumia vibaya
 
Pole, si kila ukipenda utapendwa kwa mizani ile ile.

Labda kwake sex si kivileeeee?
Labda ulikuwa second option, yuko na wewe wakati anamuwaza Bakari?
Labda majukumu ya familia yanamwelemea?

Kwa nini usiongee naye? Si ni mkeo huyo?
Ama alikulipia mahari?

Ila ukilia kwako kuna joto, kuna wengine kwao kunateketea, tatizo lako naona lina suluhisho sana tu
Vipi angekuletea VVU?
Vipi angekuwa anagongwa mbele ya macho yako?
Vipi angekuletea watoto mamluki?
Vipi angekuwa hawataki ndugu zako?

Boy, grow up!
 
Tena hadi kaizalisha mara tatu? Ufujaji wa pato la Taifa huu
Ndo maana Mtwara wanataka mali zigawanywe kwa majimbo

Adui yako ni mawazo yako.
Kutumika vibaya ndiyo nini...........dudu huwa inaingia moja kwa wakati mmoja.
Kama ndivyo hata wewe mpaka sasa umemtumia vibaya
 
Adui yako ni mawazo yako.
Kutumika vibaya ndiyo nini...........dudu huwa inaingia moja kwa wakati mmoja.
Kama ndivyo hata wewe mpaka sasa umemtumia vibaya

Umeona eeh, kwa vile yeye alikuwa bikira sijui, basi anawahukumu wengine bila kujaribu kuwaelewa. Mimi siamini kuwa mjuvi sana wa mapenzi kama anavyojisifu; lakini sio case hiyo anyway. Imagine umemkojoza mdada mara tatu unategemea aendelee kutaka tu?

Self righteous people wanaboa sana kwa kweli!
 
Nafsi yako imeweka agano na huyo mkeo maana wewe inaelekea alikutoa ubikra...Ardhi imeshuhudia
Nafsi ya mkeo ipo kwa aliyemtoa bikra na ndiyo agano lake kwa huyo, haipo kwako maana ametumika....:glasses-nerdy:
La muhimu ni kuzifanya nafsi zenu ziwe pamoja mfurahie maisha na hakuna awezaye fanya hivyo ila ni MUNGU pekee!
 
Kutoridhika ni kutokana na imani uliyojijengea kuwa UNUSED ni special kumbe ungejua its just the same thing! Ilitakiwa upate unused mmoja ndo ujue ukwli kua hamna jipya hapo!

Kingine tabia yako ya judging and condemning people jst because you are a little bit clean haifai!!!!!! Diggin in the peoples past, chungzaring chunguzaring inabore sanaaaaa!!!!!! Ukimchunguza Bata hutola ndo inakukuta!

Ushauri wangu forget about the past, acha kufanya sensei au shivo kwenye hilo tendo na kumridhisha mwenzio tuuuu! Relaxxxx and Enjoy!!!!!!!!!!!! Sometimes muachie maza atake the lead! Unafiki wako wa mwanzo ndo umemfanya aogope kukupa mistaili ya I PONE 5S manake utamuona alitumika sanaaaa na anaendelea kutumika tuuuu! So inabidi ajikaushe! Kukwepa kiti cha hukumu!!!!!!!!!
 
Jamani hii njia ndio inaelekea jukwaa la spoti? Nataka kujua kama yanga wamesharudi kutoka uturuki?
 
Unatumia SI unit zipi kujua mtu katumika sana? Nani kakwambia kuwa na wanaume 4 ndio kutumika sana?

Mbona sasa wewe unamzidi maujuzi na maufundi japo kuwa unataka tuamini kuwa yeye ndio mwanamke wako wa kwanza, sasa wewe si ndio umetumika zaidi kwenye hiklo tendo?

Unapokosea ni kuwa na imani kuwa binti wa watu katumika sana, HAJATUMIKA KABISA ni wewe ndio umemtumia sana na kumzalisha watoto 3 hadi sasa.

Tendo la ndoa ni relative sana mkuu, unaweza kufanya na huyu akakuona supa staa na ukafanya na mwingine akakuona Mburura hasa kitandani, ni namna mnavyoamua ku match wenyewe tu, kuwa na amani na uende na mkeo pole pole kiongozi. Futa mawazo ya wapo wanawake wengine wanataka kuchukua nafasi! Unaweza kujaribu na ikawa worse zaidi na mkeo anaweza kujaribu na mtu mwingine akajuta kukufahamu!
 
Kaka nasikitika kukutaarifu kuwa mkeo kashakusoma sana kuwa ww ni mshamba wa mapenzi, ndio maana anapretend kakojoa kumbe hujawahi kumkojoza hata cku moja..angalau kwa hilo unaridhika kidogo na kujiona kidume.. Then huyo first born wako nina mashaka nae, hebu mpeleke tbs haraka sana...nikuulize kwny hiyo missionary mkeo anakata viuno? Yuko tayari miguu yake uinyanyue uende nayo kifuani kwake.?. Nijibu ili nikufungue macho zaidi..
 
Watoto wote ni copy yangu hata wewe ukiwaona.Mtoto wangu wa kwanza nilikuwa na mawazo hayo kabla hajazaliwa lakini alipozaliwa sikuwa na haja ya kwenda kwenye DNA test kwani anafanana na mii sawasawa kabisa.Vyote unavyouliza anafanya.
 
tatizo lakuoa watu wasio marafiki wa kweli according to me she is a good wife tatizo ni wewe mtoa mada una ushirikiano na ukicheza kaugonjwa ka presha kanakunyemelea ndugu yangu kaa chini na mkeo mwambie black and white kuwa huniridhishi kimapenzi na usipoangalia ntakwenda nje nikakatiwe kiuno na stail zote nipewe sio kifi c ha mende kila siku ,na nikipotelea huko usinitafute maana umeshindwa kunipa mambo ninayotaka ,period!!asipojirekebisha baaaaaaaaaaaaas tafuta panga boy wako looool chakufa ukiwa na minyege nini .kabla yakuchukua uamuzi wowote mkunje unavotaka wewe akikataa mwambie byeee tutaonana nyu year
 
mimi wakwangu ninayetaka kumuoa nimehesabu waliomgegeda wanafikia kama 20 hivi ,halafu nampa good sex kiasi kwamba yeye ndiye huniomba kila siku na mwisho hata siku zingine ananibaka....

bro wanawake wanapenda kufanya mapenzi sana kutuzidi sisi wanaume ,ila tofauti ya wanawake na sisi ni kuwa wao wanataka GOOD sex ...na ukimpa game ya ukweli na anakupenda kweli unaweza kumkimbia jinsi atakavyokuwa anataka kila siku.

hakikisha kila siku ya mapenzi yako kunakuwepo misisimko/excitment mpya mpya na usiwe predictable kabisa.
 
Kaka nasikitika kukutaarifu kuwa mkeo kashakusoma sana kuwa ww ni mshamba wa mapenzi, ndio maana anapretend kakojoa kumbe hujawahi kumkojoza hata cku moja..angalau kwa hilo unaridhika kidogo na kujiona kidume.. Then huyo first born wako nina mashaka nae, hebu mpeleke tbs haraka sana...nikuulize kwny hiyo missionary mkeo anakata viuno? Yuko tayari miguu yake uinyanyue uende nayo kifuani kwake.?. Nijibu ili nikufungue macho zaidi..

Dunia ya sasa huwezi kuniita mshamba hata kama sijafanya na wanawake wengi, kufika anafika tena barabara kabisa.Dalili kufika Clitoris Orgasm, multiple orgasm and G Spot orgasm zote nazijua na jinsi ya kumfikisha mke huko.Nguzo nyingine imara ni ku last long in bed.
 
mimi wakwangu ninayetaka kumuoa nimehesabu waliomgegeda wanafikia kama 20 hivi ,halafu nampa good sex kiasi kwamba yeye ndiye huniomba kila siku na mwisho hata siku zingine ananibaka....

bro wanawake wanapenda kufanya mapenzi sana kutuzidi sisi wanaume ,ila tofauti ya wanawake na sisi ni kuwa wao wanataka GOOD sex ...na ukimpa game ya ukweli na anakupenda kweli unaweza kumkimbia jinsi atakavyokuwa anataka kila siku.

hakikisha kila siku ya mapenzi yako kunakuwepo misisimko/excitment mpya mpya na usiwe predictable kabisa.
hahahahahah 20 na unakuta the gal is innocent ila wanaume ndio walimdangany ana akashindwa kujua yupi mkweli yupi mwongo basi akajikuta kaliwa wengi sio walipenda kutembea na hao wote ni wanaume waliwadanganya tu.
 
ha ha ha ha! huyu sidhani kama alidanganywa ,almost wote ni matakwa yake otherwise ni iwe tu amependa kuniambia hivyo kwasababu ya kutake full responsibility of her actions.
 
tatizo lakuoa watu wasio marafiki wa kweli according to me she is a good wife tatizo ni wewe mtoa mada una ushirikiano na ukicheza kaugonjwa ka presha kanakunyemelea ndugu yangu kaa chini na mkeo mwambie black and white kuwa huniridhishi kimapenzi na usipoangalia ntakwenda nje nikakatiwe kiuno na stail zote nipewe sio kifi c ha mende kila siku ,na nikipotelea huko usinitafute maana umeshindwa kunipa mambo ninayotaka ,period!!asipojirekebisha baaaaaaaaaaaaas tafuta panga boy wako looool chakufa ukiwa na minyege nini .kabla yakuchukua uamuzi wowote mkunje unavotaka wewe akikataa mwambie byeee tutaonana nyu year

hapo sasa unashindwa hata kuexpress your feelings.
 
Back
Top Bottom