Utajuaje? (how would you know?)

Utajuaje? (how would you know?)

Anthonio

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2012
Posts
202
Reaction score
21
Wana JF "UPENDO WA KWELI NA WADHATI UTAUJUAJE KUTOKA KWA UMPENDAE" (HOW WOULD YOU KNOW TRUE AND REAL LOVE FROM SOME ONE)
 
chukua pini, mtoboe kidogo
upepo ukitoka 'tusuuuuu' jua anakupenda

ila akishtuka afu vikatoka vidamu jua tapeli na hakupendi kabisa anakugegeda tu
 
chukua pini, mtoboe kidogo
upepo ukitoka 'tusuuuuu' jua anakupenda

ila akishtuka afu vikatoka vidamu jua tapeli na hakupendi kabisa anakugegeda tu

huchomoki jukwaani hapa mamaa....

kesho naenda kununua king'amuzi ah! samahani laptop ili tu nilike hii comment yan imetoa maelezo mazuri sana hv ndivo inabotakiwa
 
Haya mambo sio constantyou know? Leo anakupenda kesho hakupendi
Ukitaka kujua upendo wa kweli basi either cheki kila siku na kila saa
or assume that akiwa nawe in a relationship maana yake anakupenda
 
he he he, like tu hata kwa mdomo

huchomoki jukwaani hapa mamaa....

kesho naenda kununua king'amuzi ah! samahani laptop ili tu nilike hii comment yan imetoa maelezo mazuri sana hv ndivo inabotakiwa
 
Mwambie atembee nje barabar uchi mchana kweupe. Akikubali tu, jua huyo anakupenda sna, akikataa piga chin fasta
 
ebana siku hizi mapenzi yamekua sanaa ndugu yani kuna watu wanaact hata kujua huwezi, kikubwa imba mungu upate akupandae.. Mapenzi sumu
 
Back
Top Bottom