ushauri kutoka kwa wanaume.

hesalieyo

JF-Expert Member
Jul 18, 2012
378
378
Habari wadau,

Kama title inavyojieleza nahitaji mnieleweshe, hivi inawezekana mwanaume let's say kazoea kwenda ofisi flan na inawasichana zaidi
ya 7, akamtokea mmoja then baada ya kugundua anachunwa, akamtokea mwingine, na kumwambia kuwa eti alimpenda kabla ya
yule wa kwanza, na kabla ya kumtokea wa 2, alikuwa hampi hata salamu.

Inawezekana kweli akampenda mtu aliyekuwa hata hamsalimii?
 
mtoe mita mia hana lolote,anatafuta umaarufu anaonekane kidume cha mbegu
 
Habari wadau,

Kama title inavyojieleza nahitaji mnieleweshe, hivi inawezekana mwanaume let's say kazoea kwenda ofisi flan na inawasichana zaidi
ya 7, akamtokea mmoja then baada ya kugundua anachunwa, akamtokea mwingine, na kumwambia kuwa eti alimpenda kabla ya
yule wa kwanza, na kabla ya kumtokea wa 2, alikuwa hampi hata salamu.

Inawezekana kweli akampenda mtu aliyekuwa hata hamsalimii?

wewe usijali kupendwa....wewe gegeda sii kajileta mwenyewe bwana
 
Habari wadau,

Kama title inavyojieleza nahitaji mnieleweshe, hivi inawezekana mwanaume let's say kazoea kwenda ofisi flan na inawasichana zaidi
ya 7, akamtokea mmoja then baada ya kugundua anachunwa, akamtokea mwingine, na kumwambia kuwa eti alimpenda kabla ya
yule wa kwanza, na kabla ya kumtokea wa 2, alikuwa hampi hata salamu.

Inawezekana kweli akampenda mtu aliyekuwa hata hamsalimii?

kuna
kitu
anatafuta
hapo
 
Back
Top Bottom