Binti Magufuli
JF-Expert Member
- Apr 2, 2011
- 7,479
- 5,161
Inawezekana kabisa unazunguka na bahasha yako mjini kila siku ukitafuta kazi hadi soli ya kiatu imeisha..,lakini huu ni mwaka wa tatu au wa nne toka umalize chuo but no job.......dont worry be happy, one day things gonna be alright. Mungu amekuandalia kazi kwenye sehemu ambayo hutakaa ukaamini. Anasubiri tu yule meneja mbadhilifu aresign ili kazi itangazwe uchukue wewe.
Inawezekana wewe mkeo/mmeo hajatulia hata kidogo, kila siku ni visa ugomvi na kufumaniana............dont worry be happy, things gonna be alright.
Inawezekana wewe ni msichana ambae kila siku wanaume wamekuwa wakikutumia kwa MKOPO na kukudump huku wakitoa ahadi za kukuoa lakini hawatimizi.............dont worry, usivue tena chupi yako, be happy na very soon things gonna be alright.
Ewe mwana MMU, hebu soma hapa nawe utapata faraja....
Labda wewe ni mkaka ambae wanawake wamekuchuna sana lakini mwisho wa siku wanakuacha wanaolewa na wanaume wengine na so kazi yako imekuwa kuwapendezesha alafu wengine wanaopoa............dont worry, be happy, God is fixing things for you.
Inawezekana kabisa wewe ni mzazi lakini mabinti zako au vijana wako wamekuwa mzigo kwako, wanakutia aibu kila uchwao mtaani, na hata kwa Mungu na mbele za wanadam...........dont worry, be happy God is fixing their behavior and soon watakuwa ni watu wa kutegemewa.....
Inawezekana kabisa wewe ni mtu ambae kila mpango wako unaoupanga haufanikiwi, umeenda kwa waganga lakini waaaaapi.....dont worry, be happy mganga ni Yesu tu, and so he will put everything in order......
DONT WORRY, BE HAPPY
Neno kutoka kwa mtumishi Mrembo by Nature.