Bazazi
JF-Expert Member
- Aug 18, 2008
- 2,806
- 3,524
Bazazi kwa kipindi cha takribani wiki mbili hakuwepo mtandaoni;
Ni maisha tu yalikuwa yanamtatiza.
Katika hangaika yake alifika katika wilaya ya Mpwapwa.
Katika Jimbo la Mpwapwa, Tarafa ya Mpwapwa, Kata ya Gulwe na Kijiji cha Chiseyu.
Mnamo mwishoni mwa Januari, waganga wa jadi maarufu kama Lambalamba (hudai kusafisha kijiji);
Waliwasili katika kijiji hicho na kufanya udhalilishaji mkubwa wa wanawake wanne (04);
Udhalilishaji huo ulikuwa ukifanyika hadharani mbele ya mume, watoto (me & ke) na jamii ya kijiji hicho.
Mwananke mmoja aliyezungumza na Bazazi alisema masaibu yake yamemuweka katika hali mbaya sana kisaikolojia.
Siku hiyo lambalamba walifika nyumbani kwake na kudai imelogwa na kutoa pembe.
Pia walidai tumbo lake kubwa limesababishwa na uchafu aliowekewa na wachawi.
Hivyo walimtaka avue chupi, alale chali na apanue miguu kisa lambalamba akafanya "cunnilingus" (akanyonya uke)
Kisha akatema uchafu aliosema ameutoa tumboni kwa mama huyo.
Baada ya "tiba" hivyo mtoto wa kiume wa mama huyo alilipa Tsh 25,000/-.
Wanawake wengine waliingiziwa vidole katika k#m@ zao hadharani.
Bazazi anawalaani watu wote wanaowadhalilisha wanawake.
Nini maoni yako mhe MMU?
Bazazi!